Ni kheri kupata kuliko kukosa kitu.Anakumbuka shuka dakika za jiooooni
HapanaSwali nje ya mada; hivi bangi ni madawa ya kulevya kweli?
Kakaaa wakupeleke na gym mwamba yaan huo mwili kama wamekuchimbia kaburiiRapa Chid Benz ameongea kwa hisia sana kuhusu familia yake, akisema, "Nilikuwa nawaza siku ifike mama yangu aone situmii tena unga" na aliposaidiwa aliona kama ametua mzigo mzito.
Tusubiri mwakani tarehe kama ya Leo tumuulize tena kama anavuta au bado Kaacha.Basi inatosha kama kaacha ni vizuri
Ova
Nilitaka kisema hivo imekua too much sanaKakaaa wakupeleke na gym mwamba yaan huo mwili kama wamekuchimbia kaburii
Huwezi kuacha unga Kwa miezi 3,Ile sumu bado ipo mwilini sababu huyo kama ni joka lilikuwa anaconda, alikuwa ana dose kubwa sn bila kuwa chini ya uangalizi lazima atarudia.kwa sasa ajitenge na makundikwanza hii ndio vitaaa yake kuu ya Kwanzaa akiffanikiwa kwingine hata shetan anakimbia
Kabisa,maana huyu kaachishwa kwa kubembelezwa,petywapetywa SanaTusubiri mwakani tarehe kama ya Leo tumuulize tena kama anavuta au bado Kaacha.
Na kama alikuwa anapewa methadoneHuwezi kuacha unga Kwa miezi 3,Ile sumu bado ipo mwilini sababu huyo kama ni joka lilikuwa anaconda, alikuwa ana dose kubwa sn bila kuwa chini ya uangalizi lazima atarudia.
Kabisa mkuu,huyo nafsi yake bado haipo tayari kuacha unga,ila Kwa Sasa ni showoff tu.Kabisa,maana huyu kaachishwa kwa kubembelezwa,petywapetywa Sana
Kuna wana wengi nawajuwa waliacha wenyewe tena walikazaa
Hawakutaka huruma ya mtu
Ova
Kabisa mkuu.Na kama alikuwa anapewa methadone
Ile inawapa wenge fulani, wanakuwa resi
Ova
Alikuwaga anakaaga na jamaa mmoja alikuwa dereva/konda smbdy side makamasi ghetto msasani bonde la mpunga,naona yy bado analiendelezaKabisa mkuu.
Huyo Kuna watu wanamsimamia ndy maana yupo hivyo now.
Ngoja aachwe mwenyewe mtaani
Huyo msela ndy atamrudisha tena chidy kwenye madawa.Alikuwaga anakaaga na jamaa mmoja alikuwa dereva/konda smbdy side makamasi ghetto msasani bonde la mpunga,naona yy bado analiendeleza
Itabdi chidy naye amvute swahiba wake pia aache 😄
Ova
🤝 una-psychology kali sana.Kabisa mkuu,huyo nafsi yake bado haipo tayari kuacha unga,ila Kwa Sasa ni showoff tu.
Huyo akiachwa mwenyewe bila back up ktk maisha haya lazima arudie kuvuta.
Hakai naye ghetto siku hzHuyo msela ndy atamrudisha tena chidy kwenye madawa.
Tumuombee tu akomae na kuacha