Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nachukia sana wachezaji wanaochezea nafasi za kufunga kwa kutafuta penalti!
__________________
SI USEME TU KAKA DROGBA NA ANELKA...TUTAWAFANYAJE MHHH naogopa kwa style yao sijui MAN watapona huko ROME refa inabidi awe makini sana...ingekuwa vyema kama mmoja wao angepewa kadi ya njano asiwepo ROME iwe fundisho kwa wengine
 
Teh teh! Nakusikilizia tu maana kama kawaida yako kukimbia na hukosi excuses mida muhimu kama hiyo...
Aisee naomba nikupongeze in advance, hongereni kwa kuingia fainali!..
Inabidi tufanye party kwakweli maana si haba tulipofika na chelsea..haa ha

Hahahaha haitatokea bwana....no excuse any more...hiyo lazima ...msimamo wangu ule ule no Barcelona trip twende zetu Lisbon tukapumzike kabla ya fainal
 
Kwa heshima zote!
Familia ya Bw. FERGIE inapenda kuwakaribisha katika harusi ya mwanae MAN U atakaemuoa mchumba wake wa muda mrefu CHELSEA itakayofanyika The Stadio Olimpico(Rome) tarehe 27/5/2009. Karibuni sanaa!..
 
Mwali anaweza kuibiwa sekunde yoyote
 
Swetie usiwe ka mama 50 hahahahahaahha
 
Mwali anaweza kuibiwa sekunde yoyote

Shadow!

Hiyo imetoka yaani Barca kwisha habari,lol! Messi ameniangusha leo japo nilikuwa ze bluez..
Lambada nitacheza next time au ligi ya Spain huko..
 
shadow!

Hiyo imetoka yaani barca kwisha habari,lol! Messi ameniangusha leo japo nilikuwa ze bluez..
Lambada nitacheza next time au ligi ya spain huko..

vibonde wa wamoscow haoooooooo kuelekea rome lakini chochote chaweza kutokea.
 
nILISEMA bEKI ITAWAUAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MESSSSSIIIIIIII Inietaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom