Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

Chibu ashtukia chezo la "Salome" kuhusu mtoto

Mbona sasa kamuoa nandy na wana mtoto hii imekaaje? Angekubali kuolewa na ngoma? Au ngoma za wasanii ziko tofauti na za huku mitaani? Maana mzunguko ni mkubwa mtu anaachana na yule anakwenda kwa huyu mimi sielewi kwakweli
Nyie mnafikiri kupata ngoma ni raisi? [emoji16]...Yani pampu kumi tayari unao... tungeisha wote..
 
Hamisa na nenga? Hapana.hamisa alichosema zamani alisema alikuwa.kwenye.mahusiano na diamond muda mrefu akapata.mimba ikatoka, wakajaribu sana ndo akatokea huyu mtoto sasa nenga kaingiaje humu au ndo mimi sielewi?
Hamisa alipofikia nenga sio type yake labda awe chawa.
Labda Hamisa ndiyo awe chawa wa Nenga, kwanza Nenga ameoa mwanamke(Nandi) ambaye yuko way ahead of Hamisa kwa kila kitu yaani career, success mpaka kujitambua. Huyo anayezaa mtoto ambaye hana uhakika baba wa mtoto ni yupi anajielewa kweli?
 
Mdangaji aliyechoka Kuna watu wanadai Jaguar wengine Dr Mwaka.
 
Back
Top Bottom