Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

Ukiwa na Pendo sheria za Musa za nini tena?

Ufunuo 14:12 SRUV​

Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.

MKUU KAMA WEWE NI MSOMAJI MZURI WA BIBLIA,NIELEZEEE KIDOGO HILI FUNGU LILIMAANISHA NINI
 
Ufunuo 14:12 SRUV​

Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.

MKUU KAMA WEWE NI MSOMAJI MZURI WA BIBLIA,NIELEZEEE KIDOGO HILI FUNGU LILIMAANISHA NINI
Imani ya Yesu: kaondoa dhambi,katusamehe, katutakasa.
Amri za Mungu
Yesu anasema Amri mpya nawapeni yaani Upendo ndiyo amri za Mungu katika Kristo na siyo zile za Musa za zamani
 
Imani ya Yesu: kaondoa dhambi,katusamehe, katutakasa.
Amri za Mungu
Yesu anasema Amri mpya nawapeni yaani Upendo ndiyo amri za Mungu katika Kristo na siyo zile za Musa za zamani
Kabla sijaelezea je umewahi soma hili fungu
Agano jipya: Mathayo 5:17 "Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua Torati au Manabii la, sikuja kuitangua bali kuitimiliza"

Amri ya Mungu ambayo ni Upendo imegawanyika sehemu mbili ulalo(Upendo baina yako na wanadamu wenzako) na wima (Upendo wako kwa Mungu)
hizi amri 2 zina utofauti gani na zile Amri alizoshushiwa Musa na tena ziliandikwa na Mungu mwenyewe?
kutoka 31; 18Hapo BWANA alipokuwa amekwisha zungumza na Musa katika mlima wa Sinai, akampa hizo mbao mbili za ushuhuda, mbao mbili za mawe, zilizoandikwa kwa kidole cha Mungu.
pia soma haya maelezo
siyo kwamba Mkristo mwenye imani na aliye chini ya
neema halazimiki kushika Sheria?
“Maana dhambi ni uvunjaji wa Sheria ya Mungu” (1 Yoh. 3:4. “Kwa maana dhambi haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya Sheria, bali chini ya neema. Ni nini basi? Tufanye dhambi kwa sababu hatuwi chini ya Sheria bali chini ya neema? Hasha!” Rum. 6:14,15. “Basi,
je! twaibatilisha Sheria kwa imani hiyo? Hasha! Kinyume chake twaithibitisha Sheria.” Rum. 3:31.
Hapana. Maandiko yanafundisha kinyume kabisa. Neema ni kama msamaha wa Rais kwa mfungwa. Neema humsamehe, lakini haimpi ruhusa kuvunja hata kipengere kimoja cha Sheria. Ni motisha ya kumfanya mtu atii.
 
Ukiisoma biblia nje ya context utapata ugumu kufasiri maandiko!

Wayahudi walikuwa na torati na wakiisoma kila siku wasijue kuwa imeandika habari za Yesu!

Haujachelewa unaweza kujifunza /kufundishwa kuisoma biblia kwa mtiririko na hautapata shida hii tena

Contex ya biblia imeandikwa na waandishi wenyewe ?

Tuletee context aliyoiandika Luka tu katika injili yake , Tuanzie hapa
 
Imani ya Yesu: kaondoa dhambi,katusamehe, katutakasa.
Amri za Mungu
Yesu anasema Amri mpya nawapeni yaani Upendo ndiyo amri za Mungu katika Kristo na siyo zile za Musa za zamani

Hayo ni maneno yako hujaweka aya hata moja kuthibitisha hayo unayoyasema
 
Ufunuo 14:12 SRUV​

Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.

