Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi katoliki na waunga mkono Hamas badala ya Israel tofauti na madhehebu mengine ya Kikristo ambayo huheshimu Israel waliotupa Biblia agano la kale na kutupa Yesu myahudi na mitume wake wayahudi na agano jipya lililoandikwa na mitume wayahudi waanzisha UkristoAmerica kusini kuna laana huko za kila aina uhuni kwa sana.
Bahatisha na wewe kama unadhani ni rahisiNabii anahusikaje hapo !! Moto una visababishi watakuja na report jinsi moto ulivyotokea ! Na kilichosababisha
Mnawapa kichwa sana hawa watu na story za unabii !! Hiyo alibahatisha tu mkeka umetiki anaenda kukamata watu akili hapo!
Kama alitabiri kwamba moto utatokea kwanini asiombe akazuia. Au ndo mnataka kusema Mungu anashindana na watu anaojua kabisa anawazidi uwezo.
Anaona kabisa hivi ni viumbe dhaifu bado anavionesha mabavu kwa maumivu.
Anaumba watu halafu anawateketeza kwa moto for what? Kwanini asiwaoneshe upendo wakazidi kumuamini sio kwa vitisho na adhabu?
Mwezi wa nne sio mbali ngoja tuoneSalaam,Shalom,
Wiki mbili zimepita sasa, iliripotiwa mlipuko mkubwa wa moto Kutoka msituni uliosambaa na kuteketeza mji mzima. Watu wengi wamefariki, nyumba za mji huo kugeuka majivu kabisa,Chanzo Cha moto huo hakijafahamika Hadi sasa,ingawa mamlaka zinasema chanzo, yaweza kuwa ni ARSON!!!
Jinsi mji huo ulivyoteketea, Si Rahisi kuamini moto Kutoka msitu wa asili ndio chanzo Cha kuteketea kwake. Yaani ni kama vile mtu alichukua kiberiti na kiteketeza mji Kwa petroli, mji mzima ni majivu!!
Kumekuwa na ujumbe unaojirudia wa Manabii wa Mungu kuwaarifu wakazi wa Bandari salama kuhama mji huo, watu hawataki kusikia sauti ya manabii wa Mungu.
Utii ni Bora kuliko SADAKA.
Source: ALJAZEERA TV.
Si Mimi niliyeleta ujumbe,Ulokole ni aina nyingine ya ugonjwa wa akili
Kwaiyo nabii unasema watu wa dar wahame tarehe ngapi
Kwani uliona ugumu gani kuweka link au hata picha ya tukio hilo hata kwa sehemu?Salaam,Shalom,
Wiki mbili zimepita sasa, iliripotiwa mlipuko mkubwa wa moto Kutoka msituni uliosambaa na kuteketeza mji mzima. Watu wengi wamefariki, nyumba za mji huo kugeuka majivu kabisa,Chanzo Cha moto huo hakijafahamika Hadi sasa,ingawa mamlaka zinasema chanzo, yaweza kuwa ni ARSON!!!
Jinsi mji huo ulivyoteketea, Si Rahisi kuamini moto Kutoka msitu wa asili ndio chanzo Cha kuteketea kwake. Yaani ni kama vile mtu alichukua kiberiti na kiteketeza mji Kwa petroli, mji mzima ni majivu!!
Kumekuwa na ujumbe unaojirudia wa Manabii wa Mungu kuwaarifu wakazi wa Bandari salama kuhama mji huo, watu hawataki kusikia sauti ya manabii wa Mungu.
Utii ni Bora kuliko SADAKA.
Source: ALJAZEERA TV.
ALJAZEERA ni chombo Cha habari kimataifa,Kwani uliona ugumu gani kuweka link au hata picha ya tukio hilo hata kwa sehemu?
Kikubwa ni kuwa, mtu mzima kuwa mzushi ni aibu.
Ona aibu au thibitisha hoja yako
Ninaangalia AljaZeera hapa sebuleni kwangu, hawana hiyo news wala kwenye briefings zao.ALJAZEERA ni chombo Cha habari kimataifa,
Nenda kathibitishe wewe, utuletee picha hapa.
Thread inajieleza,Ninaangalia AljaZeera hapa sebuleni kwangu, hawana hiyo news wala kwenye briefings zao.
Mwenzetu unaangalia AljaZeera ya Buza au Vikindu?
Bafo haujaweza kuytetea uongo wako.Thread inajieleza,
Two weeks ago tukio Hilo kimetokea.
Ingia U-Tube tafuta Chile wildfire outbreak, utaona dhahama hiyo.
Nilete uzushi humu Ili inisaidie nn?
Ni KAZI ya mods kuthibitisha, ndomana thread haijafutwa Hadi sasa.Ninaangalia AljaZeera hapa sebuleni kwangu, hawana hiyo news wala kwenye briefings zao.
Mwenzetu unaangalia AljaZeera ya Buza au Vikindu?
Pia siyo jukumu langu kuthibitisha taarifa uliyoiweka wewe
Mwanaume Huwa Hana Aibu😀Bafo haujaweza kuytetea uongo wako.
Ona aibu kuweka uzushi au thibitisha uzi wako.
Yaani Al Jazeera ndio wanatangaza watu wahame Dar sababu nabii kasema?Kumekuwa na ujumbe unaojirudia wa Manabii wa Mungu kuwaarifu wakazi wa Bandari salama kuhama mji huo, watu hawataki kusikia sauti ya manabii wa Mungu.
Utii ni Bora kuliko SADAKA.
Source: ALJAZEERA TV.
Rudia kusoma thread.Yaani Al Jazeera ndio wanatangaza watu wahame Dar sababu nabii kasema?
Ninavyofahamu taratibu chachrle za JF, siyo jukumu la Mods kuthibitisha uzushi.Ni KAZI ya mods kuthibitisha, ndomana thread haijafutwa Hadi sasa.
Pia mwanaume huwa hafanyi umbea na uzabi zabinaMwanaume Huwa Hana Aibu😀
Rudia kusoma quote yanguRudia kusoma thread.
ISINGETOKEA UNGESEMA HAYUPO UMETOKEA UNASEMA HANA UPENDO.MUNGU ANA PRINCIPLE ZAKE LAZIMA UTEMBEE KTK KANUNI ZAKE.