Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Soma Biblia, husikalilishwe mambo! Na wanaotaka kushibisha matumbo yao'', wakiwadanganya watu.
Mwanzo 2:1-25
1: Sabato ni ishara ya uumbaji;-
Kum 4:19; 17:3; 2Fal 17:16; 21:3; Za 104:2; Isa 44:24; 45:12; 48:13; 51:13 Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo.
2: Sabato ilianzia Edeni, na Mungu mwenyewe ndiye aliianzisha;
Kum 5:14; Ebr 4:4; Kut 20:11; 31:17; 34:21; Yn 5:17Katika siku ya saba Mungu alikuwa amekamilisha kazi aliyokuwa akiifanya, hivyo siku ya saba akapumzika kutoka kazi zake zote.
3:Sabato imebarikiwa, na Mungu Mwenyewe
Kut 16:23; 20:10; 23:12; 31:15; 35:2; Law 23:3; Ebr 4:11; Neh 9:14; Mwa 1:1; Za 95:11; Isa 58:13; Yer 17:22 Mungu akaibariki siku ya saba akaifanya takatifu, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kazi zote za kuumba alizokuwa amefanya.
Leta hoja!
Quote Reply
Select for moderation Report Edit Delete
First Prev16 of 16
BoldItalicMore options…
Insert linkInsert imageMore options…
UndoMore options…
Preview
Font sizeText colorFont ListAlignment
SmiliesQuoteInsert videoMediaInsert tableInsert horizontal lineSpoilerCodeSubscriptSuperscript
- Align left
- Align center
- Align rigStrike-throughUnderlineInline spoilerInline code
RedoToggle BB codeRemove formattingDrafts
Write your reply...
Post reply
Attach files Insert quotes…
Similar Discussions
Share:
- B
Hii ndio Sababu Waadventist Wasabato huamini Mwisho wa Dunia Ulianza Mwaka 1844
- Started by Bush Dokta
- Aug 10, 2023
- Replies: 12
- Jamii Intelligence
- [IMG alt="Boss la DP World"]https://www.jamiiforums.com/styles/bannedavatar/avatar_banned_s.png[/IMG]
Wafahamu Waadventista Wasabato
- Started by Boss la DP World
- Apr 13, 2023
- Replies: 29
- Habari na Hoja mchanganyiko
- [IMG alt="TAJIRI MKUU WA MATAJIRI"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/32/32753.jpg?1694993311[/IMG]
Utofauti wa Kanisa, Hekalu na Sinagogi
- Started by TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
- Nov 6, 2023
- Replies: 14
- Habari na Hoja mchanganyiko
- [IMG alt="Uzalendo wa Kitanzania"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/586/586859.jpg?1606987842[/IMG]
Nabii wa Wasabato Mama White adai aliambiwa na malaika sabato ni amri ya kipekee kuliko zote ni muhuri wa Mungu na haikupigiliwa misumari msalabani
- Started by Uzalendo wa Kitanzania
- Sep 23, 2023
- Replies: 182

Kanisa la Wasabato lawatimua wachungaji wanaopinga fundisho la Mungu wa utatu
- Started by Uzalendo wa Kitanzania
- Sep 22, 2023
- Replies: 32
- Habari na Hoja mchanganyiko
FacebookTwitterRedditWhatsAppEmailLink
14 Reactions
Reply
![]()
Maandishi halisi
Kadiria tafsiri hii
Maoni yako yatatumika kusaidia kuboresha huduma ya Tafsiri ya Google

Font sizeText colorFont familyListAlignment
Paragraph formatStrike-throughUnderlineInline spoilerInline code
- Align left
- Align center
- Align right
- Justify text

Mungu wa kweli kamwe hana sifa ya kuchoka
Kwa bahati mbaya tumeona katika Bibliakuna mgongano mkubwa na wa kimsingi wa maandiko yake mengi. Miongoni mwahayo ni kuhusiana na dhana ya Mungu kufanya kazi akachoka akahitaji kupumzikasiku ya sabato, kama tulivyoona katika utangulizi wa makala hii.
Hata hivyo, kwa upande mwingine ziposhuhuda nyingine nyingi katika Biblia zinazoonyesha kuwa Mungu kamwe hanasifa kama hiyo (ya kuchoka na kupumzika). Shuhuda mojawapo ni kama ileiliyothibitishwa na Nabii Isaya (a.s.) kwamba:
"Je! Wewe hukujua, hukusikia? YeyeMungu wa milele, BWANA Muumba miisho ya dunia, hazimii, HACHOKI, akilizake hazichunguziki. Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwana uwezo". (Isaya 40:28-29)
Kwa shuhuda hizi, Nabii Isaya (a.s.)anakanusha kata kata Mungu kuwa na sifa yoyote ya kuchoka hata kupumzika(astarehe). Lakini yeye ndiye huwapa nguvu wale wasiokuwa na uwezo wa kukabilianaau kuhimili msukosuko wowote. Na ndio maana katika Qur’an tukufu mwenyeweMwenyezi Mungu akatilia mkazo kwamba:
"Na tumeziumba mbingu na ardhi navilivyomo kati yao katika nyakati sita, wala hayakutugusa machovu". (Qur’an50:38)
Kwa hiyo, Mwenyezi Mungu mwenyewekatika Qur’an tukufu anakanusha vikali dhana ya kwamba alipumzika sikuya saba baada ya kuumba kwake vitu vyote. Aidha, hiyo pia Mwenyezi Munguanaipinga kwa hoja zake zifuatazo:
"Mtanifananisha na nani, na kunisawazishanaye, na kunilinganisha naye, ili tuwe sawa sawa?" (Isaya 46:5)
"Wala hana anayefanana naye hatammoja". (Qur’an 112:4)
"BWANA akamwambia Musa, Ondoka asubuhi na mapema, ukasimame mbele ya Farao, umwambie, BWANA, Mungu wa Waebrania,asema, Wape watu wangu ruhusa waende wakanitumikie kwani wakati huu nitaleta mapigo yangu yote juu ya moyo wako, na juu ya watumishi wako, na juu yawatu wako, ili upate kujua ya kuwa hapana mmoja mfano wa mimi ulimwenguni mwote". (Kutoka 9:13-14)
Kinachodhihirisha katika aya hizichache ni kuwa Mungu wa kweli kamwe hawezi kufanana kwa namna yoyote naviumbe wake. Na ni dhahiri kuwa sifa za kuchoka na kupumzika ni za viumbeambazo ni udhaifu na upungufu mtupu asiokuwa nao daima Mwenyezi Mungu. Ushahidi mmojawapo ni ule wa Bwana Yesu ambaye baada ya kukiri kuwa yeye ni mwana wa Adamu zaidi ya mara 82 katika Biblia, ameripotiwa kuwa aliwahikuchoka. (Rejea Yohana 4:6)
Kwa hiyo, Yesu naye kama binadamu,alikuwa na udhaifu kama huo na hivyo hawezi kuwa Mungu. (Isaya 40:28-29).Mwenyezi Mungu daima hachoki na milele hapumziki, kama Yesu mwenyewe anavyothibitisha,"Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi". (Yohana 5:16-17)