Chifu utajuaje kama malkia wako umemridhisha na wewe malkia utajuaje kama chifu ameridhika?

Nilikuaga nampiga kifo cha mende kawaida maana ana kamwili, of course akawa anajidai kuridhika. Ila baada ya kuufumua mfumo mzima na kuusuka upya ndio nikagundua kumbe hamna kitu nilikua nafanya ๐Ÿ™„
Alikuwa anakuigizia ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sasa hivi pesa hakuombi na ukitaka msosi anakuja kwa nauli yake?
 
Je, chifu performance yako malkia alikupa muitikio upi wa kuweza kusema leo โ€œKimeumanaโ€
Huwa nikiona anakuja tena mwenyewe bila kuambiwa huku akiwa na furaha tele!!!!!!!!!!!!
Au malkia ishara zipi zinakuonyesha chifu leo kafurahia kisima cha maji yako?
Mimi (ME) huwa namrudia mwenyewe plus zawadi plus sifa ili nipewe tena.
 
Alikuwa anakuigizia ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sasa hivi pesa hakuombi na ukitaka msosi anakuja kwa nauli yake?
Nilichokigundua mimi kwa uzoefu wangu, mwanamke mkiwa mnafanya akaanza kupiga makelele na kusema ANAKOJOA, wewe tambua kabisa huyo HAKOJOI wala nini..!! Yaani ata hajakaribia.
 
Kichogo dildo na matunda pori yatakumaliza ๐Ÿ˜… nilikupa nafasi niichape ukaringa aya komaa, ona mada zako sasa na jua lilivyo kali
Wee nyoko mi situmii matunda wala dildo ๐Ÿ˜น

Halafu jua kali lipo kwako huko Manzese kwa mfuga mbwa. Sisi huku tunapigwa na kiyoyozi..!!
 
Wanawake kwa maigizo ndo mahali pake....
80%ya sisi wanawake huwa kilele kufika ni mara chache sanaaa hasa kwa miaka ya ujanani 18 to 30
Labda ukfika miaka ya 35 na kuendelea hapo ni kushika tuu watu weeee..
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