Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yoyo kesho mtoto atumwi dukani manake total football ndo inaenda kuonyeshwa kesho.
tatizo napo mpira utakuwa unachezwa na timu moja tu.....arsenal..man u nao kama chelsea butua butua nyingi
 
Nawapa moyo jamani,hujui tu! Halafu kumbuka tusiongee sana maana kesho na wewe una kazi kweli hivyo aste aste kuelezea gemu la leo!..Huwezi jua marudio yao itakuwaje pale darajani...

Belinda kesho utashabikia team yako au yangu? 😀

Anyway, basi BJ nimekuelewa, kumbe unawapa moyo tu hawa... maana wenyewe unawaona humu? wanaona haya team yao ilivyocheza,...angalau kidogo masanilo anajikakamua kuandika chochote..., Aljuniortz, Ab-tichaz na Invisible wameingia mitini!!! Aibu mambo haya, 9-1-0 formation is hillarious 🙂
 
Mbu

Halafu hizo 4-4-2-2 sijui namba gani zinajipangaje kwakweli hata sizielewi. Mimi naangaliaga chenga, pasi na magoli.
Inabidi nizifahamu vizuri hizo staili za kupanga wachezaji kwenye mechi.

Ohh sweetie, nitakuelewasha tukiwa kitandani tunajadili siku ilikuwaje!
 
Belinda kesho utashabikia team yako au yangu? 😀

Anyway, basi BJ nimekuelewa, kumbe unawapa moyo tu hawa... maana wenyewe unawaona humu? wanaona haya team yao ilivyocheza,...angalau kidogo masanilo anajikakamua kuandika chochote..., Aljuniortz, Ab-tichaz na Invisible wameingia mitini!!! Aibu mambo haya, 9-1-0 formation is hillarious 🙂

Hivi yoyo, hesabu za huyu mdutch ni kwenda kwenye matuta?
 
Mbu! hata sielewi yaani kesho ni shughuli, watu nitakaoangalia nao mpira wote Arsenal so nitaangalia upepo unapoelekea.Mkishinda nitafurahi na tukishinda si haba...Ila mpaka mpira uishe ndo nitacomment kama vipi kimya kimya kulalaaaaaa..

Yaani Masa kweli ni mzalendo,namuunga mkono kwa hilo. Hao wengine watakuja kuangalia comments vizuri kesho maana najua mpira wamecheki..
 
Hivi yoyo, hesabu za huyu mdutch ni kwenda kwenye matuta?
ila na huyu mdutch hatabiliki fahamu kuwa anaijua sana La riga....formation ya leo ya 9-1-0 alitaka droo....
 
Powa powa Yoyo, ngoja sasa niende kwenye thread yetu Gooners kufanya update kuelekea kesho. Ade the silence killer
 
Hahah huyo Ade tukimletea Beyonce uwanjani lazima miguu iishiwe na nguvu aanze kutetemeka.
 
Back
Top Bottom