MKUU KAMA WEWE NI MSOMAJI MZURI WA BIBLIA,NIELEZEEE KIDOGO HILI FUNGU LILIMAANISHA NINI
Imani y

Mimi ndiyo Aya zenyewe
 
Kabla sijaelezea je umewahi soma hili fungu
Agano jipya: Mathayo 5:17 "Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua Torati au Manabii la, sikuja kuitangua bali kuitimiliza"

Amri ya Mungu ambayo ni Upendo imegawanyika sehemu mbili ulalo(Upendo baina yako na wanadamu wenzako) na wima (Upendo wako kwa Mungu)
hizi amri 2 zina utofauti gani na zile Amri alizoshushiwa Musa na tena ziliandikwa na Mungu mwenyewe?
kutoka 31; 18Hapo BWANA alipokuwa amekwisha zungumza na Musa katika mlima wa Sinai, akampa hizo mbao mbili za ushuhuda, mbao mbili za mawe, zilizoandikwa kwa kidole cha Mungu.
pia soma haya maelezo
siyo kwamba Mkristo mwenye imani na aliye chini ya
neema halazimiki kushika Sheria?
“Maana dhambi ni uvunjaji wa Sheria ya Mungu” (1 Yoh. 3:4. “Kwa maana dhambi haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya Sheria, bali chini ya neema. Ni nini basi? Tufanye dhambi kwa sababu hatuwi chini ya Sheria bali chini ya neema? Hasha!” Rum. 6:14,15. “Basi,
je! twaibatilisha Sheria kwa imani hiyo? Hasha! Kinyume chake twaithibitisha Sheria.” Rum. 3:31.
Hapana. Maandiko yanafundisha kinyume kabisa. Neema ni kama msamaha wa Rais kwa mfungwa. Neema humsamehe, lakini haimpi ruhusa kuvunja hata kipengere kimoja cha Sheria. Ni motisha ya kumfanya mtu atii.
Ndege Tai najua unayajua sana maandiko labda Nikuulize tu
je unaamini kwamba umeondolewa dhambi milele yaani umekubalika na Mungu bure kwa imani ya Kristo?
Au bado unajitahidi kwa nguvu zako mwenyewe ili ukubalike na Mungu
 
Mungu anampenda sana mwanadamu ndio maana kulikuwepo na mpango wa wokovu pale tu mwanadamu alipoasi..
Kupitia kwa Yesu tulipata neema kubwa sana
 
Huu ndio UKWELI, Shetani asingeweza kupambana na waamini wa kweli hivyo akawagawanya kupitia DINI na madhehebu.

Mtume Paulo aliwahi kuonya, waliojiita Sisi ni WA PAULO akawaambia, aliyekufa msalabani ni mmoja YESU kwanini mnakuwa na utengano?

Focus ya madhehebu mengi ni kujiona wako bora kuliko wengine! UKWELI ni kuwa YESU ni bora kuliko madhehebu yote.

Hatuokolewi kwa kuamini dini /dhehebu X Bali kwa kumuamini na kumkiri Yesu, Soma Rom 9:10
Uko sahihi kablsa, ni Yesu pekee wa kumfuata. Si taasisi za kidini zinazobuniwa na watu (madhehebu), wala si mtu mwingine yeyote yule awezaye kutuokoa hata kama ana jina kubwa la kidini. Matendo 4:12
 
Uko sahihi kablsa, ni Yesu pekee wa kumfuata. Si taasisi za kidini zinazobuniwa na watu (madhehebu), wala si mtu mwingine yeyote yule awezaye kutuokoa hata kama ana jina kubwa la kidini. Matendo 4:12
Kawaambie maneno hayo wafuasi wa Kuhani Musa au Mwamposa au waambie RC au SDA
 
Unaakili timamu wewe????

Yani huwezi kuiongelea SDA ukaacha hawa wafuatao
Joseph Bates, Hiram Edison, John Snow, Ellen G White na mumewe James..

Ningekuwa karibu ningezabua kibao akili ikae sawa
Soma mwanzo 2:2-4; Sabato ilianzishwa na Mungu
Waebrania 4;10 ' Imebakia raha ya SABATO kwa watu wa MUNGU
Faala pooh nimeokoka, leta fungu linalosema Ukimwamini Mungu umeokoka,,, kalie tu
 
Zingatia:
The Four Cult claimed them self being X-,tians.
1. Seventh Day Adventist.
2. Jehova Witness
3. The Mormon.
4. Xtian Scientilogy
Soma Biblia, husikalilishwe mambo! Na wanaotaka kushibisha matumbo yao'', wakiwadanganya watu.

