Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

Yesu anasema "mathayo 5:19 Yeye HASIYE shika torati na kufundisha watu kuvunja torati na manabii ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa Mungu'"

Jitathimini unapoendelea kuvunja na kufundisha wengine kuvunja torati na manabii
Soma Daniel 7:17--22 & Ufunuo 13:15 Pembe ndogo ' itaadhimu kubadili sheria,
Sio Mungu Aliye badili sheria ikiwemo sabato hiyo ni Kazi ya Pembe ndogo

Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??

Colossians 2:16-17

Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.
 
soma vizuri nini nimeandika , punguza jaziba
Kula, kuponya, Siku ya sabato sio dhambi
Kuvunja sabato na inaposema Yesu alivunja sabato sio Yesu akitoa/Alihamisha utukufu wa sabato.
Aliye hamisha utukufu wa siku ya sabato ni papa. Soma vizuri " Nani alianzisha ibada ya Siku ya jumapili???
 
Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??

Colossians 2:16-17

Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.
Tuanzia Hapa::: Husihukumu watu kwa kunywa,....KANISANI kwako watu wanaruhusiwa kunywa pombe???
 
Nalikuwa katika Roho, SIKU YA BWANA ....(Ufunuo 1:10)
Swali:
1: je ikiwa manabii wanatambua kuwa ipo Siku ya BWANA, unapata wapo fungu la biblia linalosema Hakuna Siku maalumu ya ibada???

2: Kwenye bango la kanisa umeandika jumapili ni Siku ya ibada, Ulitumia vigezo vipi vya KIROHO kuifanya jumapili kuwa Siku ya ibada??

American Bible na NIV Bible zimeandika hivi

The Book of Revelation: Kitabu cha Ufunuo

"The author of the book calls himself John, who because of his Christian faith has been exiled to the rocky island of Patmos, a Roman penal colony. Although he never claims to be John the apostle, he was so identified by several of the early church Fathers, including Justin, Irenaeus, Clement of Alexandria, Terullian, Cyprian, and Hippolytus. This identification, however, was denied by other Fathers, including Denis of Alexandria, Eusebius of Caesarea, Cyril of Jerusalem, Gregory Nazianzen, and John Chrysostom. Indeed, vocabulary, grammar, and style make it doubtful that the book could have been put into its present form by the same persons responsible for the fourth gospel. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1373)"

"Four times the author identifies himself as John (1:1,4,9; 22:8).....In the third century, however, an African bishop named Dionysius compared the language, style and thought of the Apocalypse (Revelation) with that of the other writings of John and decided that the book could not been written by the apostle of John. He suggested that the author was a certain John the Presbyter, whose name appears elsewhere in ancient writings. Although many today follow Dionysius in his view of authorship, the external evidence seems overwhelmingly supportive of the traditional view. (From the NIV Bible Commentary [1], page 1922)"

Mwandishi hajulikani jee wewe utaamini tu kibubusa kuwa ni maneno ya Mungu hayo ??
 
Yesu anasema "mathayo 5:19 Yeye HASIYE shika torati na kufundisha watu kuvunja torati na manabii ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa Mungu'"

Jitathimini unapoendelea kuvunja na kufundisha wengine kuvunja torati na manabii
Soma Daniel 7:17--22 & Ufunuo 13:15 Pembe ndogo ' itaadhimu kubadili sheria,
Sio Mungu Aliye badili sheria ikiwemo sabato hiyo ni Kazi ya Pembe ndogo
Aliwaambia hivyo kwasababu alijua kwa hakika hakuna ambaye angeweza kuzishika na kuzitenda
Kwasababu masharti ya zile amri zilivyokuwa ukikosa moja maana yake umekosa yote
 
Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??

Colossians 2:16-17

Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.

Wavaakobazi mnashida,Mnapinga maandisko ya mtume paulo ila kwenye vi hoja vyenu mshenzi mnayatumia maandishi ya mtume paulo,wewe jamaa acha unafiki na upotoshaji,baki kwenye uislam wako itapendeza zaidi.
 
Wavalishwa pampers mna mambo ,yaani mnakimbia hili swali hamtaki kujibu

Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??

Colossians 2:16-17

Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.
 
