Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Hahahaaaaaa hapa najikuta tu lakini ndoa ni kisanga na kama mmeingia bhasi endelezeni league ili ukizeeka upate kitu kizito cha kumuasa binti yako akiwa anaolewa maana trick na chocho zote ushapita .
Amen hapo nmekuelewa
 
Jifunzeni kuwa smart yaani me nimekuoa, lakini kisa ya tozi flani unaniona me Tonji.
Wakati sisi tunapiga vitu vikali huko nje, lkn kwa kukuheshimu mke wangu bado nabaki kwenye mstari wa ndoa.
Kwani sie tunakula vibovu? Yani nishuke kwenye harrier nikapande starlet? Hihiiiiiihihi
 
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
hilo natoa ushuhuda kuna washikaji zangu wa 3 wanakula mwanafunzi mmoja na wanajuana mimi niliwaambia wawe makini tu maana miaka 30 inawaita
 
Haha tusingekuwa tunaona matukio ya kuchomana visu na kulawitiana
wanaofanyia ivyo ni wale wasiojuana kabisa jamaa anaamua kumfanyia unyama mwenzie sababu hawajuani lakin kama mko kitaa kimoja mbona safi tu
 
Nikweli umenena... Me nikitoka kuchepuka huwa najiona mjinga sana so nachokifanya narudisha majeshi kwanguvu zote kwapermanent girl wangu
 
Back
Top Bottom