Mwanzo 2:1-25​

1: Sabato ni ishara ya uumbaji;-
Kum 4:19; 17:3; 2Fal 17:16; 21:3; Za 104:2; Isa 44:24; 45:12; 48:13; 51:13 Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo.

2: Sabato ilianzia Edeni, na Mungu mwenyewe ndiye aliianzisha;
Kum 5:14; Ebr 4:4; Kut 20:11; 31:17; 34:21; Yn 5:17Katika siku ya saba Mungu alikuwa amekamilisha kazi aliyokuwa akiifanya, hivyo siku ya saba akapumzika kutoka kazi zake zote.

3:Sabato imebarikiwa, na Mungu Mwenyewe
Kut 16:23; 20:10; 23:12; 31:15; 35:2; Law 23:3; Ebr 4:11; Neh 9:14; Mwa 1:1; Za 95:11; Isa 58:13; Yer 17:22 Mungu akaibariki siku ya saba akaifanya takatifu, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kazi zote za kuumba alizokuwa amefanya.
Leta hoja!
 
Uko sahihi kablsa, ni Yesu pekee wa kumfuata. Si taasisi za kidini zinazobuniwa na watu (madhehebu), wala si mtu mwingine yeyote yule awezaye kutuokoa hata kama ana jina kubwa la kidini. Matendo 4:12

Soma Biblia, husikalilishwe mambo! Na wanaotaka kushibisha matumbo yao'', wakiwadanganya watu.

Mwanzo 2:1-25​

1: Sabato ni ishara ya uumbaji;-
Kum 4:19; 17:3; 2Fal 17:16; 21:3; Za 104:2; Isa 44:24; 45:12; 48:13; 51:13 Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo.

2: Sabato ilianzia Edeni, na Mungu mwenyewe ndiye aliianzisha;
Kum 5:14; Ebr 4:4; Kut 20:11; 31:17; 34:21; Yn 5:17Katika siku ya saba Mungu alikuwa amekamilisha kazi aliyokuwa akiifanya, hivyo siku ya saba akapumzika kutoka kazi zake zote.

3:Sabato imebarikiwa, na Mungu Mwenyewe
Kut 16:23; 20:10; 23:12; 31:15; 35:2; Law 23:3; Ebr 4:11; Neh 9:14; Mwa 1:1; Za 95:11; Isa 58:13; Yer 17:22 Mungu akaibariki siku ya saba akaifanya takatifu, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kazi zote za kuumba alizokuwa amefanya.
Leta hoja!

Quote Reply
Select for moderation Report Edit Delete
First Prev16 of 16

BoldItalicMore options…

Insert linkInsert imageMore options…
UndoMore options…
Preview

Font sizeText colorFont ListAlignment
  • Align left
  • Align center
  • Align rigStrike-throughUnderlineInline spoilerInline code
SmiliesQuoteInsert videoMediaInsert tableInsert horizontal lineSpoilerCodeSubscriptSuperscript
RedoToggle BB codeRemove formattingDrafts

Write your reply...
Post reply

Attach files Insert quotes…

Similar Discussions​

Share:
FacebookTwitterRedditWhatsAppEmailLink
14 Reactions
Reply
24px.svg

Maandishi halisi

Kadiria tafsiri hii
Maoni yako yatatumika kusaidia kuboresha huduma ya Tafsiri ya Google
Ukiona mtu anatukana ili kutetea imani yake,ujue wazi kabisa anatawaliwa na roho isiyo ya Kristo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Soma Biblia, husikalilishwe mambo! Na wanaotaka kushibisha matumbo yao'', wakiwadanganya watu.

Mwanzo 2:1-25​

1: Sabato ni ishara ya uumbaji;-
Kum 4:19; 17:3; 2Fal 17:16; 21:3; Za 104:2; Isa 44:24; 45:12; 48:13; 51:13 Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo.

2: Sabato ilianzia Edeni, na Mungu mwenyewe ndiye aliianzisha;
Kum 5:14; Ebr 4:4; Kut 20:11; 31:17; 34:21; Yn 5:17Katika siku ya saba Mungu alikuwa amekamilisha kazi aliyokuwa akiifanya, hivyo siku ya saba akapumzika kutoka kazi zake zote.

