Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dakika ya 9 Nani anaziona nyavu za Chelsea
 
Ni community shield siyo FA cup!!! unganisha na ya Invisible,
Ahhh hata tukifungwa poa tuuu, kwanza kombe lenyewe la mbuzi 🙂

Man U kwa kubahatisha siwawezi... Lakini ngoma bado mbichi 😛
 
Roho inaumaaaa.... natamani tungeanza kuwafunga tu nipige domo hahahahaha
 
Mkuu kuangalia Tv naanza kushindwa hahahaha....

Jamaa wanaonekana wamedhamiria ile mbaya, hata hawataniwi?
 
Duh,

Hahahaha... Mimi nazidi kushindwa kuangalia kabisaaaaa.... Ntarudi nikisikia watu wanashangilia 🙂
 
nafikiri tunamkosa Bosingwa kule kulia, Ivanovic haendi mbele sana, na ni mzuri kama centre-half
 
chelsea uzee ndio utawaangusha msimu.

Aisee usijidanganye, wana vijana zaidi ya 50% ya timu, depending on how you define uzee [kwangu mimi ni 30+], ila tumeizoea timu hiyohiyo kwa miaka kadhaa sasa

Lets wait and see how Valencia will feature after a move from wigan, but for sure Nani is up to the game
 
Back
Top Bottom