Chereko chereko ujio Tume Huru ya Uchaguzi

Ni tume huru kwa maneno tu kwa vitendo ni tume ya kuhakikisha ushindi kwa CCM kwa njia yoyote.
 
Hahahaaaa....... Haya bwashee!
 
Wawepo maspeaker na rais waliopatikana kutokana na uchaguzi halali. Kwa majina hayo sioni tume huru ikipatikana
 
Ungetafutwa utaratibu mbadala wa kupata tume huru ya uchaguzi.Tatizo ni watu kutoaminika.Ingawa kuna watu hata akiwa na Kadi ya chama fulani,lakini Wana uwezo wa kuangalia maslahi mapana ya nchi.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 

Tume huru inahusiana vipi na wagombea mjomba 😁😁?
 
Uhuru wa mtanganyika ulipatikana bila kumwagika tone la damu. Ukombozi wa pili wa mtanganyika kutoka minyororo ya mkoloni mweusi damu imemwagika na bado.
 
Hiki ni kimuhemuhe, ni maigizo yanaendelea. Tume huru gani isiyohushisha wapinzani kwenye mchakato mzima.
 

Ni vyema wao na washirika wao wa kajua hatutaukubali uhuni huu.
 
Ni mpaka wapigwe ngeu mkuu

Otherwise Zitto ataliwa tako sana aisee

Sijuagi kwanini Zitto ni kiazi hivi aisee

Yupo anamlamba mama miguu utadhani CCM ilivyo itatoa tume huru kweli...yaani dunia ina wanafiki sijapata ona

Zitto na zambarau watakuwa wamenasa kati ya mahaba ya wa Zanzibar na Mama. Mcheza kwao hutunzwa.

Tulipo wana 21% ajira JMT na mengi mafao lukuki wanayoyapata kwa mgongo wa Muungano.

Zenji ndiyo Chatto ya leo. Wazenji sasa hivi wapo kwenye kula na vipofu. Kwani hawautaki Muungano tena? Lugha zao sasa laini...

Si Zitto wala ACT wenye udhibiti wowote wa mambo au hata siasa za Zenji.
 
Tutapigwa na kitu kizito sana... labda kama hao wajumbe watapatikana kwa taratibu huru na za wazi na si teuzi za kificho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…