3:Sabato imebarikiwa, na Mungu Mwenyewe
Kut 16:23; 20:10; 23:12; 31:15; 35:2; Law 23:3; Ebr 4:11; Neh 9:14; Mwa 1:1; Za 95:11; Isa 58:13; Yer 17:22 Mungu akaibariki siku ya saba akaifanya takatifu, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kazi zote za kuumba alizokuwa amefanya.
Leta hoja!

Quote Reply
Select for moderation Report Edit Delete
First Prev16 of 16

BoldItalicMore options…

Insert linkInsert imageMore options…
UndoMore options…
Preview

Font sizeText colorFont familyListAlignment
  • Align left
  • Align center
  • Align right
  • Justify text
Paragraph formatStrike-throughUnderlineInline spoilerInline code
SmiliesQuoteInsert videoMediaInsert tableInsert horizontal lineSpoilerCodeSubscriptSuperscript
RedoToggle BB codeRemove formattingDrafts
Uko sahihi kablsa, ni Yesu pekee wa kumfuata. Si taasisi za kidini zinazobuniwa na watu (madhehebu), wala si mtu mwingine yeyote yule awezaye kutuokoa hata kama ana jina kubwa la kidini. Matendo 4:12

Soma Biblia, husikalilishwe mambo! Na wanaotaka kushibisha matumbo yao'', wakiwadanganya watu.

Mwanzo 2:1-25​

1: Sabato ni ishara ya uumbaji;-
Kum 4:19; 17:3; 2Fal 17:16; 21:3; Za 104:2; Isa 44:24; 45:12; 48:13; 51:13 Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo.

2: Sabato ilianzia Edeni, na Mungu mwenyewe ndiye aliianzisha;
Kum 5:14; Ebr 4:4; Kut 20:11; 31:17; 34:21; Yn 5:17Katika siku ya saba Mungu alikuwa amekamilisha kazi aliyokuwa akiifanya, hivyo siku ya saba akapumzika kutoka kazi zake zote.

3:Sabato imebarikiwa, na Mungu Mwenyewe
Kut 16:23; 20:10; 23:12; 31:15; 35:2; Law 23:3; Ebr 4:11; Neh 9:14; Mwa 1:1; Za 95:11; Isa 58:13; Yer 17:22 Mungu akaibariki siku ya saba akaifanya takatifu, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kazi zote za kuumba alizokuwa amefanya.
Leta hoja!

Quote Reply
Select for moderation Report Edit Delete
First Prev16 of 16

BoldItalicMore options…

Insert linkInsert imageMore options…
UndoMore options…
Preview

Font sizeText colorFont ListAlignment
  • Align left
  • Align center
  • Align rigStrike-throughUnderlineInline spoilerInline code
SmiliesQuoteInsert videoMediaInsert tableInsert horizontal lineSpoilerCodeSubscriptSuperscript
RedoToggle BB codeRemove formattingDrafts

Write your reply...
Post reply

Attach files Insert quotes…

Similar Discussions​

Share:
FacebookTwitterRedditWhatsAppEmailLink
14 Reactions
Reply
24px.svg

Maandishi halisi

Kadiria tafsiri hii
Maoni yako yatatumika kusaidia kuboresha huduma ya Tafsiri ya Google
Post reply

Attach files Insert quotes…

Similar Discussions​

Share:
FacebookTwitterRedditWhatsAppEmailLink
14 Reactions
 
Soma Biblia, husikalilishwe mambo! Na wanaotaka kushibisha matumbo yao'', wakiwadanganya watu.

Mwanzo 2:1-25​

1: Sabato ni ishara ya uumbaji;-
Kum 4:19; 17:3; 2Fal 17:16; 21:3; Za 104:2; Isa 44:24; 45:12; 48:13; 51:13 Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo.

