Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan mpk Arsenal wamejipgia mkono, aisee sisi tuna kocha kiazi kupita maelezo.Narudia kusema game yetu na City ilikuwa ndio game pekee ya kuisambaratisha City ila Mareaca akajifanya mjuaji
Last born aende tu maana anadeka sana huyuJoao Felix to AC Milan
Atamalizia loan spot iliyobaki kwa hiy hatutakuwa na wachezaji tena watakaoenda mkopo msimu huu wa Januari. wakiwemo akina
- Nkunku kwenda Bayern au Manchester United
- Disasi kwenda Aston Villa
- Anselmino kwenda Marseille
View attachment 3223694
Hii timu ndio tunawaza ishindanie makombe?Chelsea na St Etienne wanakaribia kumsajili kiungo wa miaka 19 Mathis Amougou huku mkataba ukikamilishwa.
Ada ni karibu €15m, maelezo ya mwisho yanashughulikiwa.
x.com
x.com
@FabrizioRomano
View attachment 3223726
Hii timu ndio tunawaza ishindanie makombe?
Tukubali tukatae hapa kipaumbele ni biashara makombe baadae
Sina muda wa kupoteza kuangalia hiyo mechi. Sasa hivi tuendelee kujadili kuhusu biashara mama ya kununua na kuuza wachezaji.Game la leo ni la muhimu sana sana kushinda!! ila utashangaa wanaruka ruka tu uwanjani. Shuuubamiit
Halafu hawapewi muda wa kucheza ili wapande beiNi Rasmi sasa. Tuna SD wahovyo kuwah kutokea.
Nilisema usajil wa felix ulikuwa hauna haja haya leo hii mchezaj wa 57M unamtoa kwa mkopo ndani ya miez 6 .
Tunazid kuongeza rundo la wachezaj tu hapa.
Siku Clearlake na Boehly wakija kushtuka basi tuko pabaya sana
Mkuuu mwalimu nae hakuna kituNarudia kusema game yetu na City ilikuwa ndio game pekee ya kuisambaratisha City ila Mareaca akajifanya mjuaji
Tukubali wakuu Nkukuu formation imemshinda au hana bahati kwa Chelsea, kila akipewa nafasi ndiyo anazidi kujificha kiasi kwamba uoni impact yale uwanjani.Halafu hawapewi muda wa kucheza ili wapande bei
Nkunku kakosa bei kwa sababu hachezi, walikuwa wako tayari kutoa mil 40 tu
Hakuna plan, kujilimbikizia wachezaji ambao hawatacheza kwa hiyo hakuna hata matumaini kule mbele
Mbona hata nyinyi tumewapiga mkonoYaan mpk Arsenal wamejipgia mkono, aisee sisi tuna kocha kiazi kupita maelezo.