Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Ila Kwa mtu mwenye utimamu tu ndio ataelewa yule mtoto sio wa Monndy kabisa kachomekewa kabambikiwa dogo afanani na Mondy kabisa yaan
Na yule wa kiume wa Zari mbona anafanana na yule marehem ex husband wa Zari nae si wa Mondi?