- Thread starter
- #41
Unazo data za movement za wakazi wa Dar kuhakikisha usemacho kuwa wanahama au la?Watu wa Dar tayari walishaambiwa na nabii wanaenda kuzama mwaka huu, mbona hawahami? Wewe mwenzetu unaishi wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazo data za movement za wakazi wa Dar kuhakikisha usemacho kuwa wanahama au la?Watu wa Dar tayari walishaambiwa na nabii wanaenda kuzama mwaka huu, mbona hawahami? Wewe mwenzetu unaishi wapi?
Jibu kuhusu Dar, unabii umefikia wapi? Wewe unaishi wapi?Tupo katika nyakati za kutisha.
Utajibiwa usijali.Jibu kuhusu Dar, unabii umefikia wapi? Wewe unaishi wapi?
Tafuta post yake iko humu jukwaaniAlikwambia ana pesa za kununua Mali zote za mji mzima sio!!
Ulokole ni wazimu mtu unajiitaje mlokole?Mkuu umepanic,
Hakuna sehemu amesema ni mlokole. Mpinge tu kwa hoja usionyeshe chuku kwa walokole.
Hivi unajielewa kweli wewe Mwamba?WIVU tu unakusumbua,
Tangu yule mliyesema ni Nabii wa mnyazi alipofariki,
Hakuna tena unabii zaidi ya kutumia masangoma!!
Basi sawa.Hivi unajielewa kweli wewe Mwamba?
Unaongea na simu au?
Wivu kuhusu nini?
Ili iwe nini?
Kwa manufaa Yapi?
Ulokole ni laana unakufanya ushindwe kufikiria nje ya box ona hapo ulivyojichanganya
Daaaaaaa!
😁😁
Nimesema hakuna sehemu amesema yeye ni mlokole, sijasema mimi ni mlokole wala sijauliza chanzo cha ulokole.Ulokole ni wazimu mtu unajiitaje mlokole?
Una jua maana ya hilo Neno walokole lilikotokea?
hapana!Ulitaka akupigie simu?
Mkuu rabbon, Kama wewe hausali kwa yule mtu, na Kama haujawahi kufunuliwa hata kwa ndoto kuhusu hilo tukio, nakushauri uachane nalo, naamimi unabii, lakini kuna changamoto nyingi sana za unabii na manabiii, huyo aliyetumwa atangaze mwenyewe.Basi sawa.
Watu wasio na akili ya kutosha, wenye elimu ndogo, Mambo yanayoelezeka kisayansi, wao huyafikiria kiroho, kimiujiza,Salaam,Shalom,
Wiki mbili zimepita sasa, iliripotiwa mlipuko mkubwa wa moto Kutoka msituni uliosambaa na kuteketeza mji mzima. Watu wengi wamefariki, nyumba za mji huo kugeuka majivu kabisa,Chanzo Cha moto huo hakijafahamika Hadi sasa.
Jinsi mji huo ulivyoteketea, Si Rahisi kuamini moto Kutoka msitu wa asili ndio chanzo Cha kuteketea kwake. Yaani ni kama vile mtu alichukua kiberiti na kiteketeza mji Kwa petroli, mji mzima ni majivu!!
Kumekuwa na ujumbe unaojirudia wa Manabii wa Mungu kuwaarifu wakazi wa Bandari salama kuhama mji huo, watu hawataki kusikia sauti ya manabii wa Mungu.
Utii ni Bora kuliko SADAKA.
Source: ALJAZEERA TV.
Mimi niliomba na nikafunuliwa ,Mkuu rabbon, Kama wewe hausali kwa yule mtu, na Kama haujawahi kufunuliwa hata kwa ndoto kuhusu hilo tukio, nakushauri uachane nalo, naamimi unabii, lakini kuna changamoto nyingi sana za unabii na manabiii, huyo aliyetumwa atangaze mwenyewe.
Kuna watu ni wahuni na waongo sio manabiii wanataka attention za watu, kuna manabiii wakweli lakini Kama hajatulia vizuri kiroho anaweza akifikiri Mungu amesema kumbe ni mawazo yake au kale kajamaa kameikamata karama yake kanamuonyesha vimulimuli ili kimtukanisha Mwokozi
Ok, nenda sasa ukalale, imetosha.Watu wasio na akili ya kutosha, wenye elimu ndogo, Mambo yanayoelezeka kisayansi, wao huyafikiria kiroho, kimiujiza,
Sasa tuambieni joto LA dar limesababishwa na nini! Mgao wa umeme nao vipi?mapepo yamekula mitambo ya umeme, au TZ ina roho ya kukataliwa. ? Wachina hawakeshi wakiimba mapambio, wao wapo spiritual Sana Ila sio religiuos, Ila ndio wanaendesha maisha yenu, kuanzia vijiti vya meno mpaka tv za hisence.
Umaskini ukiongezeka, na mskanisa ya kilokole yanaongezeka, mansbii kila Kona, kila mmoja anajitapa atatatua shida zako za ki uchumi, utapata ngawila pesa nyingi,
Tangu mgao wa umeme uanze, matangazo ya solar, jrnereta kila Kona, na kila MTU amekuwa mtaalamu wa umeme jua!
Ni fulsa tu, kama hawa kenge waliojaa kila Kona wakiuza injili.
Sio kila kitu mpaka mtu aseme arif,lugha ya picha ukiielewa hutapata tabu!Nimesema hakuna sehemu amesema yeye ni mlokole, sijasema mimi ni mlokole wala sijauliza chanzo cha ulokole.
Yakitokea Mtasema Mungu hawapendi wakati amewatumia mjumbe kabisa kuwaasa.
Muda utasema.Yasipotokea napo tutasema je?