Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila hizi beki za Chelsea sijui zimetoka nchi gani. Hani Haland anawaegemea tu nakuchukua mpira anawageuza anavyotaka.

Kweli Virgil van Dijk atabaki kuwa ndio beki bora duniani. Haland huwa anaomba sub akikutana na van Dijk ila leo huyo Colwell na Chalobah utafikiri ni vikinda vya miaka 10.

Pumbaf kabisa
 
Aina ya uchezaji wa Nkunku ninyi ndio hamjui
Anahitaji wachezaji wenye uwezo wa kumpelekea huduma kitu ambacho hakuna. Mpelekee mpira kwenye penalti box ndio utajua umuhimu wake
Bora hata jackson kule mbele kunakuwa bize
 
Aina ya uchezaji wa Nkunku ninyi ndio hamjui
Anahitaji wachezaji wenye uwezo wa kumpelekea huduma kitu ambacho hakuna. Mpelekee mpira kwenye penalti box ndio utajua umuhimu wake
Aisee, seriously?
 
Tafuteni Goalkeeper wa kueleweka huyu Sanchez sio No.1 kipa wa levels za timu kama Chelsea.

Sanchez ni big reasons ya Timu yenu ku- suffering mpaka sasa akifuatiwa na Jackson.
 
Mkiendelea kuwachekea hawa Makima Top 4 mtaisikia kwenye bomba.
FB_IMG_17378365335915598.jpeg
 
Hii ndio siku pekee tulikuwa tunaweza isambaratisha City ila Game setup ya Maresca na kukomalia wachezaj wanaomuangusha inatugharim
Hata game plan yake ilikuwa ya hovyo kweli. YaaniMaresca anajionyesha waziwazi ni ko9cha very weak
Timu imecheza vibaya hivyo huku kwenye m,edia unasema timu imecheza vizuri kuliko miezi mitatu iliyopita. Huu ni uongo kabisa. Timu ilianza kucheza hovyo mwishonimwa Desemba tulipocheza na Everton
 
Chelsea wanafikiria kumuondoa kwenye ugolkipa namba 1 Robert Sanchez baada ya kufanya makosa iliyosababisha magoli hivi karibuni

Telegraph Football

@TeleFootball


1737857320911.png

1737857548045.png
 
Back
Top Bottom