China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

Heko sana,japo threat ya kitambo,vipi kuhusu kuagiza loosed cargo Kwa njia ya posts?
 
Inawezekana. Japo posta mizigo huchelewa sana, na ni kwa vitu vidogo vidogo. Kama ni vitu vikubwa au mzigo mkubwa, tumia wasafirishaji wa meli.

Mimi naulizia Ream paper, nitapata kwa bei gani kutoka china? gharama za usafirishaji na kodi vipi? Mwenye uzoefu anielekeze. Ahsante
 
Inawezekana. Japo posta mizigo huchelewa sana, na ni kwa vitu vidogo vidogo. Kama ni vitu vikubwa au mzigo mkubwa, tumia wasafirishaji wa meli.
Naomba nisaidie link za wasafirishaji wa meli
 
Unatafuta partner kutoka nje ya nchi? au unataka kuuza huduma/bidhaa zako ndani na nje ya nchi?
Basi, kutana na viongozi wa biashara wanaonadi biashara zao kupitia mtandao wa lenkeer.com.
Jiunge Bure sasa hii na upate nafasi ya kushida account VIP bure yenye thamani ya $200!
JIUNGE SASA NA USHINDE. https://www.lenkeer.com/register
 
mku tunashukulu sana kwa ushauli wako maana umetuelewesha kwa uzoefu mkubwa wa hali ya juu , me nilikuwa naomba msaada wa kupata au kufahamu kampuni ambayo inaweza kununua na kusafirisha bidhaa kutoka china mpka tanzania, maana kuna wengine hatuna ndugu , rafiki, wanaokaa china na je, hayo makampuni ya hayana wizi au utapeli wa aina yyte.natanguliza shukrani zangu za dhati mkuu.

asante🙏🙏,
 
Ninafahamu ABCs za hili zikiwemo shipping lines reliable kabisa. So ukipata muda tuwasiliane mkuu.
 
Mkuu nadhani ingekuwa vizuri unge share hizo info hapa kwa faida ya wote.Hutamsaidia yeye pekee bali wote wenye hitaji kama lake.
 
Nikitaka kuexport mazao ya jamii ya kunde kama choloko, Dengu
inatakiwa niwe na mtaji wangu tu ? Kwani siwezi kunegotiate na buyers akanipa feza nikamukusanyia
maana ukiwa na mtaji kidogo biashra ya export ni ngumu
 
mku tunashukulu sana kwa ushauli wako maana umetuelewesha kwa uzoefu mkubwa wa hali ya juu , me nilikuwa naomba msaada wa kupata au kufahamu kampuni ambayo inaweza kununua na kusafirisha bidhaa kutoka china mpka tanzania, maana kuna wengine hatuna ndugu , rafiki, wanaokaa china na je, hayo makampuni ya hayana wizi au utapeli wa aina yyte.natanguliza shukrani zangu za dhati mkuu.

asante[emoji120][emoji120],

Kuna kampuni inaitwa silent ocean ni ya mtanzania ipo vizuri sana wacheki Instagram kwa jina Hilo
 
Moja kati ya nyuzi bora kabisa kuwahi kutokea hapa JF Mheshimiwa Kipilipili hongera sana kaka. Kuna mtu namjua ali print hii nyuzi ikawa ndio Direction yake alivyosafiri kwa mara ya kwanza China, kwa kweli umemsaidia sana inagawa kuna baadhi ya mambo yamebadilika sana kutokana na sheria za TRA hapa TZ.
 
Hongera mtoa mada. Mambo yote uliyoandika na kuchangiwa na wana jamvi yamenipa uelewa wa hali ya juu..
 
Aina 50 ya ONLINE BUSINESSES Platforms Unazoweza Anzisha TZ na Uka-Dominate Soko
 
Naomba kuuliza Je kwa sisi tusio na mitaji ila tunahitaji kufanya kazi (nguvu kazi/wabeba box) China tunaweza kuishi?
 
mku naomba kufahamu , ni kampuni gani inayohusika kununua na kusafirisha mzigo pasipokuwa na udanganyifu wowote?
 
Back
Top Bottom