Uchaguzi 2020 Chief Kalumuna: Mgombea Ubunge pekee wa CHADEMA atayeitikisa CCM kwa Kanda ya Ziwa

Duuuu hii ni balaa kabisa

Kagasheki yuko Uswizi huko kwenye lockdown ubunge asahau , kabla ajaenda uswizi tulimdanganya kuwa, atakuwa mbunge akatupa elfu 50 mimi na katibu wa ccm wa kata ya Bakoba ..lkn chief ndo mbunge.
 
Tafadhali sana watani zangu fanyeni kila mnachoweza kumsaidia huyo chief ili cdm tuweze kuchukua hilo jimbo letu tena
 
Na huyu ndie alie mfanya Lwakatare akimbie Chadema
 
Mungu awabariki sana wana bukoba
Kagasheki yuko Uswizi huko kwenye lockdown ubunge asahau , kabla ajaenda uswizi tulimdanganya kuwa, atakuwa mbunge akatupa elfu 50 mimi na katibu wa ccm wa kata ya Bakoba ..lkn chief ndo mbunge.
 
Hivi huyu ndiye alikuwaga KCU enzi hizo
 
Na huyu ndie alie mfanya Lwakatare akimbie Chadema

Lwakatare sisi tulikuwa tumemkataa ,ndo maana alipogombea kura za maoni chadema aligaragazwa na kipara lakini akaiba kura.

Lwakatare amshukuru chief la sivyo ubunge angeusikia radion.
 
pia kama unakumbukumbu vzr chief alivyohama kutoka ccm ndo alileta nguvu kubwa sana chadema bukoba mjini... Mimi naishi Bukoba Mjini nakuambia chief hadi mama yangu nimwenyrkiti wa UWT Bukoba ,lakini anamkubari chief sana.
Sio kweli Nguvu ya pesa ya Lowasa ndio ilifanya hiyo kazi 2015 sasa hivi hamna cha kutikisa wala nini porojo tu KALUMNA akigombea kupitia chadema anashindwa alfajiri kabla ya jogoo kuwika
 
Sio kweli Nguvu ya pesa ya Lowasa ndio ilifanya hiyo kazi 2015 sasa hivi hamna cha kutikisa wala nini porojo tu KALUMNA akigombea kupitia chadema anashindwa alfajiri kabla ya jogoo kuwika

Lowassa wa wapi? Unazungumzia wewe Bukoba awachaguagi chama bali mtu chief kaijenga bukoba maji yakumwaga balabala zinapitika mpaka jikoni. Amekusanya mapato vizuri.
 
Hapana mkuu,amekuwa diwani miaka kumi sasa
OOhh kumbe, sawa mkuu siasa za Bukoba ngumu sana halafu nasikitika sana kila nikija hakuna maendeleo mji uko vile vile yani.
 
Lwakatare sisi tulikuwa tumemkataa ,ndo maana alipogombea kura za maoni chadema aligaragazwa na kipara lakini akaiba kura.

Lwakatare amshukuru chief la sivyo ubunge angeusikia radion.
Balozi kagasheki alikivuruga sana chama(ccm) hawa wasingetoboa cdm bkoba
 
Lowassa wa wapi? Unazungumzia wewe Bukoba awachaguagi chama bali mtu chief kaijenga bukoba maji yakumwaga balabala zinapitika mpaka jikoni. Amekusanya mapato vizuri.
subiri uchaguzi ufike sasa hivi hata kuteuliwa tu na chama chake bado anahangaika.

Hayo maji na barabara aliweka yeye? vimewekwa na serikali ya CCM.Mapato yanakusanywa na serikali ya CCM hakusanyi yeye binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…