Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Kabisa wanamjaza ujinga. Mtu unakanwa daily halafu unajiona unapendwa. Aliyesema mwanamke mwalimu wake kipofu inajidhihirisha hapa.Sawa ndugu mjazeni tu ujinga mwenzenu. Anayelala na bwana ndo wake huyo wewe endelea kuzunguka na kujisifu nimezaa na diamond
Surely kuzaa sio ndio kumfunga bwana miguu