China hana ubavu wowote mbele ya Marekani makampuni yote ya simu na computer yapo chini ya Marekani

Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.

Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.

Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.

Najua ni watu wachache sana watanielewa nilicho andika

Lakini ngoja nikufungue akili kile nilicho lenga.

Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.

Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft.
Is it?

JESUS can save U!
 
Is it?

JESUS can save U!
This time naona hujafanya utafiti wa kutosha;
Serikali ya china wana Computer operating system Original from China inaitwa "Kylin" na hii inawasaidia kuepuka udukuzi wa kimtandao. Inatumika kwa wingi inchini humo na huwa wanai market kama "OpenKylin"
Hii ndio operating system inayotumika kwa komputer karibia zote za Serikali lakini pia inatumika kwa wingi kwa raia wake japo zipo pia operating system nyingine orginal from china ambazo sio maarufu

Kuhusu Simu; China pia ina operating System orginal from China tena ni nzuri sana ufanyaji kazi wake ni somewhere btn Androd and iOS ambayo ni vigumu sana kuidukua
Inaitwa "Harmony". Nakumbuka mwishoni mwa mwaka jana walitoa latest version yake inaitwa "HarmonyNEXT" hii ni habari nyingine kabisa....

Sijui kama unafaham kuwa China wanazalisha Internet yao wenyewe.....
Lakini pia; Kuna vitu vingi sana vya technologia vipo within china kwa sababu, zaidi ya robo ya watu wa Dunia wapo kule hivyo hawatumii nguvu kubwa kutangaza huku nje....
CHINA IPO MBALI SANA NA NDIO INAWANYIMA USINGIZI WAMAREKANI.....
Hongera kwa kueleza vizuri, niliamua kuiweka mada kama ilivyo kwa makusudi kabisa.

Lakini ngoja nikwambie, simu sio vile vifaa vya nje au jina la simu. Simu ni operating system iliyopo ndani. Simu bila operating system in sawa na kopo. Hali kadhalika computer sio vile vifaa vya nje bali ni operating system iliyopo ndani. Computer bila operating system ni sawa na kopo. Simu zinazo support mfumo wa Google play service ndizo zinazo uzika kwa haraka kwenye soko la kimataifa. Na computer zinazo support mfumo wa Microsoft ndizo zinazo uzika haraka kwenye soko la kimatifa. Huawei wana simu nzuri lakini hazi support Google play service haziwezi kuuzika sana kwenye soko la nje ya China.

Ni kweli kabisa China ina mifumo yake mbadala kama ulivyo eleza na wanaitumia huko China. Lakini kwa biashara ya kimataifa ili makampuni yake ya teknolojia yafanye vizuri kwenye soko la kimataifa, bado yanategemea Google na Microsoft kwa kiwango fulani.

Google Play Store ndio jukwaa kuu la kusambaza programu kwa watumiaji wa Android duniani. Mfano ingawa Huawei imekuja na AppGallery, bado haina idadi kubwa ya programu kama Play Store.​

Huduma kama Google Maps, Gmail, YouTube, na Google Search ni muhimu kwa watumiaji wengi nje ya China. Matokeo yake, simu za Huawei na Xiaomi zinazouzwa nje ya China mara nyingi zinahitajika kuwa na huduma za Google ili kuwavutia wateja.

Windows ndiyo mfumo wa uendeshaji unaotumiwa na 70% ya kompyuta duniani. Microsoft Office ni programu muhimu kwa wafanyabiashara, wanafunzi, na mashirika duniani kote. Hivyo ingawa China ina mifumo mbadala kama NeoKylin, bado haina ushawishi mkubwa nje ya China.​

Lakini sio hivyo tu, seva nyingi zinazoendesha huduma kubwa za kimataifa zinategemea teknolojia za Marekani. Hata kampuni za Kichina, kama TikTok, zimejaribu kuweka data nje ya China ili kuendana na mahitaji ya soko la kimataifa.

Hivyo simu na computer zinazo milikiwa na makamapuni ya kichina zenye mifumo kama HarmonyOS na AppGallery na NeoKylin ili ziweze kushindana na simu na computer zenye mifumo ya Google Play Store na Microsoft Windows, hapo inawahitaji makampuni ya kichina yatengeneze programu itakayo ungwa mkono katika masoko yote ya kimatiafa. Mbali na hivyo lazima waende wakapige magoti kwa Marekani kutumia mifumo yao ya Google play service, apple store, na Microsoft.

Na hiyo sio kazi ya kitoto kwenye biashara Mabadiliko ya tabia za watumiaji huchukua muda, na wengi tayari wamezoea Google, Microsoft na apple.

