Ooh.!! 😹sijui mi naonaga tu anaanza kuhema sana mara speed zaongezeka mara anatulia tuliiii kifuatacho atalala basi hata kama sijamaliza yanipasa nimuache asije akanifiaa....kwani hata kesho nayo si ni siku
kwanza too much ejaculation is harmful
Jirani acha uongo basi..!! 😹Ukiwa na njaa huwezi kuchagua chakula,kila chakula ukila siku hiyo utaenjoy na kushiba,
Ukiwa na genye lazima kale kamchezo kakufurahishe siku hiyo.
Au nasema uongo ndugu wananchi?
Ukiwapeleka taratibu wanaanza kukusema mtaani.Eeehh ni vita? 😹
Akiridhika anapiga salute kavuMachifu na Malkia
Kwenye kale ka mchezo ka chakula cha wapendanao Wewe chifu au malkia kionjo kipi unakitumia ili kujua umeupiga mwingi?
Je, chifu performance yako malkia alikupa muitikio upi wa kuweza kusema leo “Kimeumana” Mikito ipi ulipiga mpaka malkia akafika kilele cha utramu kisichoisha hamu?
Au malkia ishara zipi zinakuonyesha chifu leo kafurahia kisima cha maji yako? Je, ulimnywesha kwa kata au glass yenye usafi na manukato ya kuvutia huku ukimchombeza kwa buno?
Leo Machifu na malkia fungukeni uwanja ni wenu..!!