Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

Sawa ndugu mjazeni tu ujinga mwenzenu. Anayelala na bwana ndo wake huyo wewe endelea kuzunguka na kujisifu nimezaa na diamond
Kabisa wanamjaza ujinga. Mtu unakanwa daily halafu unajiona unapendwa. Aliyesema mwanamke mwalimu wake kipofu inajidhihirisha hapa.
Surely kuzaa sio ndio kumfunga bwana miguu
 
Sasa hamisa amepata nini mpaka sasa kwa diamond? Mjazeni tu ujinga. Anapoteza haki za mtoto
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] haki zipi labdaa?kaahh!mwataka kila anachokifanya mkijue ptuuu

Huyo diamond akiamua kumsaidia atamsaidia akigoma hana akili mtoto atakua tuuu!!mwisho wa siku diamond atakua mjinga
 
Hamisa form four kamaliza 2011 au 2012 kama sikosei Tandika Secondary School
Airtime huwezi iona kwa kua humpendi my advice mshauri diamond amchumbie ht kwa bahati mbaya zari maana watoto watano 42yrs hata barua ya uchumbaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli ndoa bahati anaziniwaaa tuuuu kila sikuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mwalimu wake hamisa.
Ndo sio kila kitu Oprah ana miaka mingap na hana ndoa??
Mapenz ya uchochoroni masikin na kukanwa juu. Kama leo hamisa analala na jakamoyo wenzie wapo zenji. Bora kua single tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kabisa wanamjaza ujinga. Mtu unakanwa daily halafu unajiona unapendwa. Aliyesema mwanamke mwalimu wake kipofu inajidhihirisha hapa.
Surely kuzaa sio ndio kumfunga bwana miguu
We waache tu. Alitakiwa awe anakula Sahani moja na zari. Tena taratiiiibu. Wala asiwe na haraka. Akimkoleza diamond kwa mapenz mwenyewe atamsahau zari.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] haki zipi labdaa?kaahh!mwataka kila anachokifanya mkijue ptuuu

Huyo diamond akiamua kumsaidia atamsaidia akigoma hana akili mtoto atakua tuuu!!mwisho wa siku diamond atakua mjinga
Diamond hakumkataa mtoto. Tatizo mama mtoto kichwa kibovu.
Kuna umuhimu wowote wa kumtambia zari. Wakati mwenzio umemkuta?
 
Wanaume wa DAR. Awapendi mwanamke asiye Na pesa. Wengi ni Mario. Na baati nziri Diamond kidogo anazo. Lakini anampenda Zari sababu ya pesa. Nani atakwenda kwa mwanamke pesa hana. Na siku hizi mtindo wa kisasa ndio huo. Hamissa Mabeto akaye mbali sana. Pesa mamaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mwalimu wake hamisa.
Ndo sio kila kitu Oprah ana miaka mingap na hana ndoa??
Mapenz ya uchochoroni masikin na kukanwa juu. Kama leo hamisa analala na jakamoyo wenzie wapo zenji. Bora kua single tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Oprah unamfananisha na east African labor ward Zari???[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Angekua hataki ndoa angejiita Mrs Dee?excuse mee
Ngoja niangalie tamthilia yangu Dev mie huna hoja bwana zee la watoto watano linashindana na mwanawe wa kumzaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hebu mie
 
We inakuhusu nini?? Katibu wa umbea??
Kwani wewe UNA UNDUGU NA HAMISA? mbona mishipa inakukakamaa hivyo.
Relax
Kunywa maji[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mimi ninachokiona kijana mwenzetu ni maarufu kwa kula scrapers, zote zile ni scrapers!
 
Diamond hakumkataa mtoto. Tatizo mama mtoto kichwa kibovu.
Kuna umuhimu wowote wa kumtambia zari. Wakati mwenzio umemkuta?
Kamtambia wapii?!!!bwana eeeeh!hamna hoja nyieee

Muambieni Zari aolewe bwanaa anaziniwa kila siku looohjj[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Oprah unamfananisha na east African labor ward Zari???[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Angekua hataki ndoa angejiita Mrs Dee?excuse mee
Ngoja niangalie tamthilia yangu Dev mie huna hoja bwana zee la watoto watano linashindana na mwanawe wa kumzaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hebu mie
Kuzaa ni ufahari kwa mwanamke. Wapo wanatafuta hata mmoja hawapati. Mwenye uzazi na ajizalie tu [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Hamna kitu kinauma kama kukanwa [emoji24][emoji24] masikini mama fanta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtajuaje sasa bila kujitutumua. Mchepuko wa hiv akikutana na dada wa mjini ni kisago
Mimi nilimsikia diamond siku Ile alivyo kuwa Ana hojiwa Kwamba alitaka iwe siri Kati yake na hamisa. Lakini Bibi Yule kutwa Instagram kumtambia mwenzie unajiharibia.
 
[emoji2] madale kuandikwe zarina hassan?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kigoma hatoki boyyy weweew!!
Zari hana kugongwa kwa akili wala nini kashikwa pabaya watoto wa5 atamtaka nani?!!ngoja ajipendekeze kwa mondi huyoo mla viporo!!

Mama daimond wala hampend zari anamnafikia kwa maslahi ya mwanawe tuu!!

Hamissa sio mjinga kama mnavyomuona nyie tatizo wabongo mna husdaa mnooo,mnaumwa kabisa kaahh!!
Umejitahidi sana kumtetea huyo limbukeni wa maisha(hamisa),kwa anayoyafanya huyu mtoto ananipa wasiwasi na uelewa wake,pengine sio mzima,hua najiuliza Kwanini hizi vurugu hakuzifanya alivyozaa na majizo?
 
Back
Top Bottom