Hivyo China inaweza kuishi bila Google na Microsoft ndani ya mipaka yake, lakini ili kushindana kimataifa, bado inahitaji kushirikiana na wamarekani. Ikiwa China itafanikiwa kufanya mifumo yake mbadala iwe ya kimataifa, basi inaweza kupunguza utegemezi wake zaidi kwa teknolojia za Marekani. Kwa sasa, ushindani huu unaendelea, lakini Google na Microsoft bado zina ushawishi mkubwa duniani.​

NOTE:
Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.

Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.

Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.

Najua ni watu wachache sana watanielewa nilicho andika

Lakini ngoja nikufungue akili kile nilicho lenga.

Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.

Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft
.
 
Mtoa mada unajua kweli unachokiongelea?

Umeongelea Google, Google Playstore na Microsoft. Unaelewa hivyo ni vitu gani na vinafanya nini kwenye dunia ya ICT?

Umefikiaje hiyo conclusion?

Lakini ngoja nikwambie, simu sio vile vifaa vya nje au jina la simu. Simu ni operating system iliyopo ndani. Simu bila operating system in sawa na kopo. Hali kadhalika computer sio vile vifaa vya nje bali ni operating system iliyopo ndani. Computer bila operating system ni sawa na kopo. Simu zinazo support mfumo wa Google play service ndizo zinazo uzika kwa haraka kwenye soko la kimataifa. Na computer zinazo support mfumo wa Microsoft ndizo zinazo uzika haraka kwenye soko la kimataifa. Huawei wana simu nzuri lakini hazi support Google play service haziwezi kuuzika sana kwenye soko la nje ya China.

Hakuna hoja unayo andika zaidi ya upuuzi wako na upuuzi sio tusi

Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani.
Hii ni pumba, google ina uhusiano gani na computer na simu ili zifanye kazi?
 
Hii ni pumba, google ina uhusiano gani ma computer na simu ili zifanye kazi?

Kwa hiyo kwa akili yako ndogo unajua kila kompyuta duniani inatumia Microsoft windows?

Hivi unajua kuwa mashirika na kampuni zilizo chini ya serikali ya China hazitumii Microsoft Windows?

Nikupe mfano mwaka jana kulitokea mvurugiko au outage kwa wanaotumia Microsoft Windows.

Huduma nyingi kama za kibenki, usafiri wa anga n.k zilisimama kwa muda sehemu kubwa ya dunia kutia ndani Marekani

Upande wa China haikuwa hivyo kwa sababu huduma nyingi hasa katika mashirika ya serikali ziliachana na Microsoft Windows na kutumia China-made Operating System (OS) iitwayo NeoKylin.

Uyo mchina unayemmwagia sifa hapa kama angekuwa na hizo akili kama unavyomnadi basi ktk History tungemsoma. Mchina mpaka miaka ya 1960 alikuwa wa kawaida tu wakati miaka hiyo ya 60 Ulaya ilikuwa mbali sana.
Hujui kama hiyo historia kuna watu walikaa wakapanga kitu unachopaswa kusoma ili kulinda interest zao!? Jiongeze
 
Kwa hiyo kwa akili yako ndogo Unajua kila kompyuta duniani inatumia Microsoft windows?

Hivi unajua kuwa mashirika na kampuni zilizo chini ya serikali ya China hazitumii Microsoft windows?

Nikupe mfano mwaka jana kulitokea mvurugiko au outage kwa wanaotumia Microsoft Windows.

Huduma nyingi kama za kibenki, usafiri wa anga n.k zilisimama kwa muda sehemu kubwa ya dunia kutia ndani Marekani

Upande wa China haikuwa hivyo kwa sababu huduma nyingi hasa katika mashirika ya serikali ziliachana na Microsoft Windows na kutumia China-made Operating System (OS) iitwayo NeoKylin.

Bila shaka ni Crowdsrike na badala ya hii incident naona kuna nchi zilizo serious zishatafuta njia nyingine mbadala.
 
Uyo mchina unayemmwagia sifa hapa kama angekuwa na hizo akili kama unavyomnadi basi ktk History tungemsoma. Mchina mpaka miaka ya 1960 alikuwa wa kawaida tu wakati miaka hiyo ya 60 Ulaya ilikuwa mbali sana.
Mbali kwenye nini na tunaongelea nini ? Kama ni mbali kwa kutumia wizi ulaghai, colonialism na biashara harama za ajabu kama mihadarati hapo sawa (That was Great Britain na kuwa kwake empire) ila ukiongelea uvumbuzi kinachoongelewa hapa kama unataka kumsoma ni rahisi sana ingia google.... vitu kama printing, karatasi, gunpowder na compass vilikuwa vinatumika huko China since way back, kina Confucius na Sun Tzu hao sio Characters wa kwenye Bruce Lee Movie bali ni Thinkers ambao scholars wamekuwa wakiwajadiri

