Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Arsenal mara ya mwisho kuchukua kombe ni karne gani?
Mara ya mwisho alichukua mwaka 2005 FA, kabla ya hapo alichukua la EPL mwaka 2004 , nadhani unawakumbuka invincibles na 49 unbeaten matches!!!
Thank you! wamekaa sana bila kombe du tokea 2005 na kuna dalili hii ni mpaka 2010!
Henry,Puyol na Marquez watakosa game ya Keshokutwa
Henry,Puyol na Marquez watakosa game ya Keshokutwa
...hata kama!,
jumatano CHELSEA mnachezea kichapo tu!
eee mwenyezi mungu sikiliza dua zangu! 😡
Eeh mwenyenzi Mungu mwingi wa rehema laani huyu mdudu, na Arsenal watundikwe 2-0
Ooops jamaa wamekanusha wanasema yuko fit kazi mnayo
Barca: Henry could face the Blues | Latest News | Football News from TEAMtalk
Messi yupo kikosini J5?!...
Ze bluez all ze best dhidi ya Barca!..
...Wow, 'mama masa' ushavaa na jezi ya Barca? naaaaaaaaaaaaaah,...wewe ni Man U tu bana!
acha kumtia presha mazee hapo!...
😀
...Wow, 'mama masa' ushavaa na jezi ya Barca? naaaaaaaaaaaaaah,...wewe ni Man U tu bana! acha kumtia presha mazee hapo!...😀
Huyu 'Mama Masa' wee muache tu, najua wapi pa kumshika hatofurukuta hata kama chama langu litapigwa bao, utamsikia pole honey...I can give you warmth usijali hata mimi siwapendi Barca...maisha yanaendelea.....Lakini walikuwa full Mkoko kwao wakashindwa wapo kwetu sisi tukiwa tumekamilika kila idara unategemea nini jamani!!
formation kaka, formation! ...mkicheza tena 9-1-0 angalau mnaweza kwenda mpaka extra minutes kisha penalti,....
lakini mkibadili tu formation, let say mkacheza zile za kawaida 4-4-2 au 4-3-3 mmekwisha...! Unaona Real Madrid walivyofanyiwa juzi?...au Bayern Munich?....
'Kiyama' chenu kinakuja!