Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Yes,
Kwenye Birthday ya Tiffah alihojiwa akiwa anakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,
Hama toka uko tandahimbaKuna nini huko daslam mbona wengine mnatuacha nyuma?
Huyo Hamisa kafikia wapi? Mbona pisi ina maisha ya kawaida tu ile? Sasa Nandy na Hamisa wanatofauti gani kiuchumi na fame?Hamisa na nenga? Hapana.hamisa alichosema zamani alisema alikuwa.kwenye.mahusiano na diamond muda mrefu akapata.mimba ikatoka, wakajaribu sana ndo akatokea huyu mtoto sasa nenga kaingiaje humu au ndo mimi sielewi?
Hamisa alipofikia nenga sio type yake labda awe chawa.
Uliwapima ukagundua kuwa wasanii hawapati ukimwi?Kama kweli basi wasanii wa ovyo sana.mimi kale ka nenga hapana
Wanawake tuna mapungufu ila mimi mwanaume star kutokea bongo ambae ningesema shetani angenipitia ikatokea tu ni kanumba tu hawa wengine hamna kitu. Yule na alikuwa mwanaume hata watu wakikuta nae hamna. mbumbumbu
Sasa ka nenga na hicho kidomo aiiiiiiiiii
Nyie wasanii hawana kinyaa hivi kwa nini hawapati ukimwi?
Mbona huyo Nandy alikubali kuliwa na Ruge (anayesemekana kuwa alikuwa Grid ya taifa), UKIMWI ni mwingi sana kwa Wasanii.Mbona sasa kamuoa nandy na wana mtoto hii imekaaje? Angekubali kuolewa na ngoma? Au ngoma za wasanii ziko tofauti na za huku mitaani? Maana mzunguko ni mkubwa mtu anaachana na yule anakwenda kwa huyu mimi sielewi kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nani hajui KWAMBA haipimwi kama malaria usibishe KITU ambacho hujui una uhakika Gani mi MUONGO ....kweli we ni STUPID NIGGA
Basi huyo Mungu ni waajabu sana.Hana Mtoto Hata mmoja na akifa kisheria anapaswa atangazwe Hana Mtoto
Na wale watoto kama waislam wanapaswa watumie majina ya mama zao na hawana urithi na Wala ye hawarithi pia na wanapaswa waitwe hivi Latifa Zarina Hassan,Nillan Zarina Hassan,Dylan Hamissa Hassan na yule wa Kenya pia hivyo hvyo anafurahisha walimwengu ila Kwa Mungu (Kwa tunaoamini)Hana chake
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo ni boy ila kaleft group
SawaBasi huyo Mungu ni waajabu sana.
Hatari sanaa karmaa huwa hasahau aiseee... sema diamond ashukuru ana hela na teknolojia imekuaa maana angekuja kushtuka kashaleaa mtoto kawa na miaka 30 mafanikio anayapata alafu sio mwanae[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KARMA ina mtafuna Diamond,angalia hata yeye mwenyewe kuzaliwa kwake na maisha yake,ukumbuke naye kalelewa na baba asie wake,mwishoni ameshakuwa ndio inadhihirika kuwa huyu baba ambaye ilionekana Diamond hamjali kumbe si baba mzazi na baba ake mzazi alishafariki.Kifupi zinaa ni mbaya sana,mwisho wa siku ndio unakutana na haya mambo ya watoto wanaozaliwa bila ya kujua baba zao....
Wewe naye kiazi.
Una kurupukaaaa tyuuh na huna unachokijuaa, hebu nipishee mie kiazi wee, kaa kwa kutuliaa nyokooooo wee!!!Wewe naye kiazi.
Vunjabei ni msanii wa nini?
Wewe baada ya kujua Vunjabei ni msanii hewa imekusaidia nini ?Una kurupukaaaa tyuuh na huna unachokijuaa, hebu nipishee mie kiazi wee, kaa kwa kutuliaa nyokooooo wee!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa nyoka ni nyoka huwezi kumgeuza akawa kinyongawaislamu mshaulini chibu ni muislamu mwenzenu anaendekeza zinaa mpo tu mmenyamaza ila mkisikia kitimoto mnashupaza shingo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mtu hebu nipishee kuleee, huna unachokijua mxxxieeeeew, unakurupuka vibayaa, niliye mjibu alielewaa, wee kaa kushotooo, umbea na udakuu sio fani yako.Wewe baada ya kujua Vunjabei ni msanii hewa imekusaidia nini ?
Nawaonea huruma wazee wako kwa kukuza kilaza wa hovyo kama wewe.
Hasara ya taifa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mtu hebu nipishee kuleee, huna unachokijua mxxxieeeeew, unakurupuka vibayaa, niliye mjibu alielewaa, wee kaa kushotooo, umbea na udakuu sio fani yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Ukoo wenu pia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hasara ya taifa.
Ukoo wetu hauna mtu kama wewe