Bila shaka ni Crowdsrike na badala ya hii incident naona kuna nchi zilizo serious zishatafuta njia nyingine mbadala.
Yeah CrowdStrike, wakati programu yao ya Falcon Sensor inayotumiwa kwenye Microsoft Windows ilipo-corrupt wakati wa ku-update Microsoft Windows
 
Ni vile tu mleta uzi sio mfuatiliaji

Vita ya kiuchumi na kiteknolojia iliyoanzishwa na Marekani dhidi ya China ni jibu tosha kuwa China kwenye teknolojia ni habari nyingine. Ndio maana Marekani anahaha kumfanyia figisu Mchina

Hata hao Wamarekani wenyewe wanakiri kuwa kwa sasa China kwenye Sci-Tech innovation yuko vizuri sana

By the way hizi mambo zimekuzidi uelewa na ufahamu, wenye muda watakuelewesha vizuri zaidi
 
Hongera kwa kueleza vizuri, niliamua kuiweka mada kama ilivyo kwa makusudi kabisa.

Lakini ngoja nikwambie, simu sio vile vifaa vya nje au jina la simu. Simu ni operating system iliyopo ndani. Simu bila operating system in sawa na kopo. Hali kadhalika computer sio vile vifaa vya nje bali ni operating system iliyopo ndani. Computer bila operating system ni sawa na kopo. Simu zinazo support mfumo wa Google play service ndizo zinazo uzika kwa haraka kwenye soko la kimataifa. Na computer zinazo support mfumo wa Microsoft ndizo zinazo uzika haraka kwenye soko la kimataifa. Huawei wana simu nzuri lakini hazi support Google play service haziwezi kuuzika sana kwenye soko la nje ya China.

Ni kweli kabisa China ina mifumo yake mbadala kama ulivyo eleza na wanaitumia huko China. Lakini kwa biashara ya kimataifa ili makampuni yake ya teknolojia yafanye vizuri kwenye soko la kimataifa, bado yanategemea Google na Microsoft kwa kiwango fulani.

Google Play Store ndio jukwaa kuu la kusambaza programu kwa watumiaji wa Android duniani. Mfano ingawa Huawei imekuja na AppGallery, bado haina idadi kubwa ya programu kama Play Store.​

Huduma kama Google Maps, Gmail, YouTube, na Google Search ni muhimu kwa watumiaji wengi nje ya China. Matokeo yake, simu za Huawei na Xiaomi zinazouzwa nje ya China mara nyingi zinahitajika kuwa na huduma za Google ili kuwavutia wateja.

Windows ndiyo mfumo wa uendeshaji unaotumiwa na 70% ya kompyuta duniani. Microsoft Office ni programu muhimu kwa wafanyabiashara, wanafunzi, na mashirika duniani kote. Hivyo ingawa China ina mifumo mbadala kama NeoKylin, bado haina ushawishi mkubwa nje ya China.​

Lakini sio hivyo tu, seva nyingi zinazoendesha huduma kubwa za kimataifa zinategemea teknolojia za Marekani. Hata kampuni za Kichina, kama TikTok, zimejaribu kuweka data nje ya China ili kuendana na mahitaji ya soko la kimataifa.

Hivyo simu na computer zinazo milikiwa na makamapuni ya kichina zenye mifumo kama HarmonyOS na AppGallery na NeoKylin ili ziweze kushindana na simu na computer zenye mifumo ya Google Play Store na Microsoft Windows, hapo inawahitaji makampuni ya kichina yatengeneze programu itakayo ungwa mkono katika masoko yote ya kimatiafa. Mbali na hivyo lazima waende wakapige magoti kwa Marekani kutumia mifumo yao ya Google play service, apple store, na Microsoft.

Na hiyo sio kazi ya kitoto kwenye biashara Mabadiliko ya tabia za watumiaji huchukua muda, na wengi tayari wamezoea Google, Microsoft na apple.

Hivyo China inaweza kuishi bila Google na Microsoft ndani ya mipaka yake, lakini ili kushindana kimataifa, bado inahitaji kushirikiana na wamarekani. Ikiwa China itafanikiwa kufanya mifumo yake mbadala iwe ya kimataifa, basi inaweza kupunguza utegemezi wake zaidi kwa teknolojia za Marekani. Kwa sasa, ushindani huu unaendelea, lakini Google na Microsoft bado zina ushawishi mkubwa duniani.​

NOTE:
Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.

Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.

Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.

Najua ni watu wachache sana watanielewa nilicho andika

Lakini ngoja nikufungue akili kile nilicho lenga.

Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.

Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft
.
Unasifa,,,,,
 
Umeandika mambo mengi lakini hakuna la maana, unaposema "hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft", mimi mwenyewe nina miaka zaidi ya 15 situmii Microsoft.

Hizi ni brand tu, kuna alternatives nyingi duniani. Google na Microsoft ni sehemu tu ya Ecosystem, sio lazima vitumike
 
Back
Top Bottom