mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kumrudia Mungu Allah
Hilo hapana aisee.
Mungu wa Wapagani wa Kiarabu kabla ya Muhammadi.
Hilo ni Big No.
Sisi tuna mtiririko wa Mitume wetu tuka enzi za torati na walitabiriwa kabla.
Jina la Muhammadi halipo kabisa.
Huyo Allah ni Mungu wenu.
Na Muhammadi ni Mtume wenu.
Basi na tukubaliane hivyo.
Mbona ume quote alafu hutoi maelezo
Karata tatu ni uchawi.Naam ni katika uchawi. Na uchawi watu husomea.
Hapo wanakubali ni Msaidizi wa Yesu.Yohana : 16 : 13 - Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.
via OneLink.To
Muhamed ni roho wa kweli?
Bila YESU kuondoka .Mbona ume quote alafu hutoi maelezo
Bila Shaka.muhammad ndo yeye .Yohana : 16 : 13 - Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.
via OneLink.To
Muhamed ni roho wa kweli?
Kwa Hiyo muhammad ni roho? Na Yesu alipo sema anaenda kwa baba apo vipi?Bila YESU kuondoka .
Muhammad asingekuja.
Ili Muhammad aje inatakiwa YESU aondoke
baba yake yupi?Kwa Hiyo muhammad ni roho? Na Yesu alipo sema anaenda kwa baba apo vipi?
Aya ya Yesu kuondoka na kuja muhammad tunayasoma wapi?Bila YESU kuondoka .
Muhammad asingekuja.
Ili Muhammad aje inatakiwa YESU aondoke
Andiko linasema baba kama ume liweka alafu unalipinga , ulitakiwa ujenge mada yako kwenye kupinga andikobaba yake yupi?
Mungu tangu lini akawa na baba
uandiashi wa biblia NI ujanja ujanja mwingi.Andiko linasema baba kama ume liweka alafu unalipinga , ulitakiwa ujenge mada yako kwenye kupinga andiko
Aya ya Yesu kuondoka na kuja muhammad tunayasoma wapi?
Ulipo nukuu Yesu anasema anaenda lwa baba , unaamini?baada ya kuondoka YESU alikuja MUHAMMAD KUWA NABII NA MTUME.View attachment 2038599
Kwa nini umenukuu sehemu ambayo huamini? Acha mara mojauandiashi wa biblia NI ujanja ujanja mwingi.
huyo baba yake NI wa kambo au baba mdogo?
Alafu unampinga allah , allah alisema ukisoma injil utakuta jina ahamad , unachotakiwa weka injil imetaja jina ahamadbaada ya kuondoka YESU alikuja MUHAMMAD KUWA NABII NA MTUME.View attachment 2038599
Siamini sababu YESU Hana babaUlipo nukuu Yesu anasema anaenda lwa baba , unaamini?
shida ya biblia NI waandishi wengiAlafu unampinga allah , allah alisema ukisoma injil utakuta jina ahamad , unachotakiwa weka injil imetaja jina ahamad
Waandishi wengi na miaka tofauti ya uandishi ndio utamu wa vitabu ndani ya biblia kuna waandishi wamepishana miaka zaidi ya 1000 hapo ndio ujue Mungu anapo ongea Kwa nyakati tofauti, koran mtu mmoja kaandika ndani ya miaka kama 20 ila anaongea vitu vinapinganashida ya biblia NI waandishi wengi
Usitumie tena andiko ulilo nukuu kumtaja ni muhammmad , ilo tumemalizaSiamini sababu YESU Hana baba