Chepuka kwa akili...

Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
Hao wanaume wa sayari ipi ?
 
Ikitokea kijiweni wawili au watatu mkajua kama mmepita kwa malaya mmoja mnagombana?

Mind you, sizungumzii demu wa yeyote kati yenu. Nazungumzia cha wote.
Scenario unayozungumzia ni kwamba mmekula nyama moja kila mtu kwa wakati wake bila kujua. Kwa hilo sina tatizo nalo. Wala hatuwezi gombana
 
Duuh kazi ipo[emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…