Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Joao Felix to AC Milan
Atamalizia loan spot iliyobaki kwa hiy hatutakuwa na wachezaji tena watakaoenda mkopo msimu huu wa Januari. wakiwemo akina
  1. Nkunku kwenda Bayern au Manchester United
  2. Disasi kwenda Aston Villa
  3. Anselmino kwenda Marseille

1738596117525.png
 
Chelsea wanakaribia kumsajili Dario Essugo kwa mil 25 na ana miaka 19 tu na uchezaji wake ni copy and paste ya Moises Caicedo. Romeo Lavia naoan anatafutiwa kitands kuzuri cha kuuguza majeruhi yake
Huyu akisajiliwa itamake sense
1738597851948.png
 
Chelsea na St Etienne wanakaribia kumsajili kiungo wa miaka 19 Mathis Amougou huku mkataba ukikamilishwa.

Ada ni karibu €15m, maelezo ya mwisho yanashughulikiwa.
x.com
x.com
@FabrizioRomano
1738600039844.png
 
Ni Rasmi sasa. Tuna SD wahovyo kuwah kutokea.
Nilisema usajil wa felix ulikuwa hauna haja haya leo hii mchezaj wa 57M unamtoa kwa mkopo ndani ya miez 6 .

Tunazid kuongeza rundo la wachezaj tu hapa.
Siku Clearlake na Boehly wakija kushtuka basi tuko pabaya sana
 
Chelsea vs Westham
Formation: 4-2-3-1
Lineup

-----------------Jackson-----------------

Sancho----------Palmer-----------Madueke

-------Enzo ----------------Caicedo------

Cucurella --Colwill--Tosin--James

---------------Jorgesen -------------
Bench
1) Robert Sanchez
2) Malo Gusto
3) Trevoh Chalobah
4) Josh Acheampong
5) Kiernan Dewsbury-Hall
6) Tyrique George
7) Pedro Neto
8) Christopher Nkunku
9) Marc Guiu

1738608326249.png
 
Ni Rasmi sasa. Tuna SD wahovyo kuwah kutokea.
Nilisema usajil wa felix ulikuwa hauna haja haya leo hii mchezaj wa 57M unamtoa kwa mkopo ndani ya miez 6 .

Tunazid kuongeza rundo la wachezaj tu hapa.
Siku Clearlake na Boehly wakija kushtuka basi tuko pabaya sana
Halafu hawapewi muda wa kucheza ili wapande bei
Nkunku kakosa bei kwa sababu hachezi, walikuwa wako tayari kutoa mil 40 tu
Hakuna plan, kujilimbikizia wachezaji ambao hawatacheza kwa hiyo hakuna hata matumaini kule mbele
 
Tukubali wakuu Nkukuu formation imemshinda au hana bahati kwa Chelsea, kila akipewa nafasi ndiyo anazidi kujificha kiasi kwamba uoni impact yale uwanjani.
Nkukuu, Falcao, Gonzalo Higuani, Alvaro Morata walipofika Chelsea walikuwa kama wamerogwa vile...wanatangatanga tu uwanjani bila faida.
Mtu pekee anaeweza kuichalange nafasi ya Jackson pale Chelsea ni mtu anaetumia nafasi kwa ajili ya kufunga tofauti na hapo bora Jackson abaki aendelee kubahatisha japo anawapa mabeki kashikashi.
Japo sijaelewa sababu ya kuwatoa wote Ugonchuku na Chukuemeka alafu unamtela tena vijana wa miaka 19.
Uwezi kuchukua kombe na watoto chini ya miaka 25 na wala zaidi ya miaka 33...
 
Ili hesabu zangu zikae sawa inabidi leo kenge mpigwe
 
Back
Top Bottom