2: Sabato ilianzia Edeni, na Mungu mwenyewe ndiye aliianzisha;
Kum 5:14; Ebr 4:4; Kut 20:11; 31:17; 34:21; Yn 5:17Katika siku ya saba Mungu alikuwa amekamilisha kazi aliyokuwa akiifanya, hivyo siku ya saba akapumzika kutoka kazi zake zote.

3:Sabato imebarikiwa, na Mungu Mwenyewe
Kut 16:23; 20:10; 23:12; 31:15; 35:2; Law 23:3; Ebr 4:11; Neh 9:14; Mwa 1:1; Za 95:11; Isa 58:13; Yer 17:22 Mungu akaibariki siku ya saba akaifanya takatifu, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kazi zote za kuumba alizokuwa amefanya.
Leta hoja!

Sabato ni ya Waisraeli, Mungu alikwishaiondoa

KWA kushikilia peke yake maelezo yaliyo katika Biblia, katika kitabu cha Kutoka 20:8-11; baadhi ya watu huamini kuwa baada ya siku sita za kuumba kwake vitu vyote, Mungu aliitenga siku iliyofuatia ya saba (sabato) kuwa ni siku tukufu (holiday) na ya ibada.

Aidha, itikadi ya kuadhimisha siku hiyo pia imebeba dhana kwamba Mungu alifanya kazi (ya kuumba) kwa muda wa siku sita na baada ya kuchoka kwa kazi hiyo siku ya saba akapumzika!

Kwa kigezo hicho ndio sasa inaaminiwa na baadhi ya Wakristo kuwa imekuwa ni amri kwa wanadamu wote kwamba kwa muda wa siku sita wafanye kazi na siku ya saba ambayo ndiyo Sabato (Jumamosi) wapumzike na wafanye ibada.

Kwa hali hiyo, imenilazimu kupitia makala yangu hii nithibitishe kwa maandiko:

• Nafasi ya kuiadhimisha Sabato kwa wakati tulionao sasa.

• Uhusiano wa Sabato na wasiokuwa Waisraeli.

•Dhana potofu iliyoambatanishwa na Sabato (ya Mungu kuchoka na kumpumzika).

• Siku ambayo wanadamu wanatakiwa wafanye ibada.

Hata hivyo, kabla sijazichambua nukta hizo, ni vyema hapa kwanza nikayarejea maandiko kadhaa yanayoelezea wazi amri ya kuiheshimu na kuishika siku ya Sabato.

Mwenyezi Mungu alisema:

"Ikumbukeni siku ya Sabato uitakase.Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yoyote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. Maana, kwa sikusita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibariki siku ya Sabato akaitakasa". (Kutoka20:8-11).

Tunachojifunza kufuatana na maandiko hayo juu ni kwamba, pamoja na kuandikwa maelezo ya "kustarehe kwake" siku ya saba baada ya kuumba kwake vitu vyote, amri ya kuitukuza sabato ilitolewa moja kwa moja na mwenyewe Mungu.

Maelezo mengine ya amri hiyo yamerejewa pia katika rejea (reference) za Kutoka 31:12-17 na Kumbukumbu la Torati 5:12-15.

Hilo halina mjadala. pamoja na hivyo, lakini:

Sabato haikuwahusu watu wengine isipokuwa Waisraeli peke yao.

Pamoja na kukiri amri ya kuishika sabato kwamba ilikuwa ni ya Mungu mwenyewe kama tulivyoona hapo juu, maandiko ya Biblia yanaeleza wazi kuwa amri hiyo haikuwa na uhusiano wowote na watuwa mataifa mengine, yasiyokuwa ya Israeli. Lakini iliwahusu tu Waisraeli na vizazi vyao peke yao.

Ukweli huu unadhihirishwa na maandiko yafuatayo:

"BWANA akasema na Musa, na kumwambia, kisha nena wewe na wana wa Israeli, na kuwaambia, Hakika mtazishika sabato zangu, kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na nyinyi katika vizazi vyenu vyote, ili mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi:.

"Kwa ajili ya hayo wana wa Israeli wataishika sabato, kuiangalia sana hiyo sabato katika vizazi vyao vyote,ni agano la milele. Ni ishara kati ya mimi na wana wa Israeli milele; kwani kwa siku sita BWANA alikufanya mbingu na nchi, akastarehe kwa siku ya sabana kupumzika". (Kutoka 31:12-13 na 16-17).

