Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu, juu hapo nimeweka details za THE LAND na pia SILENT OCEAN, wasiliana naoNomba unijuze ni kampuni gani ya usafirishaji naweza itumia kutuma mzigo Tanzania ukafika salama bila usumbufu mi niko Xinyang china mwenye taarifa yoyote anijuze nomba anisaidie.
mkuu, kwa bidhaa za ICT hazitegemei season, kwa hiyo unaweza kwenda muda wowote. kuhusu bei nzuri ,ningeomba kwanza kujua unataka kuwauzia watu wa aina gani au ni kwa matumizi yako binafsi? kama ni kwa matumizi binafsi au ya wateja wa kipato kikubwa nashauri nunua Genuine products katika mji wa Shenzhen. kama ni kwa wateja wa kipato cha chini kabisa basi hapo itakulazimu unununue bidhaa za bei rahisi ambazo nyingi si genuine na zinapatikana kwa urahisi mji wa Guanzhou(huu ni ukweli mchungu japo wengi wanaweza kusema kama nakushajiisha uingize bishaa hafifu nchini, ila kiukweli bidhaa genuine haziuziki kwa sababu wateja purchasing power yao ni ndogo).vipi fursa za bidhaa za ICT wapi zinapatikana kwa bei nzuri na ni wakati gani unafaa kwenda kuzinunua?
Karibu tena!shukrani zikufikie Kipilipili
Aamin kwetu soteKipilipili u are the best Allah akubariki.
karibu tenamkuu tunashukuru aisee umetufumbua macho
Duh
Huu uzi nimeupata muda muafaka ... Sasa ngoja nianze utafiti
Ukipata jibu utujuze wengine tunaitaji jibu kama la kwako mkuuNaombeni kujua majina na specifications za mashine za kutengenezea material ya plastic za kukata plastic ngumu pamoja na za kubyayusha nailoniView attachment 328283View attachment 328284 mfano wa hizo kwa anae jua tafadhali anijulishe 0652123424
pembe za ndovuSwali zuri hill. Je wachina hupenda bidhaa gani kutoka kwetu ?
Post buying request Alibaba.com mkuu weka na specification zote unazotaka. Suppliers watakutafuta wenyewe tena for free.Naombeni kujua majina na specifications za mashine za kutengenezea material ya plastic za kukata plastic ngumu pamoja na za kubyayusha nailoniView attachment 328283View attachment 328284 mfano wa hizo kwa anae jua tafadhali anijulishe 0652123424