Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Unataka nini?
Muhammad alisema atawaondoa wakristo wote uarabuni by terror , Yani ugaidi
We ata hueleweki mna ata nimekuuliza maswali ambayo ata hayahitaji aya wala hadithi pia umeshindwa
 
kwaio maswali yangu wakristo nyoooooteeeee mumeshindwa kuyajibu

Poleni sana bhna m nawaombea kheri muijue dini ya haki ni ipi muweze kuifuata
 
Kwani Mungu wa Adam na Ibrahim na Muhammad na YESU NI TOFAUTI?
Nimekujibu swali lako, nimekuuliza langu hujajibu unaanza kuniuliza tena swali.

Jibu swali langu lililotangulia kwanza kisha tuendelee.
 
Ujumbe wa Adam mpaka Muhammad ulikuwa ni MMOJA.
kumuabudu MUNGU MMOJA.
kila mtume alikuwa anaamini Mungu mmoja na yeye ni mjumbe wake.
Ilipofika kwa Muhammad.
Ndo ikawa hivyo.
 
uislam ulikuwepo tangu Adam.
Mpaka Ibrahim baba wa imani.
Nimekujibu swali lako, nimekuuliza langu hujajibu unaanza kuniuliza tena swali.

Jibu swali langu lililotangulia kwanza kisha tuendelee.
Screenshot_20211206-115749.jpg
 
Sasa hii mistari inaonesha wapi kuwa Uislam ulikuwepo tangu Adam?
nakuonesha KUWA Mungu alikuwepo kipindi chote hicho.
Na yeye ndo alikuwa anatuma mitume na manabii kwa watu.
Manabii wote na mitume wote ujumbe ulikuwa NI kumuabudu Mungu MMOJA
1552772466.jpg
 
Wapi umeonesha uchawi upo?
Pale ambapo kwa mara ya kwanza nime kuquote katika uzi huu.
1.Hujathibitisha uchawi upo.

2.Umetaka kuthibitisha uchawi upo kwa kutumia maneno ya Allah, nikakutaka uthibitishe Allah yupo.
Hujathibitisha huyo Allah yupo.

Kwa hiyo, umejiongezea kazi ya kuthibitisha.

Badala ya kuthibitisha uchawi upo tu, sasa hivi unatakiwa kuthibitisha uchawi upo na Allah yupo.

Hujathibitisha lolote kati ya mawili haya.

Thibitisha uchawi upo.

Thibitisha Allah yupo.
Haya unataka niyafanye mara ngapi ?

Na kwanini hujibu maswali yangu ?
 
Mubarridi jibu lako ili hapa , niendelee na point ya 2
.... " But after a few days Waraqa died and the Divine Inspiration was also paused for a while and the Prophet (ﷺ) became so sad as we have heard that he intended several times to throw himself from the tops of high mountains... Sahih al-Bukhari 6982
nakupa maswali fikirishi wewe kama mwanafunzi wangu kwa sasa
1. kwa nini waraq alipokufa koran ikasiamama hapo hapo kuandikwa?
2. kwa nini muhammad alivyoona koran haiandikwi akataka kujitoa uhai?
 
Hujajibu maswali langu,maswali yangu ni haya :

1. Waraqah ameandika Qur'aan gani na aya zipi ?

2. Mtume alishiriki kufukua kaburi kivipi na ushahidi uko wapi ?

Kingine maswali yako ni ya uongo sababu mtume si kweli alitaka kujiua kwa hicho unacho sema na mtume hakuwahi kutaka kujiua, na kukatika kwa wahayi hakuhusiani na kufa kwa Waraqah sababu Qur'aan hushuka kwa sababu na matukio.

Bado hujajibu maswal yangu mpaka muda huu na huwezi kujibu maswali hayo.
 
Kingine maswali yako ni ya uongo sababu mtume si kweli alitaka kujiua kwa hicho unacho sema na mtume hakuwahi kutaka kujiua, na kukatika kwa wahayi hakuhusiani na kufa kwa Waraqah sababu Qur'aan hushuka kwa sababu na matukio.
Kupanda mlima mrefu na utake kujirusha sio jaribio la kujiua
Warak alikuwa nani mpaka kifo chake tu Allah kastopisha wahayi, kwa nini muhammad atake kujiua?
... " But after a few days Waraqa died and the Divine Inspiration was also paused for a while and the Prophet (ﷺ) became so sad as we have heard that he intended several times to throw himself from the tops of high mountains... Sahih al-Bukhari 6982
 
Nasubiri majibu ya maswali yangu hili tutalijadili. Unikumbushe.
 
Warak kafa Koran ikasimama ghafla , yeye ndio alikuwa anaandika muhmaad kuona hivyo akaona sasa itakuwaje huyu uncle kafa nani ataandika tena , ndio unaona muhammad anajaribu kujiua
 
Sasa ndiyo uweke ushahidi kwamba aliandika wapi Qur'aan. Mbona hili rahisi sana.
 
Unakichwa kigumu Sana , sehemu mpaka muhammad anapanda mlima mrefu ajirushe wewe unabisaha unasema hilo sio jaribio la kujiua , acha ubishi niendelee point number 2
 
Hili jilikwambia tutalijadili. Naongelea Waraqah kuandika Qur'aan.

Hapa hakuna ubishi wowote ila ni wewe kushindwa kujibu swali langu.
 
Pale ambapo kwa mara ya kwanza nime kuquote katika uzi huu.

Haya unataka niyafanye mara ngapi ?

Na kwanini hujibu maswali yangu ?
Unaelewa kwamba posts zina namba na unaweza kuzi link?

Thibitisha uchawi upo.

Thibitisha Allah yupo.
 
Unaelewa kwamba posts zina namba na unaweza kuzi link?

Thibitisha uchawi upo.

Thibitisha Allah yupo.
Moyo wa Mapenzi kwenye mwili wa Bina dam unakaa wap ule moyo unao Uma ukiachwa unaokunyima hata uwezo wa kula? Kuna mtu anaweza kuthibitisha upo wap au Kuna alie wahi kuuona? Je vip kwako wewe unaamin upo au haupo kama unaamin upo unaweza kuthibitisha kua upo?

Usije kusema moyo uo ni huu unao sukuma Dam kwani ni vitu viwil tofaut nakusubir
 
Moyo unasukuma damu, huo wa mapenzi tuambie wewe ukoje.

Hujajibu maswali yangu, umeleta yako.

Unaniuliza mimi kuhusu moyo wa mapenzi kwani mimi nimeutaja wapi?

Tumekubaliana wapi kwamba kuna moyo wa mapenzi?

Thibitisha Allah yupo.

Thibitisha uchawi upo.

Hayo ndiyo mambo niliyotaka uthibitisho wake.
 
Back
Top Bottom