Chile: Mji mzima wateketea Kwa Moto, tusipuuze Manabii

Kumekuwa na ujumbe unaojirudia wa Manabii wa Mungu kuwaarifu wakazi wa Bandari salama kuhama mji huo, watu hawataki kusikia sauti ya manabii wa Mungu.

Ongezea kuwa kabla ya kuhama alisema tuuze mali zetu zote...

Sasa tumuuzie nani atayekubali mijengo ambayo mwisho wa siku itakuja kuzamishwa na tsunami?
 
Nuhu aliambiwa hivyo hivyo alipowambia watu kujenga safina.

Umeyaona yaliyotukia Chile?

Hiyo ya Nuhu ni wrong reference...

Mungu huongea na watu, na haiwezekani unabii juu ya mambo mengine uvuke past April + May, wakati unabii wa mtu wako uoneshe kwa Dar by May itakuwa imechakazwa...

Bado nakuuliza swali la msingi, tumia tu akili na maarifa ya kawaida kujijibu, je nabii aliposema watu wauze mali zao alidhani ni nani watakuwa wanunuzi kwa mali wanayojua itaangamizwa na tsunami?
 
Akili zako ndogo huwezi kufungua code za Mungu ikiwa huna IMANI.

Walioamini msg wameuza na wasioamini wamenunua.

Nenda Mji kasoro bahari uone watu wanavyohamia Kwa Kasi!!
 
Mtumishi usipanic challenge ni sehemu ya kukuza imani yako haina maana anaeku challenge hana imani au ana akili ndogo.
 
Ukitaka ueleweshe unaulizia swali sio unapinga ujumbe Ili kupima ujumbe.

Padri , au Mchungaji au Sheikh Huwa mnamchallenge aletapo ujumbe?

Utaona wote waliouliza maswali wanajibiwa, wanaokebehi pia wanajibiwa au kupuuzwa.

Wapo watumishi walioonyeshwa kuhusu Kutokea Tetemeko Uturuki, wengine waliona ambayo yangetokea Shakahola Kenya au Hanang,

Upuzi wa kudharau jumbe za Mungu kupitia manabii ndizo husababishwa watu kuangamia.
 
  • Mshangao
Reactions: 511

Jitahidi sana tunda la upendo lionekane kwenye majibu yako. Yesu alituachia amri mpya nayo ni upendo, kuna aina tofauti tofauti za kutaka more details, moja wapo ni kum challenge mtu ili atoe more details.

Upendo, upendo, upendo. 🙏
 
Huna ulijualo,

Yesu aliwaita mafarisayo " Mbweha" wengine aliwaita " Shetani"wengine Hadi aliwatia bakora,

Sasa shetani akiuliza swali kupitia comment ya mtu unataka nimuonyeshe Upendo Badala ya kumkemea?

Kukasirika inaruhusiwa, ila tusitende tu dhambi.
 
Akili zako ndogo huwezi kufungua code za Mungu ikiwa huna IMANI.

Walioamini msg wameuza na wasioamini wamenunua.

Nenda Mji kasoro bahari uone watu wanavyohamia Kwa Kasi!!

Uzuri wa unabii una timeline...

Kwani mwezi April na May ni mbali basi, tuombe uzima then tutaona kati yangu mimi na wewe ni nani mwenye akili ndogo na nani mwenye hiyo unayoita IMANI ya kufungua code za Mungu...
 
Uzuri wa unabii una timeline...

Kwani mwezi April na May ni mbali basi, tutaona kati yangu mimi na wewe ni nani mwenye akili ndogo na nani mwenye hiyo unayoita IMANI ya kufungua code za Mungu...
Hilo ndilo jibu,

Muda ni mwalimu.
 
Back
Top Bottom