mafimboo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 2,415
- 977
Mkuu labda tuanze na wewe, umeshatengeneza kipi labda?umewahi kutengeneza japo SINDANO tu ya kushonea nguo ili watanzania wenzio tutumie?....
MY TAKE: usituharibie uzi, kama huu ni "upuuzi" basi wewe pita kimya tu. Tuache tujadili "upuuzi" wetu. Wewe baki na ujanja wako.
pole kwa kuparau Uzi wenu.nachukia sana wachina kwa kututengenezea bidhaa feki nimenunua spea ya gari wakati nafunga kwa mkono ikaunjika.chuma kinavunjwa na mkono.napita mkuu