Kwa maandiko hayo, kinachodhihirika hapa ni kwamba hakuna watu wa mataifa mengine waliopewa amri ya kuishika sabato isipokuwa wana wa Israeli na vizazi vyao peke yao. Ambapo maandiko yanaeleza vile vile kwamba sababu ya msingi ya wana wa Israeli kupewa amri ya kuishika sabato ilikuwa ni ishara ya kuonyesha uhusiano wao mwema wa utiifu katika kuheshimu na kufuata amri za Mwenyezi Mungu.

Kisha Mungu alitoa tahadhari kwa Muisraeli atakayevunja Sabato

Baada ya Mungu kuwaamuru wana waIsraeli kuishika sabato, ili kutilia mkazo amri hiyo, aliwatahadharishakwa kutoa adhabu ya kuuawa kwa yeyote miongoni mwao atakayethubutu japokwa mzaha kuinajisi (kuivunja) au kufanya kazi yoyote siku ya sabato. Mungualiwaambia wana wa Israeli:

"Basi mtaishika hiyo sabato; kwakuwa ni takatifu kwenu; kila mtu atakayeitia najisi hakika yake atauawa; kwa kuwa kila mtu afanyaye kazi katika siku hiyo, nafsi yake itakataliwa mbali na watu wake. Kazi itafanywa siku sita; lakini siku ya saba ni sabato ya kustarehe kabisa, takatifu kwa BWANA; kila mtu atakayefanya kazi yoyote katika siku ya sabato, hakika yake atauawa". (Kutoka 31:14-15)

Muisraeli mmoja aliuawa kwa kukusanyakuni tu siku ya Sabato!

Ili kuonyesha ulazima wa kutii amriya kuiheshimu na kuishika sabato na kutotii tahadhari ya kutofanya kaziyoyote siku hiyo, maandiko ya Biblia hayakuacha kumuelezea Muisreli mmojaaliyehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kukusanya tu kuni siku ya sabato.Biblia inasema:

"Kisha wakati huo wana wa Israeli walipokuwa jangwani, wakamwona mtu mmoja akikusanya kuni siku ya sabato. Hao walimwona akikusanya kuni wakamleta kwa Musa na Haruni, na kwa mkutano wote. Nao wakamweka kifungoni, maana, lilikuwa halijasemwa atakalotendwa. BWANA akamwambia Musa, mtu huyo lazima atauawa; mkutano wote wakampiga kwa mawe huko nje ya marago. Basi mkutano wote wakampeleka ya marago, nao wakampiga mawe, akafa; kama BWANA alivyomwagiza Musa". (Hesabu 15:32-36).

Kwa ufupi, haya yalikuwa ndio matokeo ya mtu (Muisraeli) anayeivunja sabato. Na ni dhahiri Bwana Yesu alipokuja alilijua hili.

Hata hivyo, uovu ulipokithiri Mungu aliamua kuivunja Sabato

Pamoja na mtu yule kupondwa kwa mawe hadi kufa kwa kosa la kuvunja sabato, hatimaye katika siku za usoni, zamaza Nabii Isaya (a.s.), Mungu aliamua mwenyewe kuivunja sabato kutokana na kukithiri kwa maovu, hali iliyopelekea amri za Mungu, ikiwemo ile ya kuheshimu siku ya sabato kuchanganywa na mila na desturi potofu za watu,kiasi kwamba ya Mungu na ya watu hayakutofautishwa. Ndipo Mungu mwenyewe kupitia Nabii Isaya alipoamua kukata shauri kwa kuwaambia:

"Msilete tena matokeo ya ubatili; uvumba ni chukizo kwangu; mwezi mpya na sabato, kuita makutano, siyawezi maovu hayo na makutano ya ibada. Sikukuu zenu za mwezi mpya na karamu zenu zilizoamriwa; nafsi yangu yazichukia; mambo hayo yanilemea; nimechoka kuyachukua".(Isaya 1:13-14).

