Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

Ndo hao wengine wanampa tu urais wa watoto ambao baba zao wameingia mitini.
Maana Kenya nako mipango tu,na kale kakijana kasouth pia ilisemwa bibie alichepuka na mzazi mwenzie wa mwanzo
Wanawake ni injini aisee.
Wanahitaji dereva tu hata kama dereva huyo ni kanjanja
 
Wanaume % kubwa wanalea watoto ambao si wao,
 
Yani hiyo kukirii tu alitoka na nengaa inatosha kabisaa kuprove kuwa mtoto ni wa nengaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuhusu wakati gani anaweza kudanganyaaa
 
Hamisa na nenga? Hapana.hamisa alichosema zamani alisema alikuwa.kwenye.mahusiano na diamond muda mrefu akapata.mimba ikatoka, wakajaribu sana ndo akatokea huyu mtoto sasa nenga kaingiaje humu au ndo mimi sielewi?
Hamisa alipofikia nenga sio type yake labda awe chawa.
 
Wew ndo unasemaa ilaa hamida alikirii nengaa alimkulaa sema baada ya Kumzaa dylan ilaa ukweli naoneshaa walikuwa wanakulana hata kablaaa...
 
Wewe haya nyooosha maelezo kwanini lakini ile crown unayo ujue ooohhh..
 
Wew ndo unasemaa ilaa hamida alikirii nengaa alimkulaa sema baada ya Kumzaa dylan ilaa ukweli naoneshaa walikuwa wanakulana hata kablaaa...
Kama kweli basi wasanii wa ovyo sana.mimi kale ka nenga hapana

Wanawake tuna mapungufu ila mimi mwanaume star kutokea bongo ambae ningesema shetani angenipitia ikatokea tu ni kanumba tu hawa wengine hamna kitu. Yule na alikuwa mwanaume hata watu wakikuta nae hamna. mbumbumbu

Sasa ka nenga na hicho kidomo aiiiiiiiiii

Nyie wasanii hawana kinyaa hivi kwa nini hawapati ukimwi?
 

Etiii hawapati "Ngoma"?? Chain ni ndefu....kwakuwa ukimwi wa sasa ni ngumu kujua ila wenyewe wanajijua ,Ni kazeze ni kazeze ni kazeze.

Nenga ni punda huyo ,kwahiyo mtonyo alikuwa nao wa kuweza kubang na warembo kama kina Mobeto.
 
Kwa bahati mbaya akinamama huwa hawalijui hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…