Aliwaambia hivyo kwasababu alijua kwa hakika hakuna ambaye angeweza kuzishika na kuzitenda
Kwasababu masharti ya zile amri zilivyokuwa ukikosa moja maana yake umekosa yote
Wewe unaye fundisha watu wasishike torati unapotosha watu
Ufunuo 12:6 Napa ndipo penye Subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu na Imani ya Yesu, Huwezi kuwa mtakatifu bila kutii amri za Mungu ikiwemo sabato
 
Usikimbie Swali

Kutokana na Hilo fungu? Je waumini wako wanaruhusiwa kunywa pombe???? Je Hilo fungu linahusikaje na ibada na Amri za Mungu???
Zaburi 19:7--14 Amri za Mungu
1: Ni kamilifu
2:Ni zamilele (matayo 5:19)
Aliye anzisha ibada ya jumapili ni papa, wewe ni mfuasi wa papa ( Ufunuo 13:15& Daniel 7:7----)
 
Aliwaambia hivyo kwasababu alijua kwa hakika hakuna ambaye angeweza kuzishika na kuzitenda
Kwasababu masharti ya zile amri zilivyokuwa ukikosa moja maana yake umekosa yote
Wewe ndio Huwezi kushika
Luka 18:18--- Nifanye Nini nipate uzima wa milele? Yesu akamjibu zishike amri,, akamjibu nimezishika tangu utoto
Husipotoshe eti hawakuweza kushika, wewe ndio Huwezi kushika
 
Usikimbie Swali

Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??

Colossians 2:16-17

Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.

2 Pet 3:16 SUV "katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa ; na watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe!​

Pole Sana, umepoteza wengi, katubu
 
American Bible na NIV Bible zimeandika hivi

The Book of Revelation: Kitabu cha Ufunuo

"The author of the book calls himself John, who because of his Christian faith has been exiled to the rocky island of Patmos, a Roman penal colony. Although he never claims to be John the apostle, he was so identified by several of the early church Fathers, including Justin, Irenaeus, Clement of Alexandria, Terullian, Cyprian, and Hippolytus. This identification, however, was denied by other Fathers, including Denis of Alexandria, Eusebius of Caesarea, Cyril of Jerusalem, Gregory Nazianzen, and John Chrysostom. Indeed, vocabulary, grammar, and style make it doubtful that the book could have been put into its present form by the same persons responsible for the fourth gospel. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1373)"

"Four times the author identifies himself as John (1:1,4,9; 22:8).....In the third century, however, an African bishop named Dionysius compared the language, style and thought of the Apocalypse (Revelation) with that of the other writings of John and decided that the book could not been written by the apostle of John. He suggested that the author was a certain John the Presbyter, whose name appears elsewhere in ancient writings. Although many today follow Dionysius in his view of authorship, the external evidence seems overwhelmingly supportive of the traditional view. (From the NIV Bible Commentary [1], page 1922)"

Mwandishi hajulikani jee wewe utaamini tu kibubusa kuwa ni maneno ya Mungu hayo ??
Umeanza kubishana na biblia???

2 Pet 3:16 SUV​

vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa ; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe
 
Wavalishwa pampers mna mambo ,yaani mnakimbia hili swali hamtaki kujibu

Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??

Colossians 2:16-17

Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.

Kwanza unaleta hoja ukitumia biblia ipi hii hii feki au og iliyopo hapo maka?
 
American Bible na NIV Bible zimeandika hivi

The Book of Revelation: Kitabu cha Ufunuo

"The author of the book calls himself John, who because of his Christian faith has been exiled to the rocky island of Patmos, a Roman penal colony. Although he never claims to be John the apostle, he was so identified by several of the early church Fathers, including Justin, Irenaeus, Clement of Alexandria, Terullian, Cyprian, and Hippolytus. This identification, however, was denied by other Fathers, including Denis of Alexandria, Eusebius of Caesarea, Cyril of Jerusalem, Gregory Nazianzen, and John Chrysostom. Indeed, vocabulary, grammar, and style make it doubtful that the book could have been put into its present form by the same persons responsible for the fourth gospel. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1373)"

"Four times the author identifies himself as John (1:1,4,9; 22:8).....In the third century, however, an African bishop named Dionysius compared the language, style and thought of the Apocalypse (Revelation) with that of the other writings of John and decided that the book could not been written by the apostle of John. He suggested that the author was a certain John the Presbyter, whose name appears elsewhere in ancient writings. Although many today follow Dionysius in his view of authorship, the external evidence seems overwhelmingly supportive of the traditional view. (From the NIV Bible Commentary [1], page 1922)"

Mwandishi hajulikani jee wewe utaamini tu kibubusa kuwa ni maneno ya Mungu hayo ??
Google....... occult in pentecostal church
Utajua unacho tetea
 
