Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Kwanini wanaifungia ikiwa wanaamini katika Fair competition?Haiwezi kuwatesa wakiamua kuifungia kwenye Google play services nani ataweza kuitumia hiyo Tiktok?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wanaifungia ikiwa wanaamini katika Fair competition?Haiwezi kuwatesa wakiamua kuifungia kwenye Google play services nani ataweza kuitumia hiyo Tiktok?
Mbona kupata app zipo njia nyingi zaidi ya google play..kwenye simu yangu nina googleplay na huawei app galleryHaiwezi kuwatesa wakiamua kuifungia kwenye Google play services nani ataweza kuitumia hiyo Tiktok?
Nimekwambia nipe link unanitajia mtu ambaye kwenye result za Google hahusiani na unachokitaja ? Wewe unafahamu mtu anaitwa Sam Altman?Mtafute MTU anaitwa Taj reddy
Hata kabla ya ujio wa Android kulikuwa na Apps store nyingi tu km vile Blackberry apps store, Ovi store na Nokia store kwenye Symbian osMbona kupata app zipo njia nyingi zaidi ya google play..kwenye simu yangu nina googleplay na huawei app gallery
Huawei inatumia Google?Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.
Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.
Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.
Najua ni watu wachache sana watanielewa nilicho andika
Lakini ngoja nikufungue akili kile nilicho lenga.
Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.
Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft.
Unaitumia hiyo Baidu na hiyo Microsoft ya wachina? Nitajie mataifa yanayo tumia hiyo Baidu ya wachina na Microsoft ya wachina hapa duniani?
Hebu mwambie huyo jamaa hajui kitu anakuja kuandika utumboChina wana software zao pia,
Kwenye simu Kuna Harmony os ya Huawei na Computer wanatumia Linux, wana Distro zao red os na Kylin/Open Kylin.
Pia China na Asia nchi nyingi tu hawatumii playstore, Hata kabla ya vikwazo ni theluthi mbili tu ya simu za Android zilikua na playstore, kuna watu wengi tu wanatumia simu bila playstore.
Na hata Computer kuna watu wengi tu wanatumia bila Microsoft, kuna Macbook, Chromebook na Computer nyingi za Linux. Siku hizi valve wana Steam os na Distro zinazoshabihiana kama Bazzite zinafanya vizuri sana hata layman anatumia Linux bila tatizo.
Suala ni kutumia kwa wingi au ni uwezo wa kutengeneza.Ukiongelea kutumia kwa wingi kuna issues nyingi nyingine marketing, utamaduni, expose n.kUnaitumia hiyo Baidu na hiyo Microsoft ya wachina? Nitajie mataifa yanayo tumia hiyo Baidu ya wachina na Microsoft ya wachina hapa duniani?
Afadhari mekuja kusawazisha uwanja Kuna watu wana mahaba na Marekani, wanafikiri kilakitu kizuri Ina Toka MarekaniChina wana software zao pia,
Kwenye simu Kuna Harmony os ya Huawei na Computer wanatumia Linux, wana Distro zao red os na Kylin/Open Kylin.
Pia China na Asia nchi nyingi tu hawatumii playstore, Hata kabla ya vikwazo ni theluthi mbili tu ya simu za Android zilikua na playstore, kuna watu wengi tu wanatumia simu bila playstore.
Na hata Computer kuna watu wengi tu wanatumia bila Microsoft, kuna Macbook, Chromebook na Computer nyingi za Linux. Siku hizi valve wana Steam os na Distro zinazoshabihiana kama Bazzite zinafanya vizuri sana hata layman anatumia Linux bila tatizo.
Uyo mchina unayemmwagia sifa hapa kama angekuwa na hizo akili kama unavyomnadi basi ktk History tungemsoma. Mchina mpaka miaka ya 1960 alikuwa wa kawaida tu wakati miaka hiyo ya 60 Ulaya ilikuwa mbali sana.Hivi wewe unaijua China au unaisikia ?!!!; Unaongelea Mzungu ? Hata unajua Civilization ilianzia wapi ? Unaongelea Taifa changa la juzi unalinganisha na Taifa lililokuwepo tangia ancient times ? Wakati watu wanajisaidia barabarani kuna watu walikuwa wanajenga / wamejenga the great wall of China...
Mkuu acheni kuleta utani.., hata hio Computer na Theories unadhani zilianzia USA...,
If I have Seen further than others is by standing on the Shoulder of the Giants..., Dunia hii the greats wanafanya hivyo kwa kushirikiana na sio kuendeleza ligi za matope; Unadhani hata isingekuwa Russia kuweka chombo kwenye Space USA angeinvest massively kwenye issue ya NASA kwenye mwezini (jambo ambalo mpaka leo hatujui kama kweli walikwenda au walikuwa hollywood wanaonyesha movie)
Hiyo simu ya Huawei anayo isema imesha jifia kwenye soko la kimataifa kwasababu haina Google Play service. Huawei zinatumiwa na wachina tu. Huwezi kuta waafrika na mataifa mengine wanatumia Huawei.Hebu mwambie huyo jamaa hajui kitu anakuja kuandika utumbo
Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.
Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu kutumia Microsoft.
Mpaka hapo naona kabisa China hawezi kugombana na Marekani kwa upande wa teknolojia.
Najua ni watu wachache sana watanielewa nilicho andika
Lakini ngoja nikufungue akili kile nilicho lenga.
Hakuna binadamu kwasasa anaweza kutumia simu isiyo na Google Play Service hayupo.
Hakuna binadamu anaweza kutumia computer isiyo na Microsoft.
Hii ni mada muhimu sana tunapima uelewa wawana jamii forum.Suala ni kutumia kwa wingi au ni uwezo wa kutengeneza.Ukiongelea kutumia kwa wingi kuna issues nyingi nyingine marketing, utamaduni, expose n.k
Lkn kwani wewe ni mchina au mmarekani mwenzetu - manake ulivyoongea kishabiki si mchezo.
Wewe Mchina akiwa juu ya Marekani au Marekani akiwa juu ya Mchina wewe unafaidika nini?? Au ndo unaogopa Marekani akizidiwa na Mchina watakata misaada ya ARvs..watu wafe..maana Mchina hatou misaada kizembe.
Tupambane na njaa zetu..tusipoteze muda kuwajadili kishabiki watu ambao hata vizazi vya 10,000 havitawafikia
Hongera kwa kueleza vizuri, niliamua kuiweka mada kama ilivyo kwa makusudi kabisa.This time naona hujafanya utafiti wa kutosha;
Serikali ya china wana Computer operating system Original from China inaitwa "Kylin" na hii inawasaidia kuepuka udukuzi wa kimtandao. Inatumika kwa wingi inchini humo na huwa wanai market kama "OpenKylin"
Hii ndio operating system inayotumika kwa komputer karibia zote za Serikali lakini pia inatumika kwa wingi kwa raia wake japo zipo pia operating system nyingine orginal from china ambazo sio maarufu
Kuhusu Simu; China pia ina operating System orginal from China tena ni nzuri sana ufanyaji kazi wake ni somewhere btn Androd and iOS ambayo ni vigumu sana kuidukua
Inaitwa "Harmony". Nakumbuka mwishoni mwa mwaka jana walitoa latest version yake inaitwa "HarmonyNEXT" hii ni habari nyingine kabisa....
Sijui kama unafaham kuwa China wanazalisha Internet yao wenyewe.....
Lakini pia; Kuna vitu vingi sana vya technologia vipo within china kwa sababu, zaidi ya robo ya watu wa Dunia wapo kule hivyo hawatumii nguvu kubwa kutangaza huku nje....
CHINA IPO MBALI SANA NA NDIO INAWANYIMA USINGIZI WAMAREKANI.....
Hiyo simu ukimiliki kwasasa hutatumia Google playstore. Upo tayari?Duh... Si KWELI. Kuna simu ya Kichina ilipigwa marufuku USA lakini hadi leo inadunda. Huawei Technologies
Hizo zote unazozisema wanatumia wachina wenyewe sio nje ya soko la kimataifa mkuu. Kwenye soko la kimataifa wateja wanataka simu inayo support Google Playstore au Apple Store. Wewe mwenyewe hapo unatumia Google play store. Je upo tayari kutumia simu isiyo na Google Playstore au apple store?Unasema hayupo binadamu anaweza kutumia simu bila google play?
My friend, upo nyuma ya wakati
China hawatumii Google Play, badala yake hutumia Tencent App Store ambayo hujulikana pia kama "Tencent MyApp
Nyingine wanazo tumia ni;
• Huawei App Gallery
• OPPO Software Store
• VIVO App Store
• Xiaomi App Store
Situmii Google store na nina enjoyHiyo simu ukimiliki kwasasa hutatumia Google playstore. Upo tayari?
Dogo hujui historia kabisa kaa kimya maana unaandika upumbavu tena kwa kujiamini.Uyo mchina unayemmwagia sifa hapa kama angekuwa na hizo akili kama unavyomnadi basi ktk History tungemsoma. Mchina mpaka miaka ya 1960 alikuwa wa kawaida tu wakati miaka hiyo ya 60 Ulaya ilikuwa mbali sana.
Wee nae ni mpuuzi unaandika vitu kijinga kijinga tu wala hata hauna uelewa navyo zaidi ya ushabiki wa kijinga uliojaa utoto.Hizo zote unazozisema wanatumia wachina wenyewe sio nje ya soko la kimataifa mkuu. Kwenye soko la kimataifa wateja wanataka simu inayo support Google Playstore au Apple Store. Wewe mwenyewe hapo unatumia Google play store. Je upo tayari kutumia simu isiyo na Google Playstore au apple store?
Tupo seriously mkuu, andika hoja usiandike matusi. Watu wanahitaji kuelewa mambo kwa hoja.Wee nae ni mpuuzi unaandika vitu kijinga kijinga tu wala hata hauna uelewa navyo zaidi ya ushabiki wa kijinga uliojaa utoto.