Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi Arsenal mara ya mwisho kuchukua kombe ni karne gani?
 
Mnanyodo sana nyie heri Man Utd wanacheza vizuri wakisaidiwa na Howard Webb wanakamata vikombe!
 
Mbona mna hasira sana, Arsenal ni wasindikizaji naamini mmeshawatoa Barca tuingie tena fainali .Tunajua nyie kwenye penati wabovu
 
Hivi Arsenal mara ya mwisho kuchukua kombe ni karne gani?

Mara ya mwisho alichukua mwaka 2005 FA, kabla ya hapo alichukua la EPL mwaka 2004 , nadhani unawakumbuka invincibles na 49 unbeaten matches!!!
 
Mara ya mwisho alichukua mwaka 2005 FA, kabla ya hapo alichukua la EPL mwaka 2004 , nadhani unawakumbuka invincibles na 49 unbeaten matches!!!

Thank you! wamekaa sana bila kombe du tokea 2005 na kuna dalili hii ni mpaka 2010!
 
Thank you! wamekaa sana bila kombe du tokea 2005 na kuna dalili hii ni mpaka 2010!

Na wewe hongera kwa kujiunga na sheikh Yahya kufanya utabiri, kwa hiyo nyota zinakuambia kuna dalili kwamba huenda mpaka 2010??
 
Henry,Puyol na Marquez watakosa game ya Keshokutwa
 
Henry,Puyol na Marquez watakosa game ya Keshokutwa

...hata kama!,

jumatano CHELSEA mnachezea kichapo tu!
eee mwenyezi mungu sikiliza dua zangu! 😡
 
...hata kama!,

jumatano CHELSEA mnachezea kichapo tu!
eee mwenyezi mungu sikiliza dua zangu! 😡

Eeh mwenyenzi Mungu mwingi wa rehema laani huyu mdudu, na Arsenal watundikwe 2-0
 
Messi yupo kikosini J5?!...

Ze bluez all ze best dhidi ya Barca!..
 
Messi yupo kikosini J5?!...

Ze bluez all ze best dhidi ya Barca!..

...Wow, 'mama masa' ushavaa na jezi ya Barca? naaaaaaaaaaaaaah,...wewe ni Man U tu bana!
acha kumtia presha mazee hapo!...
😀
 
...Wow, 'mama masa' ushavaa na jezi ya Barca? naaaaaaaaaaaaaah,...wewe ni Man U tu bana!
acha kumtia presha mazee hapo!...
😀

Nimekubaliana na Mr. kama watapewa kichapo nitaitoa picha ya Messi japo napenda anavyosakata kandanda huyu kijana. Kesho ananishangilia halafu J5 nawashangilia ze bluez kwa ajili yake..
Man Utd ndo chama lenyewe, he he!....
 
...Wow, 'mama masa' ushavaa na jezi ya Barca? naaaaaaaaaaaaaah,...wewe ni Man U tu bana! acha kumtia presha mazee hapo!...😀

Huyu 'Mama Masa' wee muache tu, najua wapi pa kumshika hatofurukuta hata kama chama langu litapigwa bao, utamsikia pole honey...I can give you warmth usijali hata mimi siwapendi Barca...maisha yanaendelea.....Lakini walikuwa full Mkoko kwao wakashindwa wapo kwetu sisi tukiwa tumekamilika kila idara unategemea nini jamani!!
 
formation kaka, formation! ...mkicheza tena 9-1-0 angalau mnaweza kwenda mpaka extra minutes kisha penalti,....

lakini mkibadili tu formation, let say mkacheza zile za kawaida 4-4-2 au 4-3-3 mmekwisha...! Unaona Real Madrid walivyofanyiwa juzi ndani ya Bernabeu?...au Bayern Munich?....

'Kiyama' chenu kinakuja!
 
formation kaka, formation! ...mkicheza tena 9-1-0 angalau mnaweza kwenda mpaka extra minutes kisha penalti,....

lakini mkibadili tu formation, let say mkacheza zile za kawaida 4-4-2 au 4-3-3 mmekwisha...! Unaona Real Madrid walivyofanyiwa juzi?...au Bayern Munich?....
'Kiyama' chenu kinakuja!

Mzee pombe hizo....Real Madrid na Bayern si Chelsea....wewe nadhani wewe ni mtu mfupi, mbishi, una kiburi hupendi Chelsea...nakushauri saga chupa changanya na beer kunywa.....
 
Back
Top Bottom