Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Kwa sababu hiyo ndiyo akakubali hata kama ni katoto ka Nenga?Mjazeni ujinga tu,
Hako katoto ndio katakuja kumuosha akiwa hoi kitandani kwa maradhi ya kupooza mwili.
Kukua bila kujipanga na kutegemea utaokolewa na watoto fainali itakapokufikia ni aina mojawapo ya uzembe.