Kabisa wanamjaza ujinga. Mtu unakanwa daily halafu unajiona unapendwa. Aliyesema mwanamke mwalimu wake kipofu inajidhihirisha hapa.Sawa ndugu mjazeni tu ujinga mwenzenu. Anayelala na bwana ndo wake huyo wewe endelea kuzunguka na kujisifu nimezaa na diamond
We inakuhusu nini?? Katibu wa umbea??[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Anayekwambia ukweli Ana kupenda. Sioni Sababu za hamisa kushindana na zari. Mnampoteza
USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daah!ana pesa gani yule
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] haki zipi labdaa?kaahh!mwataka kila anachokifanya mkijue ptuuuSasa hamisa amepata nini mpaka sasa kwa diamond? Mjazeni tu ujinga. Anapoteza haki za mtoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mwalimu wake hamisa.Hamisa form four kamaliza 2011 au 2012 kama sikosei Tandika Secondary School
Airtime huwezi iona kwa kua humpendi my advice mshauri diamond amchumbie ht kwa bahati mbaya zari maana watoto watano 42yrs hata barua ya uchumbaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli ndoa bahati anaziniwaaa tuuuu kila sikuuu
We waache tu. Alitakiwa awe anakula Sahani moja na zari. Tena taratiiiibu. Wala asiwe na haraka. Akimkoleza diamond kwa mapenz mwenyewe atamsahau zari.Kabisa wanamjaza ujinga. Mtu unakanwa daily halafu unajiona unapendwa. Aliyesema mwanamke mwalimu wake kipofu inajidhihirisha hapa.
Surely kuzaa sio ndio kumfunga bwana miguu
Umelipwa na zari??tazama hapa zari alivoifunga mlimani City kwa masaa kadhaa
Unaniumiza macho andika maandishi madogoUSILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA
Diamond hakumkataa mtoto. Tatizo mama mtoto kichwa kibovu.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] haki zipi labdaa?kaahh!mwataka kila anachokifanya mkijue ptuuu
Huyo diamond akiamua kumsaidia atamsaidia akigoma hana akili mtoto atakua tuuu!!mwisho wa siku diamond atakua mjinga
Mtajuaje sasa bila kujitutumua. Mchepuko wa hiv akikutana na dada wa mjini ni kisagoWe waache tu. Alitakiwa awe anakula Sahani moja na zari. Tena taratiiiibu. Wana asiwe na haraka. Akimkoleza diamond kwa mapenz mwenyewe atamsahau zari.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Oprah unamfananisha na east African labor ward Zari???[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mwalimu wake hamisa.
Ndo sio kila kitu Oprah ana miaka mingap na hana ndoa??
Mapenz ya uchochoroni masikin na kukanwa juu. Kama leo hamisa analala na jakamoyo wenzie wapo zenji. Bora kua single tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wewe UNA UNDUGU NA HAMISA? mbona mishipa inakukakamaa hivyo.We inakuhusu nini?? Katibu wa umbea??
Kamtambia wapii?!!!bwana eeeeh!hamna hoja nyieeeDiamond hakumkataa mtoto. Tatizo mama mtoto kichwa kibovu.
Kuna umuhimu wowote wa kumtambia zari. Wakati mwenzio umemkuta?
Kuzaa ni ufahari kwa mwanamke. Wapo wanatafuta hata mmoja hawapati. Mwenye uzazi na ajizalie tu [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Oprah unamfananisha na east African labor ward Zari???[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Angekua hataki ndoa angejiita Mrs Dee?excuse mee
Ngoja niangalie tamthilia yangu Dev mie huna hoja bwana zee la watoto watano linashindana na mwanawe wa kumzaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hebu mie
Mimi nilimsikia diamond siku Ile alivyo kuwa Ana hojiwa Kwamba alitaka iwe siri Kati yake na hamisa. Lakini Bibi Yule kutwa Instagram kumtambia mwenzie unajiharibia.Mtajuaje sasa bila kujitutumua. Mchepuko wa hiv akikutana na dada wa mjini ni kisago
Umejitahidi sana kumtetea huyo limbukeni wa maisha(hamisa),kwa anayoyafanya huyu mtoto ananipa wasiwasi na uelewa wake,pengine sio mzima,hua najiuliza Kwanini hizi vurugu hakuzifanya alivyozaa na majizo?[emoji2] madale kuandikwe zarina hassan?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kigoma hatoki boyyy weweew!!
Zari hana kugongwa kwa akili wala nini kashikwa pabaya watoto wa5 atamtaka nani?!!ngoja ajipendekeze kwa mondi huyoo mla viporo!!
Mama daimond wala hampend zari anamnafikia kwa maslahi ya mwanawe tuu!!
Hamissa sio mjinga kama mnavyomuona nyie tatizo wabongo mna husdaa mnooo,mnaumwa kabisa kaahh!!
Unaona sasa umeshasahau. Kulikuwa na haja gani hamisa kupost picha na diamond?Kamtambia wapii?!!!bwana eeeeh!hamna hoja nyieee
Muambieni Zari aolewe bwanaa anaziniwa kila siku looohjj[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]