China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

Nomba unijuze ni kampuni gani ya usafirishaji naweza itumia kutuma mzigo Tanzania ukafika salama bila usumbufu mi niko Xinyang china mwenye taarifa yoyote anijuze nomba anisaidie.
 
vipi fursa za bidhaa za ICT wapi zinapatikana kwa bei nzuri na ni wakati gani unafaa kwenda kuzinunua?
 
Nomba unijuze ni kampuni gani ya usafirishaji naweza itumia kutuma mzigo Tanzania ukafika salama bila usumbufu mi niko Xinyang china mwenye taarifa yoyote anijuze nomba anisaidie.
mkuu, juu hapo nimeweka details za THE LAND na pia SILENT OCEAN, wasiliana nao
 
vipi fursa za bidhaa za ICT wapi zinapatikana kwa bei nzuri na ni wakati gani unafaa kwenda kuzinunua?
mkuu, kwa bidhaa za ICT hazitegemei season, kwa hiyo unaweza kwenda muda wowote. kuhusu bei nzuri ,ningeomba kwanza kujua unataka kuwauzia watu wa aina gani au ni kwa matumizi yako binafsi? kama ni kwa matumizi binafsi au ya wateja wa kipato kikubwa nashauri nunua Genuine products katika mji wa Shenzhen. kama ni kwa wateja wa kipato cha chini kabisa basi hapo itakulazimu unununue bidhaa za bei rahisi ambazo nyingi si genuine na zinapatikana kwa urahisi mji wa Guanzhou(huu ni ukweli mchungu japo wengi wanaweza kusema kama nakushajiisha uingize bishaa hafifu nchini, ila kiukweli bidhaa genuine haziuziki kwa sababu wateja purchasing power yao ni ndogo).
 
Kipilipi biashara ya plastic chakabu au makopo ya maji huko China wanapeleka eneo gani?nimechoka kuwahuzia huku wanabana bei sana .
 
Mkuu Kipilipili na wengine mliomo humu wenye uzoefu wa ku-import products from China, naomba mnijuze ni namna gani naweza ku-import hard and soft drinks from China to Tanzania maana naona walio wengi humu wapo interested na nguo, machines, softwares N.K miye nataka drinks. Nijuze ni mji gani unakuwa na viwanda beverages na drinks kwamba inaweza kuwa rahisi kuagiza kutoka huko kuleta Bongo.
Natanguliza shukurani.
 
Naombeni kujua majina na specifications za mashine za kutengenezea material ya plastic za kukata plastic ngumu pamoja na za kubyayusha nailoniView attachment 328283View attachment 328284 mfano wa hizo kwa anae jua tafadhali anijulishe 0652123424
Post buying request Alibaba.com mkuu weka na specification zote unazotaka. Suppliers watakutafuta wenyewe tena for free.
 
Back
Top Bottom