Hivi Anelka aligusa mpira! I Love Chelsea for life.....
aguse wapi wakati kaingia sekunde 32 zimebaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Anelka aligusa mpira! I Love Chelsea for life.....
tatizo napo mpira utakuwa unachezwa na timu moja tu.....arsenal..man u nao kama chelsea butua butua nyingiYoyo kesho mtoto atumwi dukani manake total football ndo inaenda kuonyeshwa kesho.
Nawapa moyo jamani,hujui tu! Halafu kumbuka tusiongee sana maana kesho na wewe una kazi kweli hivyo aste aste kuelezea gemu la leo!..Huwezi jua marudio yao itakuwaje pale darajani...
Hivi Anelka aligusa mpira! I Love Chelsea for life.....
Mbu
Halafu hizo 4-4-2-2 sijui namba gani zinajipangaje kwakweli hata sizielewi. Mimi naangaliaga chenga, pasi na magoli.
Inabidi nizifahamu vizuri hizo staili za kupanga wachezaji kwenye mechi.
Belinda kesho utashabikia team yako au yangu? 😀
Anyway, basi BJ nimekuelewa, kumbe unawapa moyo tu hawa... maana wenyewe unawaona humu? wanaona haya team yao ilivyocheza,...angalau kidogo masanilo anajikakamua kuandika chochote..., Aljuniortz, Ab-tichaz na Invisible wameingia mitini!!! Aibu mambo haya, 9-1-0 formation is hillarious 🙂
Ohh sweetie, nitakuelewasha tukiwa kitandani tunajadili siku ilikuwaje!
aguse wapi wakati kaingia sekunde 32 zimebaki
nitakufundisha freeeeInabidi nizifahamu vizuri hizo staili za kupanga wachezaji kwenye mechi.
Hata sijui aliingia kufanya nini, kipara chake kilikuwa kinang'aa kweli..Hey mimi leo nimeshabikia chelsea sababu yako,PAMOJA!..
Huyu ndio king'asti wako anayempenda Lionel Messi?
Huyu ndio king'asti wako anayempenda Lionel Messi?
Belinda kesho utashabikia team yako au yangu? 😀
Anyway, basi BJ nimekuelewa, kumbe unawapa moyo tu hawa... maana wenyewe unawaona humu? wanaona haya team yao ilivyocheza,...angalau kidogo masanilo anajikakamua kuandika chochote..., Aljuniortz, Ab-tichaz na Invisible wameingia mitini!!! Aibu mambo haya, 9-1-0 formation is hillarious 🙂
ila na huyu mdutch hatabiliki fahamu kuwa anaijua sana La riga....formation ya leo ya 9-1-0 alitaka droo....Hivi yoyo, hesabu za huyu mdutch ni kwenda kwenye matuta?
U're so Sweet leo hujamshabikia Messi wako....Love you more!
nitakufundisha freeee
ila na huyu mdutch hatabiliki fahamu kuwa anaijua sana La riga....formation ya leo ya 9-1-0 alitaka droo....
Messi kila akipita uwanjani roho juu, nampenda kweli. Huyo Gaucho nimemkumbuka tu kwakweli anavyocheka maana hanunagi....
Powa powa Yoyo, ngoja sasa niende kwenye thread yetu Gooners kufanya update kuelekea kesho. Ade the silence killer
nitakufundisha freeee