Yesu anasema "mathayo 5:19 Yeye HASIYE shika torati na kufundisha watu kuvunja torati na manabii ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa Mungu'"
Jitathimini unapoendelea kuvunja na kufundisha wengine kuvunja torati na manabii
Soma Daniel 7:17--22 & Ufunuo 13:15 Pembe ndogo ' itaadhimu kubadili sheria,
Sio Mungu Aliye badili sheria ikiwemo sabato hiyo ni Kazi ya Pembe ndogo
Kula, kuponya, Siku ya sabato sio dhambisoma vizuri nini nimeandika , punguza jaziba
Tuanzia Hapa::: Husihukumu watu kwa kunywa,....KANISANI kwako watu wanaruhusiwa kunywa pombe???Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??
Colossians 2:16-17
Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.
Nalikuwa katika Roho, SIKU YA BWANA ....(Ufunuo 1:10)
Swali:
1: je ikiwa manabii wanatambua kuwa ipo Siku ya BWANA, unapata wapo fungu la biblia linalosema Hakuna Siku maalumu ya ibada???
2: Kwenye bango la kanisa umeandika jumapili ni Siku ya ibada, Ulitumia vigezo vipi vya KIROHO kuifanya jumapili kuwa Siku ya ibada??
Tuanzia Hapa::: Husihukumu watu kwa kunywa,....KANISANI kwako watu wanaruhusiwa kunywa pombe???
Aliwaambia hivyo kwasababu alijua kwa hakika hakuna ambaye angeweza kuzishika na kuzitendaYesu anasema "mathayo 5:19 Yeye HASIYE shika torati na kufundisha watu kuvunja torati na manabii ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa Mungu'"
Jitathimini unapoendelea kuvunja na kufundisha wengine kuvunja torati na manabii
Soma Daniel 7:17--22 & Ufunuo 13:15 Pembe ndogo ' itaadhimu kubadili sheria,
Sio Mungu Aliye badili sheria ikiwemo sabato hiyo ni Kazi ya Pembe ndogo
Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??
Colossians 2:16-17
Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.
Wavaakobazi mnashida,Mnapinga maandisko ya mtume paulo ila kwenye vi hoja vyenu mshenzi mnayatumia maandishi ya mtume paulo,wewe jamaa acha unafiki na upotoshaji,baki kwenye uislam wako itapendeza zaidi.
Wewe unaye fundisha watu wasishike torati unapotosha watuAliwaambia hivyo kwasababu alijua kwa hakika hakuna ambaye angeweza kuzishika na kuzitenda
Kwasababu masharti ya zile amri zilivyokuwa ukikosa moja maana yake umekosa yote
Kutokana na Hilo fungu? Je waumini wako wanaruhusiwa kunywa pombe???? Je Hilo fungu linahusikaje na ibada na Amri za Mungu???Usikimbie Swali
Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??
Colossians 2:16-17
Usikimbie Swali
Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??
Colossians 2:16-17
Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.
Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.
Wewe ndio Huwezi kushikaAliwaambia hivyo kwasababu alijua kwa hakika hakuna ambaye angeweza kuzishika na kuzitenda
Kwasababu masharti ya zile amri zilivyokuwa ukikosa moja maana yake umekosa yote
Usikimbie Swali
Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??
Colossians 2:16-17
Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.