Kufuatana na maandiko hayo juu, imedhihihirika kwamba kwa kuchukizwa mno na maovu ya watu hao, Mungu alifikia kuishutumu sabato kuwa ni sehemu ya "maovu" kama inavyoonekana katika maandiko hayo hapo juu. Na hili Bwana Yesu alipokuja naye alilijua. Na ndio hakuona ulazima wa kuiheshimu tena sabato, kama tutakavyokuja kuona hapo baadae.

Yesu alidhihirisha kuvunjwa kwaSabato

Biblia inaonyesha maneno na matendo ya Bwana Yesu yalidhihirisha kwamba amri ya kuiheshimu na kuishika siku ya sabato ilikuwa haina nguvu tena kama ilivyokuwa hapo katika siku zakale. Na huu ni uthibitisho mwingine wa wazi kuwa sabato lkuwa imekwisha vunjwa. Maandiko yafuatayo yanayoweka bayana ukweli huu:

"Wakati ule Yesu alipita katika mashamba siku ya sabato; wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke, wakala.Na Mafarisayo walipoona, walimwambia, tazama! Wanafunzi wako wanafanya neno ambalo si halali kulifanya siku ya sabato. Akawaambia, Hamkusoma alivyotenda Daudi, alipokuwa na njaa, yeye na wenzake? Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaila mikate ya wonyesho, ambayo si halali kwake kuila walakwa wale wenziwe, ila kwa makuhani peke yao? Wala hamkukusoma katika Torati,kwamba siku ya sabato makuhani hekaluni huinajisi sabato wasipate hatia?Lakini nawaambieni, kwamba hapa yupo aliye mkuu kuliko hekalu. Lakini kama mngalijua maana yake maneno haya, Nataka rehema wala si sadaka, msingaliwalaumu wasio na hatia. Kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato". (Mathayo12:1-8)

Tunachojifunza kutokana na maandiko hayo juu ni kwamba tofauti na mtu yule aliyeuliwa kwa kosa la kukusanya kuni siku ya sabato, Bwana Yesu pamoja na kutowakemea kwa kuvunja kwao masuke siku ya sabato, bado anawatetea wanafunzi wake kwa "kosa" hilo tena kwa kulijengea hoja tofauti. Kubwa zaidi anawadharau wale wote wanaowaona kuwa ni wakosaji wale wanaoivunja sabato, pale alipowaambia:

"... kama mngalijua maana yake maneno haya msingeliwalaumu wasio na hatia (waliovunja masuke siku ya sabato)".

Aidha, kauli ya Yesu hapa kwamba"Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato" haina maana nyingine zaidi ya kuonyesha kwamba yeye (Yesu) ndiye anayehusika zaidi na sabato kwa kuwa kwanza yu Muisraeli (Marko 2:27), pili, ilikuwa kielelezo kwa wanadamu wengine, yeye ndiye anayestahiki zaidi kuwa mtu wa kwanza katika kutii amri za Mungu . Kwa maana hiyo, alijua vyema kwamba wakati ule sabato haikuwepo tena.

Ndio maana kama tulivyokwisha kuona hakuwachukulia hatua wanafunzi wake hatua inayostahiki walipovunja masuke siku ya sabato, kwa kuwa wakati ule kilikuwa tena si kipindi cha "sadaka" bali cha "rehema", kama mwenyewe (Yesu) alivyosema hapo juu.

Zaidi ya kutowachukulia hatua yoyote wanafunzi wake kama alivyoadhibiwa mtu yule wa kuni, Biblia pia inaonyesha kuwa Bwana Yesu aliruhusu siku ya sabato kufanya kazi, kama zile za kuokoa uhai wa viumbe, kama tunavyosoma maandiko yafuatayo:

"Akaondoka huko, akaingia katika sinagogi lao. Na tazama, yumo mtu mwenye mkono umepooza, wakamwuliza, wakisema, Ni halali kuponya mtu siku ya sabato? Wapate kumshitaki. Akawaambia, Ni mtu yupi miongoni mwenu mwenye kondoo mmoja, na yule kondoo ametumbukia shimoni siku ya sabato, asiyemshika akamwopoa? Je! Mtu ni bora kuliko kondoo mara ngapi? Basi ni halali kutenda wema siku ya sabato. Kisha akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako; akaonyoosha, ukapona, ukawa mzima kama wapili". (Mathayo 12:9-12)

