China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

pole kwa kuparau Uzi wenu.nachukia sana wachina kwa kututengenezea bidhaa feki nimenunua spea ya gari wakati nafunga kwa mkono ikaunjika.chuma kinavunjwa na mkono.napita mkuu
 
pole kwa kuparau Uzi wenu.nachukia sana wachina kwa kututengenezea bidhaa feki nimenunua spea ya gari wakati nafunga kwa mkono ikaunjika.chuma kinavunjwa na mkono.napita mkuu

Wachina wanatengeneza bidhaa kulingana na mfuko wako. Ukipenda vya rahisi basi ujiandae na maumivu ya bidhaa zilizo chini ya kiwango. Genuine products zipo mkuu ila customers wengi wa Tanzania wanapenda vitu vya bei rahisi na ndio maana wafanyabiashara wanaleta bidhaa za bei ya chini, wakileta vya bei ghali na genuine hawauzi. Kwa hiyo usiwalaumu watengenezaji ila laumu customer behaviour ya watanzania.
 
Inabidi tz tu-ban fake products from China.
 
Kwa pesa ya kibongo gharama ya nauli ya kwenda na kurudi china ni kiasi gani?vipi kuhusu visa na gharama ya usafirishaji kwa njia ya maji? gharama ya ushuru kabla hujasafirisha mzigo na gharama ya ushurub aada ya mzigo kutua nchini.
 
Mkuu,
1.Gharama ya nauli: tafadhali pita kwenye website za mashirika ya ndege link zimewekwa hapo juu
2.kuhusu visa pita:
tz.china-embassy.org/eng/lsfw/
3.Kuhusu ushuru kwa njia ya meli. Tafadhali pitia website za makampuni ya usafirishaji hapo juu kwa maelezo zaidi. Pia soma post za nyuma swali lako limejibiwa
 
Lakini mkuu wewe unaonekana una uzoefu na hizo biashara za ng'ambo, sasa wastani wa mtaji unaofaa na gharama ya usafiri na usumbufu wa hapa na pale unakadilia ni kiasi gani cha pesa ya madafu?
 
Uzi wa huyu gt unawaudhi wafanyabiashara wengi walokuwa wanaenda China maana unawaamusha wafanyabiashara wengne. Katika biashara faida kubwa hutokana na ignorance ya population. Wajanja mkiwa wengi faida inakuwa kiduchu.

Hahaha....umenichekesha sana mkuu, kuna kaukweli kidogo katika usemacho ,japokuwa hata wakiongezeka wafanyabishara wanaokwenda China, bado population ya watanzania kama SOKO ni kubwa na bado wakilitea bidhaa watauza. Watanzania wote hawawezi kwenda china kila mmoja kununua atakacho.
 
Mkuu nikiwa nahtaji Mtambo wa kuyayushia chuma kwa bei nafuu naweza pataje? inayoweza kuyeyusha kuanzia kilo100 na kuendelea,nipe mwongozo mkuu
 
Mkuu vipi machine au printa za kusafisha picha. Ambazo ni refarbished zinapatikana mji gani. Thanx in advance
 
mkuu nje ya simu unauza nini tena
 
Naona mkuu ww ni miongon mwa watu muhimu sana humu jf ambao hampaswi kukosa kwani mnamchango mkubwa sana ktk maendeleo ya watz,
 
Hahahahaaa, Kasheria kametufunga gavana ee??
Basi sawa.
 
Uzi wa huyu gt unawaudhi wafanyabiashara wengi walokuwa wanaenda China maana unawaamusha wafanyabiashara wengne. Katika biashara faida kubwa hutokana na ignorance ya population. Wajanja mkiwa wengi faida inakuwa kiduchu.
Kwahiyo nini suluhusho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…