Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kati ya jina ambalo sitalikataa tukipewa ni KIDS FC
 
Reactions: K11
Chelsea wana nia ya kumsajili winga wa Crystal Palace Jesse Derry, 17.
 
Umri wa wastani wa Strasbourg ni 21.5, na wanacheza soka la kuvutia. Kinyume chake, umri wa wastani wa Chelsea ni miaka 23.5, lakini wanacheza vibaya, huku kocha na baadhi ya mashabiki wakitoa visingizio kuwa ni kikosi cha vijana wachanga. Kikosi cha Chelsea kina thamani mara kumi zaidi ya kile cha Strasbourg.

Kwa hiyo, ni nani mwenye makosa?

1) Wamiliki
2) Wakurugenzi wa Michezo
3) Kocha
4) Wachezaji
 
Strasbourg wapo nafasi ya ngapi ? Wanacheza ligi yenye ushindani kama EPL ?
 
Jamie Carragher: “Chelsea has never been a project club, they were serial winners, they didn’t need to change it. I get they want young players, everyone wants young players but you can’t wait years.”
 
Wanaume tunatoka kunyanyua UEFA halafu matajiri wapya wanatuletea habari za kujenga kikosi kwa pampas players. Badala ya kuboresha kikosi kilichobeba UEFA.
 
Strasbourg wapo nafasi ya ngapi ? Wanacheza ligi yenye ushindani kama EPL ?
Kocha ndio mwehu, hakuna kisingizio cha ushindani wala nini, hao Strasbourg wakija kucheza na chelsea tutatandikwa kama watoto wadogo.

Kocha mpuuzi, anataka kutuletea za Arteta, eti miaka kumi tunamsubiri yeye tu na upuuzi wake, timu yenyewe hata uelekeo haina.
 
Kwa kweli mashabiki wa London waandamane Stanford bridge hiyo tarehe 25. Blue Co watupishe wamefeli kuendesha timu.

Yaaani kutoka kuwa bingwa wa UEFA mpaka kuwa malapulapu kuwasafishia wengine point 3. HAIWEZEKANI
 
Wamiliki
Wakurugenzi
Kocha
Wachezaji

Wote ni wehu. Roman asingekubali kuajiri matakataka kila mahali.
 
Kwa kweli mashabiki wa London waandamane Stanford bridge hiyo tarehe 25. Blue Co watupishe wamefeli kuendesha timu.

Yaaani kutoka kuwa bingwa wa UEFA mpaka kuwa malapulapu kuwasafishia wengine point 3. HAIWEZEKANI
Ukisema HAIWEZEKANI kwa maherufi makubwa unamaanisha nini mkuu?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…