Umeanza kubishana na biblia???American Bible na NIV Bible zimeandika hivi
The Book of Revelation: Kitabu cha Ufunuo
"The author of the book calls himself John, who because of his Christian faith has been exiled to the rocky island of Patmos, a Roman penal colony. Although he never claims to be John the apostle, he was so identified by several of the early church Fathers, including Justin, Irenaeus, Clement of Alexandria, Terullian, Cyprian, and Hippolytus. This identification, however, was denied by other Fathers, including Denis of Alexandria, Eusebius of Caesarea, Cyril of Jerusalem, Gregory Nazianzen, and John Chrysostom. Indeed, vocabulary, grammar, and style make it doubtful that the book could have been put into its present form by the same persons responsible for the fourth gospel. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1373)"
"Four times the author identifies himself as John (1:1,4,9; 22:8).....In the third century, however, an African bishop named Dionysius compared the language, style and thought of the Apocalypse (Revelation) with that of the other writings of John and decided that the book could not been written by the apostle of John. He suggested that the author was a certain John the Presbyter, whose name appears elsewhere in ancient writings. Although many today follow Dionysius in his view of authorship, the external evidence seems overwhelmingly supportive of the traditional view. (From the NIV Bible Commentary [1], page 1922)"
Mwandishi hajulikani jee wewe utaamini tu kibubusa kuwa ni maneno ya Mungu hayo ??
Wavalishwa pampers mna mambo ,yaani mnakimbia hili swali hamtaki kujibu
Kwa hivyo huyu anayesema maneno haya humwamini ??
Colossians 2:16-17
Basi, mtu asiwahukumu ninyi kwa kile mlacho au kinywaji, au kwa habari ya sikukuu, na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, au sabato.
Google....... occult in pentecostal churchAmerican Bible na NIV Bible zimeandika hivi
The Book of Revelation: Kitabu cha Ufunuo
"The author of the book calls himself John, who because of his Christian faith has been exiled to the rocky island of Patmos, a Roman penal colony. Although he never claims to be John the apostle, he was so identified by several of the early church Fathers, including Justin, Irenaeus, Clement of Alexandria, Terullian, Cyprian, and Hippolytus. This identification, however, was denied by other Fathers, including Denis of Alexandria, Eusebius of Caesarea, Cyril of Jerusalem, Gregory Nazianzen, and John Chrysostom. Indeed, vocabulary, grammar, and style make it doubtful that the book could have been put into its present form by the same persons responsible for the fourth gospel. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1373)"
"Four times the author identifies himself as John (1:1,4,9; 22:8).....In the third century, however, an African bishop named Dionysius compared the language, style and thought of the Apocalypse (Revelation) with that of the other writings of John and decided that the book could not been written by the apostle of John. He suggested that the author was a certain John the Presbyter, whose name appears elsewhere in ancient writings. Although many today follow Dionysius in his view of authorship, the external evidence seems overwhelmingly supportive of the traditional view. (From the NIV Bible Commentary [1], page 1922)"
Mwandishi hajulikani jee wewe utaamini tu kibubusa kuwa ni maneno ya Mungu hayo ??
Sawa umesema unapotosha,Wewe unaye fundisha watu wasishike torati unapotosha watu
Ufunuo 12:6 Napa ndipo penye Subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu na Imani ya Yesu, Huwezi kuwa mtakatifu bila kutii amri za Mungu ikiwemo sabato
Hapo Yakobo anaongelea matendo ya imani ambayo yanatokana na Pendo na siyo matendo ya SheriaNi kweli agano jipya ni agano bora na limejengwa juu ya kristo kama ndio pekeee kiini cha wokovu wetu, lakin haishii tu hapo kwasababu kukiri tu kwa mdomo na kuamini kwamba yesu ndio mwokozi wa maisha yako hakukupi wokovu maana biblia inasema ata mashetan pia wanaamin na kutetemeka (yakobo 2:19) ni lazima uthibitishe kwa matendo (yakobo 2:20) ndo lile fungu sasa yohana 14: 15 mkinipenda mtazishika amri zangu.
Hoja yangu ni kwamba neema haikupi uhuru wa kufanya unacho jisikia au unavyoona inafaa n lazima ufuate vilevile kama yesu alivyo tenda ama alivyo agiza kutenda. Ndio imani yetu inathibitika.
Yesu alibatizwa na maji mengi(mathayo 3;13-17) wewe umebatizwaje? Au utaanza kuleta maneno mengi biblia inasema kuna bwana mmoja imani mmoja na ubatizo mmoja(waefeso 4:5)