Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

BI mkubwa BELLINDA na imagine

FINAL INGEKUWA WAZEE WA KUJIRUSHA

RONALDO

VS

DROGBA

SIJUI PENALT ZINGEKUWA NGAPI JAMANI

HUYU REFARII ANGEKUWA CHIZI
 
BJ, HAPA NDO PALIKUWA PENYEWE , NAJUA MASANILO ROHO ILIPIGA PAAAAAAAA NA IKABIDI UANZE KUMFANYIA HUDUMA YA KWANZA

na nyie kurushana roho ;mmmmhh EMBU acheni amjasikia huko KENYA jamani...

tunampenda massa wetu;MKUU INVIS embu hiyo picha juu uangalie vizuri kama ndiyo yenyewe au lah....

Hapana, hatofanya hivyo Masa bali inabidi awe tu chini ya uangalizi maana hizi presha na BP ambazo hazipo stable na situation ya leo ya Chelsea ni hatari!
Akipoa atarudi jamvini...si unajua jf,mtakuja tu!
 
Ni pendekeao tu huyu refariiiiiiiii wampe na final jamani

natumaini kujirusha hakutakuwepo
 
BJ,

Hiyo keki lazima imeshavunjwa vunjwa na mtu ameanza kwaresma kabisaaaaaaa.

Kila kitu kimeparamiwa, hapakaliki yaani utafikiri ni day care fulani ya watoto watunduu kumbe shamrashamra zimeingiliwa na huzuni!..
 
Mama Mia, I agree with you. Drogba na Ronaldo wananiboa kujirusha. Kwa kweli huwa inashusha hadhi yao yauchezaji. najua ni part of soccer techniques, lakini kujirusha kwao huwa kunanipa homa kali sana. I am glad they were denied the penealties.
It would be an interesting final game. I love soccer, because only 90 minutes could close the chapter until then anything could happen.
 
...angalia asije 'akajining'iniza mtini' kama yule bwana mkubwa pale Kenya! 😀 buahah aha ahha a aaaaa, hihi hhiiiiiiiii 😀😀😀

Hee! nje hatoki labda apatwe na dhoruba lingine..Actually, ametulia tu kimyaa haongei mpaka umuulize kitu au umwongeleshe..Hawezi muiga yule mkenya ambaye ameenda kuurithi ufalme wa the gunners,masikini!!!
 
Kitu kimoja kizuri ambacho blues watakikumbuka leo ni

1))mpira dk 90

2))penalt si magoli ya kutegemea sana kwenye mechi.....

Kama viongozi wa champion league wameangalia vizuri natumaini watampa discipline nzuri didie drogba kama mfano wa kuheshimu mpira na refa...aiwezekani refa anakasirika mpira umekwisha anaendelea kutoa kadi ya njano kwa drogba tunaitaji nidhamu kwa wachezaji..mchezaji si kufunga magoli ama kuwa na pesa nyingi nidhamu muhimu....
 
BI mkubwa BELLINDA na imagine

FINAL INGEKUWA WAZEE WA KUJIRUSHA

RONALDO

VS

DROGBA

SIJUI PENALT ZINGEKUWA NGAPI JAMANI

HUYU REFARII ANGEKUWA CHIZI

Yaani ni kweli, hawa wanafikiri wapo swimming pool wanadive! Kila saa,wameanguka! Refa angechanganyikiwa
 
Usiku mwema woote mungu awabariki kwa moyo wa unyenyekeevu mpaka dk ya tisini na kwa wale waliokataa tamaa mwanzoni wajue mungu anafanya njia pasipo na njia gnyt all
 
Inabidi tukamfundishe ETOO jinsi ya ku dive MAY 29
 
Usiku mwema woote mungu awabariki kwa moyo wa unyenyekeevu mpaka dk ya tisini na kwa wale waliokataa tamaa mwanzoni wajue mungu anafanya njia pasipo na njia gnyt all

Mama mia wengine huku mchana au umetunyanyapaa? Just Kidding
 
hehehe naona anashandilia msumari.
Barcelona defender Gerard Pique admitted he did touch the ball with his hand as the Spanish side qualified for the Champions League final at the expense of Chelsea - but insisted it was not deliberate.
 
BJ,

Hiyo keki lazima imeshavunjwa vunjwa na mtu ameanza kwaresma kabisaaaaaaa.

...keki imemtumbukia nyongo, akiona cream anazomea ardhi "buaaaaaaaaaaaaaaaarrrrggghhhhh" uwwwwiiii mbavu zangu, uhuuuhuuuuuhuuu, he heeeee 😀

Mbu, ebu niambie kuna beki gani za kuzuia the trio siku ya fainali? halafu yahya toure kakomaa sana leo kwenye dala alilocheza. Mzee wa kujirusha alilijua hilo!

...ebana eeeh, ya fainali ngoja nitakuja kukuambia, ngoja kwanza nicheke mie, ha ha haaaaaaaaaa!!!! 😀 uh uh uhhhh uhhh buaha haaaaaa!!!
 
KUMRADHI......USIKU/AASBH/MCHANA (MWEMA),....unajua huku ni usiku lakini kwa wale mashabiki wa blues kwao mchana hawatalala mpaka asubuhi...am kiddin..
au nimalizie

starehe njema//maana kuna wanaogonganisha glass wengine kitandani furaha tu...am....k..
ciao
 
Asante sana Bi.Mkubwa na wewe alasiri njema kama siyo Alfajiri popote ulipo kwenye hii sayari..asante kwa changamotoz
 
....dah! ebana eeeeeh! ,....umewahi kuona mbuzi wa khitima kavalishwa kaputula halafu wanaompeleka machinjoni wanampigia kagoma ndiii ndiii ndiiii, naye anakatika tibwili tibwili?!...
 
mwenye glass kitandani tugonge mwisho mwisho.....

Asante sana Bi.Mkubwa na wewe alasiri njema kama siyo Alfajiri popote ulipo kwenye hii sayari..asante kwa changamotoz

amina nanyi pia...niombee msamaha kwa mkuu MASANILO yalikuwaa ushabiki amefurahi mpaka dk ya 93 nami nikaaendele dk ya 94 mpaka ROME...
AKUDO'S
 
Asante sana Bi.Mkubwa na wewe alasiri njema kama siyo Alfajiri popote ulipo kwenye hii sayari..asante kwa changamotoz

kumbe kuna wengine kwao bado mchana mida hii?, hii match is scheduled to start 7.30pm, subirini game haijachezwa,...hamuwezi jua, huenda Chelsea wakaingia fainali kwenye televisheni zenu! 😀😀😀
 
...keki imemtumbukia nyongo, akiona cream anazomea ardhi "buaaaaaaaaaaaaaaaarrrrggghhhhh" uwwwwiiii mbavu zangu, uhuuuhuuuuuhuuu, he heeeee 😀

...ebana eeeh, ya fainali ngoja nitakuja kukuambia, ngoja kwanza nicheke mie, ha ha haaaaaaaaaa!!!! 😀 uh uh uhhhh uhhh buaha haaaaaa!!!

Mbu..
Asubuhi tutachambua vizuri maana ardhi imechafuka. Mwenzio kama wewe siku ile(1st leg ya man vs arsenal)....Fainali upo Barca wewe nakuona!

Shadow..
It was fun kwakweli, mpira una raha sana!..Tusubiri fainali,najua utakuwa Barca no doubt!..

Tunapata fresh air kidogo halafu tulale!..bisi bisi hazipandi tena..Thank you,catch you kesho!
 
Back
Top Bottom