Chid Benz: Nilikuwa nawaza siku ifike Mama yangu aone situmii unga

Chid Benz: Nilikuwa nawaza siku ifike Mama yangu aone situmii unga

Hakai naye ghetto siku hz

Nakumbuka ray c alipelekwa mpk ikulu šŸ˜„ akasema kaacha,ehh baada ya muda mtaani kama Kawa karudia
Ila naona alikuja kuamua mwenyewe kuacha na kuanza maisha mapya
Haha mambo mtu unaweza jikuta unaingia kifala sana,sana sana wale wanaojifanya wajuaji unigga unyamwezi mwingi

Ova
Kabisa mkuu watu wajuwaji wanaojifanya born here here ndy hao wanaopotea na madawa.
 
Madawa, kuacha unaamua mwenyewe
Ila ukiona mtu anaachishwa kwa kubembelezwa kudekezwa hyo Kuna uwezekano mkubwa akaurudia

Ova
Hii ni mara ya pili au ya tatu kupelekwa huko sobar lakini wapi,,baada ya muda anarudia.
 
Hivi kama navuta bangi lakin nakula vizuri si sio mbaya eeh🤣🤣🤣🤣
 
Anakumbuka shuka dakika za jiooooni
It's not over until it's over!
Kuchelewa sio inshu, inshu kufanikisha!

hata mwaka mmoja tu wa maisha hapa duniani, unaweza kukufanya mtu bora sana ukitumika vyema, unaweza kubadili history ya mabaya yote uliyopitia miaka ya nyuma!
 
Kabisa mkuu watu wajuwaji wanaojifanya born here here ndy hao wanaopotea na madawa.
Ujuaji mwingi,umarekani mwingi
Wakiambiwa majibu yao ni ujuaji
Mwingi
nna kauli moja huwa nasemaga,ukishatumia madawa yaani kama mwanamke aliyepewa mimba iko siku tumbo litaonekana tu

ova
 
Nafikiri Uraibu mbaya kabisa kupita uraibu wowote, na ambao unachukuliwa poa sana....ni URAIBU WA PUNYETO!
Nayo addiction hiyo
Kuna wengine wana addiction
Ya kupiga chabo pia

Ova
 
Wakui Kuna comme
Ujuaji mwingi,umarekani mwingi
Wakiambiwa majibu yao ni ujuaji
Mwingi
nna kauli moja huwa nasemaga,ukishatumia madawa yaani kama mwanamke aliyepewa mimba iko siku tumbo litaonekana tu

ova
Ni kwl mkuu
 
90% ya wanamuziki especially ulaya na Marekani ni mateja.
Wengi wanavuta cocaine especially wakiwa kwenye live performing on the stage.

Wanavuta ili wawe high,,elewa neno high.
Na hawa wa kwetu bongo pia wanaiga,
Wengi mateja ya cocaine.
Huko ndy wanakoanzia kuharibika.
Sasa kama bwana chid Benz atarudi kwenye mziki rasmi lazima atapita huko kwenye kurudia kuvuta
 
Baadaye gari likiwaka,ndiyo tunapoanza kuiona shuguli

Ova
 
Back
Top Bottom