AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
Mkuu!
Ngoma za kitoto kawaida huwa hazikeshi!
Inv,Ab et al fomu za usajili za kujiunga na Manutd still zipo, mind u dirisha dogo linakaribia kufungwa hivo!
Acheni kulisaka chama dume(The Blues)!
Bwawa la maini walitangulizwa na baiskeli ya mbao, sasa wamefika kilimani watapandaje? J2 ni kichapo tu, ndio kwanza tumejiweka sawa ktk ligi, watani zetu man u wakae mkao wa kumegwa!!!!
...mnaumwa nyie.Sisi namba mbili...LOL!
Komaeni na nafasi hiyo hadi Mei, si mnajua nambari wani imeshajaa?🙂...mnaumwa nyie.Sisi namba mbili...LOL!
Acheni kulisaka chama dume(The Blues)!
Bwawa la maini walitangulizwa na baiskeli ya mbao, sasa wamefika kilimani watapandaje? J2 ni kichapo tu, ndio kwanza tumejiweka sawa ktk ligi, watani zetu man u wakae mkao wa kumegwa!!!![/QUOTE]
Nani aweza kuwamega? Hawa mashetani red hawamegeki!... zBlue wanalitambua hilo!
Season iliyopita nayo si mlikuwa number mbili au?
...ndo nini sasa maana yake?....We only have one way to go and that
is up.Season bado na chochote chaweza kutokea...ndio uzalendo wa ushabiki huo.
Acheni kulisaka chama dume(The Blues)!
Bwawa la maini walitangulizwa na baiskeli ya mbao, sasa wamefika kilimani watapandaje? J2 ni kichapo tu, ndio kwanza tumejiweka sawa ktk ligi, watani zetu man u wakae mkao wa kumegwa!!!![/QUOTE]
Nani aweza kuwamega? Hawa mashetani red hawamegeki!... zBlue wanalitambua hilo!
Nadhani mojawapo wa vibonde wa mwaka huu katika wale the big 4 waliwamega kwa kuwapiga bao 2,,,,,tehetehe
Chelsea 2 L'pool 1
BAK umekuwa Shehe nanihi,ngoja tusubiri dakika 90Chelsea 2 L'pool 1
Naona utabiri wako umekuwa vice versaAnaziona tena nyavu za Chelsea dakika ya 93. Scolaris nadhani kibarua kimeota nyasi.
poleni sana mechi ijayo mtamkosa Lampard, nadhani mtaanza kutafuta nafasi ya pili sasa.