Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rapa Chid Benz ameongea kwa hisia sana kuhusu familia yake, akisema, "Nilikuwa nawaza siku ifike mama yangu aone situmii tena unga" na aliposaidiwa aliona kama ametua mzigo mzito.
Uache niniUraibu mbaya sana namshukuru Mungu nina miaka miwili sasa toka niache
Kuna dawa moja inapatikana hospital nilikua mraibu wa hiyo dawaUache nini
Pole sanaKuna dawa moja inapatikana hospital nilikua mraibu wa hiyo dawa
AsantePole sana
Ulikuwa unaipatajeKuna dawa moja inapatikana hospital nilikua mraibu wa hiyo dawa
Nafanya kazi hospital ni simple tu ilikuaUlikuwa unaipataje
Methadone au Suboxone?Nafanya kazi hospital ni simple tu ilikua
OvaBasi inatosha kama kaacha ni vizuri
Ova