Wewe unaye fundisha watu wasishike torati unapotosha watu
Ufunuo 12:6 Napa ndipo penye Subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu na Imani ya Yesu, Huwezi kuwa mtakatifu bila kutii amri za Mungu ikiwemo sabato
Sawa umesema unapotosha,
Sasa iko hv kwa mujibu wa maandiko ya kwenye bibilia Kuna sheria ya Musa(torati) na kuna sheria ya Kristo (Imani/Neema ) Sasa inategemea wewe unafuata ipi
WARUMI 8:2 Sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru mbali na sheria ya dhambi na mauti (torati ya Musa)
WAGALATIA 2:16hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya Sheria(torati), bali kwa imani ya Kristo Yesu...........
WAGALATIA 3:24 Hivyo torati (sheria/MUSA) imekuwa kiongozi kutuleta kwa KRISTO ili tuhesabiwe haki kwa Imani.
WAGALATIA 5:4 mmetengwa na Kristo(MUNGU) ninyi mtakao kuhesabiwa haki kwa sheria, mmeanguka na kutoka katika hali ya neema 5:maana sisi kwa Roho(KRISTO) tunalitazamia tumaini la haki kwa kwa njia ya imani(na siyo Sheri)
Kazi kwako Sasa kuchagua
Unachagua giza au Nuru
 
Sikatai wasabato wanamapangufu yao, lakin bado ndio dhehebu atleast lina fuata mafundisho ya biblia kwa usahihi ukilinganisha na madhehebu mengine,

Wakati fulan tunakua tu tuna misimamo kwa sababu tumezaliwa kwenye madhehebu yetu tuna amua kushikilia hapo, lakin kama tukiamua kuchunguza biblia vzuri kwa msaada wa roho mtakatifu alafu tukalinganisha tunavyo fanya kwenye madhehebu yetu, wasabato wana high score,

Sio tu sabato angalia pia mafundisho mengine kama ubatizo, kunena kwa lugha, ibada za wafu, kuna madhehebu yameacha njia unaona kabisa kwa wazi, (ata kwa watu wasio waktristo wanaona kabisa hawa watu wanazingua) biblia imesema hivi wao wanafanya vile then wametafuta vifungu vichache na maelezo mengine mengi matupu(hayana ushahidi kwenye biblia) kuhalalisha wanayo yafanya.

Wasabato wana jitahidi kufuata kile biblia inafundisha kinacho warudishaga nyuma ni ku rise their head high kana kwamba sasa wana uhakika na mbingu, na ndo maana madhehebu mengine wanawachukia, wanajihesabia sana haki
Lakini hio n personal issue maana sio fundisho lao, ila kiujumla mafundisho yao yapo accurate sana kama tutafanyia reference kwa biblia kwa kukubali black ni black na white n white bila kujali wewe unaamini nini, maana end of the day iman imejengwa na mtazamo wa mtu binafsi sio lazima.
 
Ni kweli agano jipya ni agano bora na limejengwa juu ya kristo kama ndio pekeee kiini cha wokovu wetu, lakin haishii tu hapo kwasababu kukiri tu kwa mdomo na kuamini kwamba yesu ndio mwokozi wa maisha yako hakukupi wokovu maana biblia inasema ata mashetan pia wanaamin na kutetemeka (yakobo 2:19) ni lazima uthibitishe kwa matendo (yakobo 2:20) ndo lile fungu sasa yohana 14: 15 mkinipenda mtazishika amri zangu.
Hoja yangu ni kwamba neema haikupi uhuru wa kufanya unacho jisikia au unavyoona inafaa n lazima ufuate vilevile kama yesu alivyo tenda ama alivyo agiza kutenda. Ndio imani yetu inathibitika.
Yesu alibatizwa na maji mengi(mathayo 3;13-17) wewe umebatizwaje? Au utaanza kuleta maneno mengi biblia inasema kuna bwana mmoja imani mmoja na ubatizo mmoja(waefeso 4:5)
 
Hapo Yakobo anaongelea matendo ya imani ambayo yanatokana na Pendo na siyo matendo ya Sheria
Ndiyo maana wale unaona alitolea mfano wa yule Rahabu kahaba alihesabiwa haki die kwa imani tu yaani kwa kuwapa hifadhi wale wapelelezi na si kwa kushika sheria za wayahudi yaani za Musa
 
Back
Top Bottom