Ukichunguza kwa makini mafundisho haya ya Bwana Yesu utagundua ukweli kwamba sabato ilikwishavunjwa, kwani kama anavyosema (Yesu) kuwa ni halali kutenda wema siku ya sabato, kukusanya kuni pia na katika mambo mema vile vile, lakini kwa vile zama hizo sabato ilikuwa bado haijavunjwa, mhusika aliadhibiwa kwa kuuawa.

La muhimu kuzingatia hapa ni kwamba"ruhusa" hiyo ya Bwana Yesu ya kufanya kazi siku ya sabato ameitoa wakati ambao yapo yale maandiko yanayoitaja wazi marufuku ya kufanya kazi yoyotesiku ya sabato, pia yanatahadharisha Muisraeli atakayevunja sabato kwa kufanya kazi yoyote katika siku hiyo, isitoshe, yanamuelezea mtu yule aliyeuawa kwa kosa la kukusanya kuni tu siku ya sabato. Hii inaonyesha dhahiri kuwaalikuwa akionyesha kuwa amri ya kuishika sabato imekwishafutwa. (Isaya1:13-14)

Kwa hiyo hakuna siku maalum ya ibada

Baada ya kuona Bwana Yesu jinsi alivyoonyesha kutokuwepo tena taadhima ya siku ya sabato, kwa kweli sikukuu hiyo ilibakikuwa ni historia tu, kama Mungu mwenyewe anavyotukumbusha katika maandiko yafuatayo:

"Kisha nikawaambia watoto wao jangwani,msiende katika amri za baba zenu, wala msizishike hukumu zao, wala msijitie unajisi kwa vinyago vyao. Mimi ni BWANA, Mungu wenu; endeni katika amri zangu, mkazishike hukumu zangu, na kuzitenda, zitakaseni sabato zangu,nazo zitakuwa ishara kati ya mimi na nyinyi, mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu". (Ezekieli 20:18-20)

Hivi ndivyo sabato ilivyosalia. Na baada ya hapo kwa kweli hakuna siku nyingine yoyote ambayo Mungu aliiteua badala ya sabato kuwa ni siku ya mapumziko na ya ibada. Haipo!

Na kwa kweli mwongozo sahihi na uliowazi juu ya ibada upo katika Qur’an tukufu peke yake ambamo Mwenyezi Mungu anasema:

"Na umuabudu Mola wako mpaka ikufikiehiyo yakini (nayo ni mauti)". (Qur’an 15:99)

Hapa haikuwekwa tena siku maalum ya ibada. Maana yake ni kuwa anatakiwa kila mwanadamu katika kila nuktaya uhai wake ajitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuwa katika ibada.

Na labda tatizo la msingi lililopokwa watu wengi ni la kutokuelewa maana sahihi ya ibada na kwa upana wake.Ambapo kimakosa neno hilo wanalihusisha na kuswali (kusali) peke yake.Yaani kwa wengi inapozungumzwa "ibada" hudhania ni "kuswali" tu! Hapana!

Labda jambo ambalo ingepasa watu hawa waelimishwe ni kwamba neno "ibada" siyo neno la Kiswahili. Lakini ni neno la Kiarabu lenye maana kwa Kiswahili ya "kutumika". Na kwa upana wake ni kumtumikia Mwenyezi Mungu kwa unyenyekevu kwa kufuata maamrisho yake na kuacha makatazo yake yote. Na kwa hiyo, kuswali ni sehemu ya ibada na siyo ndio ibada yenyewe kamili.

Kwa mantiki hiyo, mtu huhesabika kuwa anaabudu (anafanya ibada) iwapo tu atatenda yale aliyoamrisha Mwenyezi Mungu na kuacha yote aliyoyakataza. Na jambo hilo (la ibada) ni lazimakwa muumini wa kweli alifanye kila siku na siyo kwa siku maalum.
 
Back
Top Bottom