Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
China na marekani kwenye suala la technology ni wanategemeana,Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China. Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.
Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.
Najua ni watu wachache sana watanielewa nilicho andika
Lakini ngoja nikufungue akili kile nilicho lenga.
Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.
Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft.
Bro, mama Mwajuma analalamika ume park vibaya baiskeli yako ya kutembezea madafu., anasema imezuia jiko lake la kuchomea maandaziNi swala la muda tu. Mchina sio mvivu
Tik Tok ya mchina tu inawatesa ma giant wakina facebook na instagram
Unaitumia hiyo Baidu na hiyo Microsoft ya wachina? Nitajie mataifa yanayo tumia hiyo Baidu ya wachina na Microsoft ya wachina hapa duniani?China na marekani kwenye suala la technology ni wanategemeana,
Japo sio popular sana ila mchina ana search engine yake kule i think wanaiita baidu, Microsoft kule ipo yao wenyewe ya huawei so wewe ndo mchovu ila sio mchina.
Hapa umenoaMchina anaua kwenye manufacturing
US anaua kwenye software
Wanahitajiana mno
Haiwezi kuwatesa wakiamua kuifungia kwenye Google play services nani ataweza kuitumia hiyo Tiktok?Ni swala la muda tu. Mchina sio mvivu
Tik Tok ya mchina tu inawatesa ma giant wakina facebook na instagram
Nipo pamoja nawewe mkuu, upo sawa kabisa kwenye manufacturing mchina anavipiga vita mwendo anaumaliza ila kwenye ile mada niliyo zungumzia hapo hatapaweza.Sasa ndugu, unaamini hapa TZ kuna viwanda, na bidhaa zake haziuzwi Tanzania?
Je, unajua kwa nini makampuni makubwa yapo strict kwenye sheria!? Bidhaa nyingi zinazouzwa zimetengenezwa kwa mkataba. Pili, utakuta mfano simu, waliounda vifaa ni tofauti, na anaeunganisha ni mwingine. Hivyo,ukijichanganya ukauza tofauti na makubaliano, una kesi ya kujibu. Kina Nokia na Blackberry zilikufaje!?
Mchina unaempinga, ni kwa sababu ya hizi Tecno na Itel unazoziona. Bidhaa orijino za mchina, zinauzwa kwa wenye hela. Laptop ya mchina si kila mtu anaweza kumudu bei yake. Sijafika, ila madukani kwao nasikia ukienda kutafuta mzigo, lazima wajue unaenda wapi. Pili, bidhaa zao zinaendana na bei yako. Mbongo anachukuwa mzigo kwa dola 10, anauza dola 100, mzigo unaenda, unategemea nini!?
China wana software zao pia,Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.
Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.
Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.
Najua ni watu wachache sana watanielewa nilicho andika
Lakini ngoja nikufungue akili kile nilicho lenga.
Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.
Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft.
Haiwezi kuwatesa wakiamua kuifungia kwenye Google play services nani ataweza kuitumia hiyo Tiktok?
Haiwezi kuwatesa wakiamua kuifungia kwenye Google play services nani ataweza kuitumia hiyo Ti
Haiwezi kuwatesa wakiamua kuifungia kwenye Google play services nani ataweza kuitumia hiyo Tiktok?
ngoja nilifanyie kazi hiliYaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.
Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.
Duh... Si KWELI. Kuna simu ya Kichina ilipigwa marufuku USA lakini hadi leo inadunda. Huawei TechnologiesYaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.
Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.
Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.
Najua ni watu wachache sana watanielewa nilicho andika
Lakini ngoja nikufungue akili kile nilicho lenga.
Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.
Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft.
Yaani naachaje kutumia kitu ninachoweza kukitune mwenyewe na wala hakuna kununua au hakuna copy feki za mitandaoni zenye virus ya kutoshaHakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft.
Nini hiki ?Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.
Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.
Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.
Najua ni watu wachache sana watanielewa nilicho andika
Lakini ngoja nikufungue akili kile nilicho lenga.
Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.
Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft.
Mkuu mbona umekuja kasi sana.Nini hiki ?
Maadui wakuu wa taifa ni ujinga,maradhi,umasikini.
Nakazia ujinga