Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa....... Haya bwashee!Asante sana kwa update hii ninarejea sasa kufanya marekebisho stahiki. Ndiyo maana nikaweka angalizo la kuitisha nafasi ya maboresho.
Umeona mambo hayo sasa mjumbe mtarajiwa wa tume huru ya uchaguzi kutokea UP - Hapa Kazi tu, bwana johnthebaptist?
Mtoa mada ayajulie wapi haya ya nchi nyingine? Si sawa na kumfahamu jaji mkuu wa Malawi au Burundi?
Wawepo maspeaker na rais waliopatikana kutokana na uchaguzi halali. Kwa majina hayo sioni tume huru ikipatikanaZimesikika chereko chereko na mayowe ujio wa tume huru ya uchaguzi.
View attachment 2052687
Bila shaka katika wote kina Addo Shaibu pale mtaa wa Jukwani nao pia hawajabakia nyuma.
Haiyumkiniki tume hii itaundwa kwa kuzingatia msingi uliopo katika katiba pendekezwa ili kupisha shari:
View attachment 2052694
Kwa kuzingatia msingi huo, bila shaka basi kwa sasa, utakuwa na majina mazito mazito haya:
1. Prof. Ibrahim Juma
2. Khakis Ramadhan (Kaimu CJ Zanzibar)
3. Job Ndugai
4. Zubeir Maulid (Zanzibar).
5. Jaji Mustapha Siyani.
6. Jaji Ibrahim Mipawa
Tusaidiane kama kuna nilipotereza kuweka kumbukumbu kuwa sahihi.
CCM mbele kwa mbele 🎼🎼!
Kazi iendelee.
Ungetafutwa utaratibu mbadala wa kupata tume huru ya uchaguzi.Tatizo ni watu kutoaminika.Ingawa kuna watu hata akiwa na Kadi ya chama fulani,lakini Wana uwezo wa kuangalia maslahi mapana ya nchi.Job Ndugai ana kadi ya chama cha CCM
Zubeir Maulid ana kadi ya chama cha CCM
Omar Makungu ana kadi ya chama cha CCM
Una 50% ya members hao wana kadi halali za CCM na ni wana CCM kiofisi
Majaji wote ni washabiki wa CCM japo hawana kadi maalumu...ndio jaji utumbo kama Siyani au Jaji mkuu,maccm!
Hapo hatuna tume Huru,tuna Tume iliyochaguliwa kwa atleast wajumbe 50% wanachama rasmi wa CCM ni tume Huru ya CCM
Hakuna kitu hapo...hatukubali huu umatako
Rubbish218-(1)(g): Mwenyekiti wa CHADEMA taifa
Bila kipengele hicho kuwepo CHADEMA hawaamini kama bado hiyo tume ni huru
ila mbowe huwa anagombea na wenzake
ukijaribu tu kugombea na mbowe lazima upotee muulize wangwe yuko wapi mawazo yupo wapi saa nane yupo wapi mzee waziri mkuu mstaafu aliponea chupuchupu kupotezwa pale tu alipotaka kugombea uenyekiti na mbowe akaambiwa mzee sumu haionjwi mnapoambiwa mbowe ni GAIDI mnakuwa wabishi shauri yenu msije kusema hamjui
Hahahaaaa....... Haya bwashee!
umesoma niliyekuwa namjibu au unaingiliwa tu bila kujua chanzo?Tume huru inahusiana vipi na wagombea mjomba 😁😁?
Hajui tume huru huyo ,,,nadhani kasoma vile vyuo vya kugawa GpaTume huru inahusiana vipi na wagombea mjomba 😁😁?
Wana masihara Sana hao jamaa yaanHapo mahali akishaingia Jobo pameharibika halafai tena
Hapo mahali akishaingia Jobo pameharibika halafai tena
Wangapi hao mkuu utawapata wenye kuangalia maslahi mapana?
Hebu fikiria,Spika tu,ccm hawatakuchagua uwe spika huko Bungeni kama wewe sio mnazi wa CCM,Sitta alikua tofauti kidogo,ila bunge ndio lilishavamiwa na rais wote wanamtii rais,hakuna cha maana hapo
Wote kwenye hiyo kamati wanachaguliwa na rais,kasoro MasSpika wanaochaguliwa na maCCM kule bungeni na kule kwenye baraza la Zbar
Majaji wote wanachakuliwa na rais
Yaani kamati nzima inayotokana na rais wa CCM na maspika waliochaguliwa na CCM eti ndio waje kutuchagulia tume "huru" ya uchaguzi?
hawa majamaa yanavuta bangi kabisa,halafu yanadhani watz tutakubali eti
Alipewa VIP treatment na watu wasiojulikanaDuh! Alikufa kwa ajari! Pumzika mwamba!
Jaji Makungu sasa ni jaji wa mahakama ya rifaa tanzania.kwa Zanzibar anaekaimu nafasi ya jaji mkuu ni Mh Khamis Ramadhan
Ni mpaka wapigwe ngeu mkuu
Otherwise Zitto ataliwa tako sana aisee
Sijuagi kwanini Zitto ni kiazi hivi aisee
Yupo anamlamba mama miguu utadhani CCM ilivyo itatoa tume huru kweli...yaani dunia ina wanafiki sijapata ona
Tutapigwa na kitu kizito sana... labda kama hao wajumbe watapatikana kwa taratibu huru na za wazi na si teuzi za kificho!!Zimesikika chereko chereko na mayowe ujio wa tume huru ya uchaguzi.
View attachment 2052687
Bila shaka katika wote kina Addo Shaibu pale mtaa wa Jukwani nao pia hawajabakia nyuma.
Haiyumkiniki tume hii itaundwa kwa kuzingatia msingi uliopo katika katiba pendekezwa ili kupisha shari:
View attachment 2052694
Kwa kuzingatia msingi huo, bila shaka basi kwa sasa, utakuwa na majina mazito mazito haya:
1. Prof. Ibrahim Juma
2. Khakis Ramadhan (Kaimu CJ Zanzibar)
3. Job Ndugai
4. Zubeir Maulid (Zanzibar).
5. Jaji Mustapha Siyani.
6. Jaji Ibrahim Mipawa
Tusaidiane kama kuna nilipotereza kuweka kumbukumbu kuwa sahihi.
CCM mbele kwa mbele 🎼🎼!
Kazi iendelee.