Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
Unaitumia hiyo simu??Duh... Si KWELI. Kuna simu ya Kichina ilipigwa marufuku USA lakini hadi leo inadunda. Huawei Technologies
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaitumia hiyo simu??Duh... Si KWELI. Kuna simu ya Kichina ilipigwa marufuku USA lakini hadi leo inadunda. Huawei Technologies
Asilimia kubwa watu wanatumia Microsoft bossYaani naachaje kutumia kitu ninachoweza kukitune mwenyewe na wala hakuna kununua au hakuna copy feki za mitandaoni zenye virus ya kutosha
View attachment 3218220
Mimi nilisha maliza mada nzima. Na nimepunguza code ili wasio elewa wazidi kuto elewa na wanao elewa wazidi kuelewa zaidi.
Umekula lakini?Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.
Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.
Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.
Najua ni watu wachache sana watanielewa nilicho andika
Lakini ngoja nikufungue akili kile nilicho lenga.
Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.
Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft.
Changia mada boss tupo seriouslyUmekula lakini?
Mkuu hii ni OS gani?Yaani naachaje kutumia kitu ninachoweza kukitune mwenyewe na wala hakuna kununua au hakuna copy feki za mitandaoni zenye virus ya kutosha
View attachment 3218220
Ndio ninayoUnaitumia hiyo simu??
Deepseek AI hebu itafute hii, sasa hivi US vichwa vinawauma.Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.
Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.
Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.
Najua ni watu wachache sana watanielewa nilicho andika
Lakini ngoja nikufungue akili kile nilicho lenga.
Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.
Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft.
Wabongo exposure ni sifuri anaju play store ni universal na kuwa kila nchi inatumia play store na microsoft mtu wa aina hiyo lazima amuona usa kama mungu hivi maana hana alijualoChina wana software zao pia,
Kwenye simu Kuna Harmony os ya Huawei na Computer wanatumia Linux, wana Distro zao red os na Kylin/Open Kylin.
Pia China na Asia nchi nyingi tu hawatumii playstore, Hata kabla ya vikwazo ni theluthi mbili tu ya simu za Android zilikua na playstore, kuna watu wengi tu wanatumia simu bila playstore.
Na hata Computer kuna watu wengi tu wanatumia bila Microsoft, kuna Macbook, Chromebook na Computer nyingi za Linux. Siku hizi valve wana Steam os na Distro zinazoshabihiana kama Bazzite zinafanya vizuri sana hata layman anatumia Linux bila tatizo.
China ingekuwa Tech Giant tungeamini angekuwa wa kwanza kuleta hizi AI chating ...badala yake tumeona wameanza US na Chat GPT, Google Gemini, Grok AI, Meta AI.. kisha na yeye baadae kuja na hiyo DeepSeek .. km siyo ku-copy ni nini ?Deepseek AI hebu itafute hii, sasa hivi US vichwa vinawauma.
Sawa wao sio wa kwanza ila kilicho washangaza ni Deepseek ambayo imetumia USD 5.6m na inauwezo mkubwa sawa na za kwao na mpaka sasa imeivurunga industry ya maswala ya AI wamepoteza zaidi ya USD Trilioni 1 (Nazani unaijua Trilioni na tena USD).Hata Chips imetumia chip za kwaida ambazo uwezo wake sio sawa na za Chati GPT.China ingekuwa Tech Giant tungeamini angekuwa wa kwanza kuleta hizi AI chating ...badala yake tumeona wameanza US na Chat GPT, Google Gemini, Grok AI, Meta AI.. kisha na yeye baadae kuja na hiyo DeepSeek .. km siyo ku-copy ni nini ?
hebu uwe unafatilia vitu kabla ya kuja kuandika humu, mgunduzi wa AI ni muhindi. Marekani anaishi Tu.China ingekuwa Tech Giant tungeamini angekuwa wa kwanza kuleta hizi AI chating ...badala yake tumeona wameanza US na Chat GPT, Google Gemini, Grok AI, Meta AI.. kisha na yeye baadae kuja na hiyo DeepSeek .. km siyo ku-copy ni nini ?
Hebu nitajie huyo Mhindi aliyegundua AI Chating au unipe link.. maana sihitaji kulishana matangopori..hebu uwe unafatilia vitu kabla ya kuja kuandika humu, mgunduzi wa AI ni muhindi. Marekani anaishi Tu.
LinuxMkuu hii ni OS gani?
Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.
Kila siku tunasema humu ndani, Mchina ni muendelezaji wa kile ambacho mzungu kaanzisha. Kufananisha hawa watu ni makosa makubwa sana.China ingekuwa Tech Giant tungeamini angekuwa wa kwanza kuleta hizi AI chating ...badala yake tumeona wameanza US na Chat GPT, Google Gemini, Grok AI, Meta AI.. kisha na yeye baadae kuja na hiyo DeepSeek .. km siyo ku-copy ni nini ?
Mtafute MTU anaitwa Taj reddyHebu nitajie huyo Mhindi aliyegundua AI Chating au unipe link.. maana sihitaji kulishana matangopori..
Nadhani mada za hivi zingekuwa zinakwenda ChitChat na sio sehemu ambazo watu wanaweza kuongea issue za maana.., Unajua Linux ?!!!!; "With World without Fences and Windows who needs Gates ?Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.
Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft.
Hivi wewe unaijua China au unaisikia ?!!!; Unaongelea Mzungu ? Hata unajua Civilization ilianzia wapi ? Unaongelea Taifa changa la juzi unalinganisha na Taifa lililokuwepo tangia ancient times ? Wakati watu wanajisaidia barabarani kuna watu walikuwa wanajenga / wamejenga the great wall of China...Kila siku tunasema humu ndani, Mchina ni muendelezaji wa kile ambacho mzungu kaanzisha. Kufananisha hawa watu ni makosa makubwa sana.
Tukianza hapa kutaja vitu ambavyo vimeanzishwa na US hapatatosha.