Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,527
- 6,306
Noma sana mzee. Kwanza alikuwa anatisha tuu ukimuona.Nasikia alikuwa ni mshenzi sn
Eti alikamata kontena la CUF lina visu na majambia siku chache kabla ya uchaguzi, senge sana hili zee na likufilie mbali tu.Yupo hoi kwa sababu ya maovu ake
Mtume Muhammad (SAW) pia alisema:Uzuri wakati huwa hausubiri mtu, neng'eneka wee lakini wakati ukifika haina kungojana.
Leo Mahita mwili wote kwisha, hata kutembea mwenyewe hawezi.
Sioni hata cha kushangaza, kutembea na magongo haitokani na ubabe wake, but ni uzee, ingawa hakuacha alama nzuriUle ubabe na kiburi Cha IGP Omarry Mahita , leo nimemuona kwenye msiba wa mtoto wa rafiki yake Chico, akitembelea magongo Kwa Uzee .
Asee cheo ni dhamana, na duniani tunapita, tuache kibri na tuishi na watu vizuri .
View attachment 3277205
Wampe hata sumu afe, katesa sn watanzaniaEti alikamata kontena la CUF lina visu na majambia siku chache kabla ya uchaguzi, senge sana hili zee na likufilie mbali tu.
Wampige hata sindano ya sumu afe kabisaNoma sana mzee. Kwanza alikuwa anatisha tuu ukimuona.
Sasa hapo kuna shida gani? Kwani vyeo huwa tunakufa navyo?Ule ubabe na kiburi Cha IGP Omarry Mahita , leo nimemuona kwenye msiba wa mtoto wa rafiki yake Chico, akitembelea magongo Kwa Uzee .
Asee cheo ni dhamana, na duniani tunapita, tuache kibri na tuishi na watu vizuri .
View attachment 3277205
Kwani yeye na Wassira nani ana umri mkubwa kumzidi mwenzieKutembea amejikunja hivyo ndiyo mema ya nchi?
Wasira ana miaka 109Kwani yeye na Wassira nani ana umri mkubwa kumzidi mwenzie
Na hapo kafoji ili apate umakamu mwenyekiti 🤣🤣Wasira ana miaka 109
Yap ni kikongwe haswaNa hapo kafoji ili apate umakamu mwenyekiti 🤣🤣
Lilikuwa jitu katili sana, lilikuwa kwenye mtandao wa kuiba magari kuyavusha Kenya, jitu ngunguri.Ule ubabe na kiburi Cha IGP Omarry Mahita , leo nimemuona kwenye msiba wa mtoto wa rafiki yake Chico, akitembelea magongo Kwa Uzee .
Asee cheo ni dhamana, na duniani tunapita, tuache kibri na tuishi na watu vizuri .
View attachment 3277205
Kweli Kova sio MwemaUzuri wakati huwa hausubiri mtu, neng'eneka wee lakini wakati ukifika haina kungojana.
Leo Mahita mwili wote kwisha, hata kutembea mwenyewe hawezi.