Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

Yaan Wabongo siwawezi kwa kweli, hadi wameweza kuwafarakanisha Domokaya na Hamissa kuhusu mtoto Dylan.

Ila watu, akati mobetto alishasema amekua kwenye mahusiano na Nenga wakati Dylan aba miaka 2, sasa itakuaje awe mtoto wake. Khaaaaaah

Wabongo nawagawa bureeee, uwiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu kwanza mbona hii mpya,
Hamisa alitoka kweli na Nenga!!!
 
Mjazeni ujinga tu,
Hako katoto ndio katakuja kumuosha akiwa hoi kitandani kwa maradhi ya kupooza mwili.
Tatizo linaanzia kwa mama mwnyw
Mwanamke kishaanza umfanya mtoto kitega uchumi,

Huridhiki na unachopata ujakaa sawa mara kesi ustawi wa jamii, Mara polisi, mahakamani n.k

Unazalisha chuki na uadui unaomuathiri Hadi mtoto, sisi wanaume tuna roho ngumu sana tukiamua kusimamia maamuzi yetu
 
Hii issue nimeanza kuisikia mda kidogo, Mpoki naye juzi kapigilia msumari kimafumbo Diamond naye jana alipost clip ya video ya mwanamme aliye bambikiwa mimba na kusweka lock miaka mitano baadaye inakuja kufahamika mtoto si wake hata SnS nao walishare hii story.

Now naanza kuamini, kwanza Solome anavyopenda kwenda ustawi wa jamii na mauzo kwenye makamera, kama ni kweli Chibu kamkataa dogo sasa hivi angekuwa tayari kishampeleka ustawi wa jamii na tayari kishampatia habari Dada yake Mange.Angeweka mpaka waandishi wa siri wapate video kama alivyofanya kipindi kile alipokuwa anajifungua na wakati akimpeleka Diamond ustawi wa jamii. Ila mpaka sasa kimya,ukiona hivyo kuna ukweli kuhusiana na hizi tetesi.

Ila dada zangu shukuruni DNA kwa bongo hapa process yake ndefu ila ingekuwa rahisi ,mngeumbuka sana na ndoa nyingi zingevunjika.

Haya ndiyo matatizo ya kudate wadangaji wanachezea mashine karibia kila siku za wanaume tofauti tofauti mpaka wanachanganyikiwa kujua mimba ni ya nani, matokeo yake kati ya wale madaga yake anatafutwa kwenye uwezo anapewa mtoto ambaye si wake.
 
Back
Top Bottom